wazo

  1. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wazo bunifu kwa maendeleo ya baadhi ya Wizara katika Serikali ya Tanzania

    1. Ninalo wazo bunifu, Ila mwenzenu nahofu, Wapo wenye nia chafu, Wanoweza nizulia. 2. Ninaposhusha usuli, Uhusuo serikali, Wenye hiba na adili, Wao wataupindua. 3. Watazua yaso mana, Ambayo sijayanena, Hivyo nawaomba sana, Muje nihahakikishia. 4. Ikiwa tatoa wazo, Lililokidhi vigezo, Mtakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali iruhusu kilimo cha bangi chini ya utaratibu maalumu (Bangi ni Pesa)

    Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi) Naomba tuelewane kuwa hata petrol ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wetu lakini wapo watu ambao huitumia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye utatuzi wa kero na changamoto za wananchi serikali itumie hili wazo linaweza kuwasaidia

    Serikali inaweza kutumia wazo hili katika kuwafikia wananchi kirahisi na kutatua kero na changamoto zinazowakabili Watanzania MAMA ANAKUITA" call Center PROJECT PROPOSAL (Njoo Tuseme kwa mama, Piga no …… utete na Bi. Mkubwa) “Mama anakuita call Center” ni namba mahususi ya simu itakayotumiwa na...
  4. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wazo la kuboresha usimamizi wa rasilimali za uvuvi nchini Tanzania

    Wazo moja la kuboresha usimamizi wa rasilimali za uvuvi nchini Tanzania ni utekelezaji wa programu za usimamizi shirikishi za kijamii. Mbinu hii inahusisha kushirikisha jamii za wenyeji katika usimamizi wa rasilimali za uvuvi kwa kuwapa ushiriki katika mchakato wa kufanya maamuzi na utekelezaji...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  6. JamiiForums Tanzania Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

    Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories. Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na watu kuamini vitu potofu na wachungaji kuwadanganya waumini. Waislam wao muda wote kuwaza fujo na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara ya 200k

    Salaam Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston. Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa kwa wadada kufanya huduma ya kukata kucha

    Habari wadau, Leo nilienda na sendo huko katika kibarua changu sasa ghafla kujitazama nakuta kucha za vidole za miguu zimekuwa kubwa na chafu dah za MKONONai nazo ni kama zimefikia hatua ya Kukata. Sasa wakati nikiwa nimekaa eneo la lunch nikiwa nasubri mdudu ¼ na ugali nikaziona tena ila wazo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini wafungue hii Barabara kwanza ni Barabara itakayo kuwa na km chache kama 160 ukilinganisha na ya lupembe...
  10. JamiiForums Tanzania Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  11. JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid sna Ni leseni yako tu itakuweka salama na mtaji wa angalau milion 3 na ukiwaa Zaid utapiga Zaid pesa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa wazo la Rais Samia la kuvuna maji ya mvua uanze ili kudhibiti mafuriko

    Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza athari za mafuriko yanayosababishwa na mvua mahali mbalimbali Tanzania.
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu nina wazo

    Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake. Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu. Nikamuuliza vipi mbona...
  14. JamiiForums Tanzania Pata Wazo Zuri la Biashara ya Mtandaoni Kwa Kufuata Formula Hii

    Hello wanajamii, Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara. Nimejibu swali hilo katika video ifuatayo: https://www.youtube.com/watch?v=oN9ZQWzAoxk Enjoy. Kama una...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

    Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza. Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

    Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali. Madawa na tiba hizi zimetoka kwa msaada wa watu wa Marekani (na mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Wazo fyongo:simba na yanga viwe vyama vya siasa.

    1.vina Wana chama wengi 2.historia yake ni kubwa na vina Ushawishi mkubwa 3.vina matawi kila sehemu kote vijijini 4.vina uwezo wa kujenga ofisi na watu kujitolea Kujenga kila kijiji 5.vinaweza kudumisha amani Kwa ule utani wake 6.demokrasia itakuwa kubwa itakuwa kama marekani ilivyo republic na...
  18. JamiiForums Tanzania Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

    Na. M. M. Mwanakijiji... Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa. Nasubiri kuona Nani atakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wazo Dokezi: Upigaji wa Uchaguzi Mkuu Utaanza "Soon"...

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya vitu ambavyo huwa vinafanywa 'vizuri' na watawala wa watawaliwa unapoelekea mwaka wa uchaguzi ni jinsi gani huwa wanajipanga kujipendezesha kwa wakubwa wa dunia. Unajua pale nchi inapojisema tu kuwa ni ya "kidemokrasia" basi wakubwa wanaanza kuangalia vitu...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempenda mtu kwa kumaanisha na wazo la kuoa limekuja

    Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi. Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati. Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…