wazoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

    Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine Baada ya kumuacha anakutumia text "nimejitahidi kuvuta hisia zimekataa yani Sina hisia na wewe kabisa" Hivi hapo shida ni nini...
  2. Saad30

    Wazoefu wa biashara ya spare parts za pikipiki

    Habari wakuu. Moja Kwa moja kwenye Mada. Mtaji wa milion ngapi unaweza kuanzia kuchukuwa China kwa biashara ya vipuri Vya pikipiki alafu uje uuzwe hapa Nyumbani Kwa mikoani Tu sio jijini daslam. Kwajili ya kuuza rejareja hapa Home. Fekon King lion Haojue Huoniao Naomba majibu wakuu.
  3. Sifi Leo

    Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  4. E

    Je huduma za benki ya NBC zikoje kwa wazoefu?

    Wakuu habari za weekend, Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao. Baada ya kushuhudia huduma mbovu za CRDB na wafanyakazi wa NMB kutokuwa sharp kwenye kutoa huduma nafikiria...
  5. N

    Wanandoa wazoefu, Niendelee kurudi nyumbani kula chakula cha mchana au nianze kununua chakula ?

    Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu. Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani. Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo Siku pekee ambazo sina...
  6. M

    Wazoefu mnasemaje hapa?

    Mtumishi X alikuwa Technician chuo kikuu. Amepata uhamisho kwenda taasisi Y kwa nafasi ya ukaguguzi/Inspection Officer. Hoja yake: Ametumikia cheo Cha Technician miaka 2 na mwakani anatakiwa kupanda daraja. Je akihamia taasisi Y, kwa nafasi ya Inspection Officer watampandisha au ndio ataanza...
  7. D

    Nimependwa na Mzungu; tunaweza kudumu bila kumlamba chumvi? Nisaidieni wazoefu

    Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba. Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu wakienda chooni ndo unazidi kuniweka mbali na ufyonzaji huo wa chumvi. Nifanyeje?!!!
  8. ndege joni

    Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
  9. C

    Wazoefu nipeni ABC Niko pekeangu na wife anakaribia kujifungua

    Hello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala ndugu mwingine ni mimi na wife tu Kama Kuna dondoo nisaidieni ndugu zanguni nipate namna nzuri ya...
  10. Mwizukulu mgikuru

    Nyie watumishi wazoefu mliopo maofisini sio kila mgeni ni wa kumchukulia poa

    Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu. Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa...
  11. Mwanamke wa mithali 31

    WAZOEFU NA BIASHARA, NAWEZAJE KUPATA 20K PERDAY KWA MTAJI WA 5M

    Kwa Dar es salaam 20,000 tu kwa siku
  12. Nusratt

    Wazoefu: Nini nifanye ili niweze kupata mkopo benki kwa dhamana ya nyumba/kiwanja?

    Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana? Risk zake zipoje. Faida na hasara zake je, na kama kuna watu/kikundi/taasisi/mtu aliyefanikiwa kupata pesa ya mkopo benki kwa njia ya dhamana ya nyumba/kiwanja alifanyaje?
  13. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Wachezaji waandamizi wa KMC FC wanalalamika jana Kutokupangwa na badala yake 85% kupangwa wale Wakaa benchi Wazoefu

    Akina GENTAMYCINE tukisema JF kuwa Timu inayoshinda kwa Uwezo wake wenyewe wa Uwanjani ni Simba SC mnakataa.
  14. enzo1988

    Kwa wazoefu: Huchukua muda gani kulipwa malipo kutoka akaunti ya mirathi ya mahakama??

    Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani?? Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri! Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
  15. Nehemia Kilave

    Kati ya Biashara nyingine, Voda-wekeza, UTT na Mabenki kwa wale wazoefu ni kipi unaweza mshauri mtu awekeze ?

    Habari JF , kuna kipindi nliwahi anzisha uzi ambao lengo lake lilikuwa ni kujua ni nani hasa mmiliki wa UTT , nlipata majibu mengi ambayo yalinirodhisha kwa Asilimia kama 70 . Najua biashara ina risk zake , Voda, UTT kwa kiasi chache Tunawajua wamiliki . Mabenki iko wazi umiliki wake . Kwa...
  16. covid 19

    Kwa wataalam na wazoefu wa pikipiki

    Kwa Wataalamu wa Pikipiki: Ninatafuta ushauri kuhusu aina au brand bora ya pikipiki kwa kazi za kubeba mizigo kati ya kg 30 hadi 75 kila siku. Je, ni brand gani kati ya boxer, tvs, hero, honda, hunter na nyingine. Je ipi ni imara na inadumu muda mrefu kwa mazingira ya joto, vumbi, na mvua ya...
  17. Mwanamke wa mithali 31

    Wenyeji na wazoefu wa mkoa wa Mtwara naombeni Shule

    Nimeambiwa sasa hivi ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana, Je vitu gani naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao (Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
  18. Sonko Bibo

    Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

    Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha. Sasa...
  19. Mwanamke wa mithali 31

    Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  20. D

    Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
Back
Top Bottom