wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Ilikuwaje dini za Afrika zikafutwa kirahisi kabisa na dini za Wazungu na Waarabu?

    Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k...
  2. M

    Kwanini kwenye maslahi hata waarabu, wahindi, waafrika, n.k. hupenda kwenda kufanya kazi kwa wazungu hata kama ni dini tofauti ?

    Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu. Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula vya kiarabu, hujifunza lugha ya kiarabu, n.k. ukimwambia achague kafanya kazi kwa mwarabu au mzungu...
  3. Just Pray

    Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  4. kavulata

    Speed ya Rais Samia inawatisha wengi, wazungu wamefilisika

    Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma sana na kuelimika sana. Rais Samia ameelimika sana kuliko marais waliomtangulia. Anatumia elimu yake binafsi kufanikisha mambo ya watanzania wake kwa speed kubwa. Kwa muda mfupi sana amefanya makubwa sana kuliko alivyodhaniwa. Rais Trump, viongozi wa ulaya na...
  5. ELI COHEN

    Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

    Acha uvivu, acha ushirikina. Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto. Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika. Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku. Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi. Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia...
  6. M

    Nchi za wazungu zinazidi kuanguka katika jina la wema uliopitiliza, inclusivity, kuwa open minded na tolerancy, ipo siku isiyo na jina watalia kilio

    Nchi nyingi za kizungu zimeendekeza sana mambo ya kuwa open minded, Leo hii mtu anaweza kuchoma bendera, na ikaonekana sawa tu. Wageni wengi sana wasio na vibali wanaingia na kuruhusiwa uwa raia, hapo juzi tu tena mwaka huu nchi ya Spain imekubalia wageni laki 5 Wazungu kwenye kuzaliana...
  7. kavulata

    Kila aliyegombana na Nyerere alikuwa na usaidizi wa wazungu

    Wazungu hawakuanza leo kuzitaka rasilimali zetu. Wakati wa kutafuta uhuru kuna watu wetu walitumiwa na wakoloni kuzuia tusipate uhuru. Hata baada ya kupata uhuru kuna watu walitumiwa na wakoloni kupora uhuru na rasilimali zetu. Watu hawa wanaona viongozi wanakosea kwenye kila kitu, eti wao kwa...
  8. Chizi Maarifa

    Sisi tunajitahidi Morocco wawe ndugu zetu. Wao wanajiona wanakaribiana na Wazungu. Why?

    Sisi wanatuona kama ni Nyani. Suala la ushindi wa Senegal limeonesha jinsi gani jamaa wana chuki na watu weusi. Ile match ni Miungu yetu ilitusaidia kuonesha nguvu zake. Kwa kweli imetuheshimisha sana. Hawa jamaa wanatuma na kuandika vitu vingi vya kutudhihaki. Hii yote ni sababu ya Ushindi...
  9. ELI COHEN

    Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

    Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke! Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie. Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki...
  11. Mshana Jr

    Robert Smalls: Jasusi Aliyewaibia Wazungu Meli ya Kivita - SIMULIZI za kusisimua matukio ya kweli

    1. Maisha ya Utumwa na Baharini •Robert Smalls alizaliwa mwaka 1839 huko Beaufort, South Carolina, nchini Marekani akiwa mtumwa. Akiwa kijana, alipelekwa kufanya kazi kwenye bandari za Charleston. Huko, alijifunza kila kitu kuhusu meli—jinsi ya kuziongoza, ramani za majini, na jinsi jeshi la...
  12. Lycaon pictus

    Wanyakyusa walikuwa wanafanya Autopsy(Upasuaji wa maiti kujua chanzo cha kifo) kabla ya wazungu kuja Afrika

    Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916 Mazishi Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba iliyokazwa sana inaweza kuwapatia wanaozika ugonjwa wa matumbo (ingoje). Maiti katika mkeka anawekwa...
  13. ELI COHEN

    At least naonaga posts za wazungu huko X hata kama ni consipracy ila ina mashiko, ila humu mtu ana post vitu kuntu ukimchallenge kidg anaishia kukutus

    Ukiwa challenged haimanishi mtu amedharau tafakuri yako, lakini namna unavyo react ndivyo inavyo prove ukomavu wa fikra yako. FACTS NO FEELINGS
  14. Pakome

    Wazungu mnaowaamini sana uhuni walianza wao, ninyi mmejifunza kwao, msiwape siri za nchi yenu kwasababu watazitumia vibaya

    Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu Jifunzeni kutatua...
  15. L

    Nitawaleteeni makala nzuri kuhusu ulaghai wa wazungu kwa walibya na majuto waliyonayo hii leo ili msije kunasa kwenye mtego uliowanasa Walibya

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa...
  16. L

    PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
  17. K

    Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!

    Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!. Hivyo mnaongelea misaada lakini katukana na kuwachamba kila mtu kwasababu yeye tu na familia yake ndiyo wa maana na wapo sawa wengine wote waangalizi, mashirika ya dini , wadau wa misaada wana wivu!!!! . Huyu ndiyo yule Mama kweli wa 2021-2022...
  18. ELI COHEN

    Leo inabidi wazungu walinde kwa silaha maduka ya msimu wa Christmas kuhofia radicals wa itikadi kali

Back
Top Bottom