Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
ZIARA YA KIKAZI YA MHESHIIWA JUMAA AWESO WAZIRI WA MAJI NCHINI ITALIA
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alifanya ziara ya kikazi Rome-Italy hivi karibu mwezi Mei mwaka 2023.
Akiwa Italia Mhe Waziri Aweso alipokelewa na mwenyeji wake
Balozi wa Tanzania nchini Italia Mheshimiwa Mahamood...
MBUNGE NOAH SAPUTU - WAZIRI WA ARDHI WANANCHI WANAKUTEGEMEA KUTOA HAKI
"Hii siyo sawa wageni kumiliki Ardhi, haki iliyochelewa ni sawa na haki iliyonyimwa" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi.
"Waziri toa tamko kwa makampuni ambayo yamepimia wananchi Ardhi...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano...
WAZIRI JENISTER MHAGAMA - SERIKALI KUZINGATIA MAFUNGU MAALUM YA FEDHA KWA WAVIU KATIKA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amesema utekelezaji wa Bajeti ya Serikali kwa...
Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma.
----
ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
Hii taasisi ya serikali inayosimamia vyuo vikuu nchini imekuwa na tabia ya kuonea, kunyanyasa vyuo vikuu binafsi. Kuna kipindi hasa miaka ya 2016 walifungia sana either chuo kabisa au baadhi kozi. Hii ilipekea taharuki kubwa sana nchini. Ilifungia matawi ya vyuo vikuu hasa kutokea nchi za Kenya...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
Hotuba ya Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2023/2024
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania TBC limekata matangazo ya Bunge wakati wabunge wakijadili Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambapo Waziri wa Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa amesema katika mwaka wa fedha2023/24, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaendelea kuvijengea uwezo viwanda vya ndani vinavyozalisha saruji kabla bidhaa hiyo haijaruhusiwa kuwa kati ya bidhaa kumi zitakazoweza kuingia katika soko huru la Afrika (AfCFTA).
Ameyasema hayo tarehe 21...
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru ameikumbusha Serikali ahadi ya ubora wa magari ya waandishi wa habari kwenye misafara ya viongozi baada ya mazoea ya kupewa magari yasiyo na ubora kuendelea.
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa...
Na Darubini yangu MINOCYCLINE inaniambia kuwa Watatumbuliwa Wote ila siyo Yeye kwani Yeye hapo kawekwa Kimkakati na Mstaafu mwenye Nguvu na anayemmudu Mteuwaji ili Mambo yake yaende na Chenji za Hazina ziwe zinasaidia Timu pendwa Moyoni ya Dk. Nchemba na inayopendwa pia na huyo huyo Mstaafu...
MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS - FEDHA ZINATUMIKA KWA KUSIMAMIA MIONGOZO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) akiwa katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni yaliyoulizwa na Mhe. Zahor Mohamed Haji ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mwera
"Fedha za...
Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita.
Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri Kijaji ameandika hayo leo
ashatukijaji
MINOCYCLINE nakukubali mno kwani Wewe ndiyo Waziri pekee unayependwa sana nchini na hasa Wafanyabiashara wa Masoko yote nchini na hata katika Mkutano Waziri ambaye hakusemwa kabisa ulikuwa ndiyo Wewe.
Hongera mno Waziri Dk. M Nchemba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.