wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Tofauti ya Waarabu, Wazungu na Waafrika utaiona hapa

    Wazungu wanafanya ushoga na usagaji. Ni dhambi mbaya. Lakini wanafanya na wanaweka wazi tu kuwa wanafanya. Hili jambo halihalalishi ila wanaonesha kuwa responsible. Uwazi Ni utamaduni wa wazungu kwa asilimia kubwa. Hata suala la mahusiano ya kimapenzi. Wazungu wapo wazi sana. Mtoto akifika miaka...
  2. Kisiasa sisi ni wabaguzi kuliko Wazungu?

    Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni rahisi sana kuona Waafrika (Siyo wamarekani weusi) wasio na historia na nchi za Ulaya ama Marekani wanapata nafasi za kisiasa kwenye nchi hizo. Lakini mpaka Mzungu achaguliwe Afrika kuwa Kiongozi, huwa ni shida sana. Je, sisi waafrika linapokuja suala la...
  3. Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    Lorenz kohler ni mwandishi mkubwa sana south africa, matter of fact is, ni best sports journalist wa huko award hiyo kashinda mwaka huu Kuna siku nilibishana naye facebook kuhusu lile sakata la simba na kocha wa pirates, aliandika yake nikayapuuza lakini kuna trend nimejaribu leo kuuunganisha...
  4. Waafrika hatuwezi uongozi, tuwape wazungu nchi zetu watuongoze

    Kuna kitu nimekitafakari sana, kwanini sisi Afrika hatuna maendeleo? Nikaja kutambua kuwa, viongozi wetu wengi wa Afrika hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu, ndiyo maana tupo nyuma kwa kila kitu. Hivi fikiria ka inchi kama Qatar kanatuzidi uchumi sisi! Palipo na ukweli lazima pasemwe...
  5. Huu ndo muda wa kuoa wazungu!

    Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! 😅 ... maana kwakweli ni pisi kali, ... mwenyewe ana uzuri wake wa kibongobongo, tako-tako, curvy, mzuri...
  6. Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  7. Vita Kuu ya Wazungu, Mtanzania ni shujaa kivipi na kwa nani?

    Hivi Mtanzania aliyetumiwa na Mzungu kupigana Vita Kuu ya Wazungu/Dunia anaitwa shujaa kwa lipi haswa? Ni shujaa kwa nani? Alimpigania nani vita hadi tumuite shujaa? Miaka hiyo Tanzania ilikuwa ni Koloni na walioenda vitani walikwenda kupigania na kutetea English Empire, sasa huo ushujaa...
  8. Unafikiri Wazungu na jamii za Asia zinaichukuliaje ndoa?

    Kwema Wakuu! Kuna watu humu sijui ni ushamba, sijui ni ulimbukeni, sijui na kukosa elimu ya Dini, sijui ni kukosa elimu ya Kadi(jando na unyago) sijui ni kukosa elimu ya Sheria, basi tuu wanajifanya wanausasa lakini kimsingi ni kuwa wamechanganyikiwa na hawajui wamechanganyikiwa. Utasikia Kwa...
  9. M

    Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180...
  10. Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

    1. Napoleon Bonaparte Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku. Alihamishwa kabisa...
  11. Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

    Wakuu nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza. Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi. Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa. Ngongo kwa sasa Addis Ababa Bole International Airport
  12. Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

    Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo. Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi...
  13. Je, Taifa Masikini na Bingwa wa Kuomba Pesa za Misaada kwa Wazungu hutakiwa kuwa na idadi Kubwa ya Makomandoo?

    Kuna nchi (taifa) moja Barani Afrika katika Mahafali yake ya Kijeshi Jumamosi hii pia watakuwepo 'Makomadoo' zaidi ya 3000. Nijuavyo Kiuchumi kuwatunza hawa ni Gharama Kubwa mno je, kwa Umasikini mkubwa wa hiyo nchi kuna haja ya kuwa nao Wengi kiasi hicho? Bahati mbaya na nchi yenyewe...
  14. World Bank wadhihirisha Dawa za wazungu ni fursa inayowatajirisha

    Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa. Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara ya kimataifa imekuwa chachu kwa wazungu wanaotengeneza magonjwa (wasiwasi ) na kuyasambaza...
  15. ‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

    Salaam Wakuu, Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao. Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro. Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aambiwe...
  16. Tubadlike: Tunapoteza asili yetu kwa kuwaiga vitu vingi wazungu na waarabu kwa kujidanganya ni dini

    Haijalishi ni Ukristo au uislamu, hizi dini sio kwajili ya wazungu na waarabu kama watu wengi wanavyodhani, hizi dini ni kwajili ya mtu yoyote sehemu yoyote duniani. kumekuwa na mazoea mabovu tangu zamani ya wanaoabudu hizi dini kwa kudhani kwamba ili kuabudu dini ya kiisalamu inabidi uige ige...
  17. Rais Samia anaupiga mwingi kupitia Royal Tour hadi Wazungu waamua kuizungumzia Tanzania kwenye games

    Naendelea kuwasalimia kwa jina la Muungano wa Tanzania. Hapo awali nilikuwa nikijua Watanzania pekee ndio tunaoona juhudi hizi za makusudi za mama yetu Samia Saluhu Hasani za kuleta maendeleo kwa njia mbalimbali katika nchi yetu. Jitihada za mama sio tu zinakoshwa na upinzani bali hadi watu wa...
  18. B

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  19. T

    Sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu wa Afrika ni kusifiwa na wazungu

    Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu. Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu. Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo. Na wazungu hata...
  20. Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

    Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu. Nini kinawafanya wajiamini hivi? Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…