wazo

  1. JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kuisaidia serikali kuwapa wazo ambalo litasaidia kuondoa kupunguza tatizo la ajira kama sio kuliondoa kabisa.

    Habari wakuu. Mimi nipo na wazo ambalo naamini litapunguza tatizo la ajira Kama sio kuliondoa. Naomba Kama kuna kiongozi umu ndani tuwasiliane PM.
  3. JamiiForums Tanzania Tuna bahari ila uwezo wa kupata samaki wa bahari mikoa mingine ni kama ndoto?

    Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki. Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki. Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Napinga wazo la Muziki wa Singeli kusambazwa duniani

    Habari, Wiki kadhaa zilizopita alisikika Waziri wa Utamaduni na michezo Profesa Kabudi akisema kwamba serikali kupitia wizara yake ina mpango wa kuupeleka muziki wa singeli Kimataifa. Mimi binafsi napinga na ninakataa wazo hili kwa sababu zifuatazo; 1.Ni muziki unaotumia lugha chafu na unatoa...
  5. JamiiForums Tanzania Pata michoro ya wazo lako (mobile apps, websites, softwares, etc)

    Good day waheshimiwa! Mimi ni designer mzuri sana, naweza chora idea yako vizuri kabisa kwa maelezo machache tu kutoka kwako. Ila leo niko hapa kwa huduma ya UI design kwa wale watu wenye mawazo mazuri ya faida, kama unahitaji mtu wa kukuchorea idea yako uone itakavyokuwa ikiwa utaiunda nipo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa TTCL: Kuwepo kampuni ndogo nyingi ndani ya TTCL

    Direct to point Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula ruzukunza seikali miongo na miongo bila ya kuzaa matunda mfano posta, ttcl, tanesco, tazara, air...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa ujenzi, Abdallah Ulega waulize TARURA, DMDP kwanini utekezaji wa mradi wa barabara Nyakasangwe wazo hauanzi?

    Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa kiwango cha Lami imekuwa kimya ikiwa nikukosa kwa barabra madhubuti hasa eneo la BWAWANI hasi kipindi...
  8. JamiiForums Tanzania Wazo la Mnada wa Magari Yaliyotumika Nchini

    Utangulizi: Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari kuchelewa kuuzika kutokana na dalali kuongeza bei huku muuzaji akipewa bei ndogo na/au mnunuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji wawekezaji kwa wazo langu

    Habari wakuu! Suala ni hili wakuu, Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ). Pia saivi niko...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA chukueni hili wazo langu mpige hela

    Wanandugu wa bodini... Nawasalimu kwa salamu yangu binafsi, uposondi...?? Mwaweza itikia... ndinandii.. Nimepata tashtwiti ya kuwashauri Chadema, hasa huu uongozi mpya... Katika njia ya kuanza kuimarisha chama kiuchumi, mnaonaje mkitengeneza hata tisheti elfu 10 (10,000pcs) zenye picha ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwalee vijana kwa uzalendo: Wazo la kuanzisha klabu za uzalendo katika shule za Sekondari

    Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya kuchangia maendeleo ya taifa letu. Klabu hiii zinalenga: 1. Kukuza uzalendo kupitia elimu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wazo : utumishi walimu tulikuwa tunaomba mtuwekee Mic kwenye oral interview kama itawezekana

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia utumishi bila kufanya interview Sasa basi kesho zoezi la kuendesha sahili za walimu nchi zima...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa mikoani tushirikiane kutimiza wazo langu la biashara

    Awali ya yote, Nashukuru Sana kwa kutenga muda wako na kupitia Uzi huu. Leo nimepata wazo la biashara linalohusiana na kutoa huduma kwa watu mbalimbali hasa wa mikoani na wale wote ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam. Nimepitia Nyuzi nyingi na mitandao mingi ya kijamii kwa muda mrefu...
  14. JamiiForums Tanzania Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa Economics wasifundishe somo la Bussiness study (commerce)?

    Okay ,, nimejaribu kufuatilia ajira za walimu zilizotoka hivi karibuni na nimegundua kuna uwitaji mkubwa sana wa walimu wa commerce kwa ajili ya kufundisha kidato cha kwanza hadi cha nne Ndiyo maana utakuja kuona kwenye ajira hizi mpya waombaji wa nafasi ya kufundisha somo la commerce wao...
  16. JamiiForums Tanzania Wazo: Je, tunaweza kuifuta form six? Yaani Mwanafunzi akianza form one (Non-stop) aende mpaka form five, alafu anajiunga na chuo?

    Good Afternoon my dear brothers and sisters out there. Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo?? Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five. Karibu kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

    Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇 Biashara yenyewe ni hapa Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box HUDUMA HIZO NI Post Paid Bundles 5G...
  18. JamiiForums Tanzania Wazo la Leo: Tatizo ni Hatujui Watafanya Nini...

    Kilichoahidiwa na CCM na kutekelezwa kwa miaka siting na kitu kinajulikana. Uzuri na Ubaya wa sera zake unafahamika. Watanzania wanajua maisha chini ya CCM. Hakuna kiongozi wa CCM kwa sasa (awe serikalini au chamani) ambaye hajulikani na Watanzania... Hapa ndipo kilipo kibarua cha upinzani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chuo bora cha ushonaji maeneo ya Tegeta, Wazo hadi Kawe

    Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe. Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
  20. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro alitoa Saa 72 ujenzi usitishwe na Uwanja urejeshwe ulivyokuwa, leo ya 110 hali bado ni ileile

    August 12, 2024 Waziri wa Michezo, Dr. Damas Ndumbaro alifika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa Wananchi wa eneo hilo kudai Uwanja wa Panga ambao unatumika katika michezo na shughuli za kijamii kuna zoezi lilikuwa likiendelea la kuchimba msingi. Kusoma sakata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…