waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Prof. Pius Mbawala afariki dunia. Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo

    Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa familia, Prof. Mbawala...
  2. JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

    CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani. Prof Assad amesema "Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya Shillingi 300 kils mojs,ana gari aina ya Range Rover, ana flats(maghorofa) hapa Dar es salaam chungu...
  3. JamiiForums Tanzania DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Italia akanusha madai ya Trump kuwa alimuomba apiginae picha na kumtaka Babu Trump aangalie mambo yake

    Moja kwa moja .. Siku ya Jumamosi, Trump alisema kuwa waziri mkuu wa Italia Mwanamama Meeloni kuwa "anafanya vibaya nchini Italia kulingana na kiwango chake ya umaarufu." Pia alimtuhumu kwa kutounga mkono juhudi za Marekani za kuzuia Iran "kupata au kuunda silaha ya nyuklia Pia alisema Meloni...
  6. JamiiForums Tanzania Saada Mkuya, Waziri aliyehudumu serikali ya Muungano kama Waziri wa Fedha, lakini bado hajastaarabika?

    Dr Saada Mkuya Salum, aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012 kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika serikali yake, na baadaye alipofariki Waziri wa Fedha William Mgimwa 2014, akachukua nafasi ya Waziri wa Fedha , Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania. Sasa hivi Dr Saada Mkuya ni Kaimu...
  7. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Waziri Mkuu: Usikate Tamaa

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, Katika uongozi kuna siku za pongezi na kuna siku za lawama. Kuna siku watu watakushangilia na kuna siku watu watakosoa kila hatua unayopiga. Hayo yote ni sehemu ya safari ya uongozi. Lakini usikate tamaa kwa sababu ya kelele za wachache wanaodharau kazi unayoifanya...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Wananchi: Wajibu wa Kikatiba

    Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani wamejitokeza kuhoji mantiki ya ziara za Waziri Mkuu zinazolenga kusikiliza na kutatua kero...
  9. JamiiForums Tanzania Waitara: Waziri Mkuu anasema wabadhirifu wakamatwe, Waziri wake anasema “Wanaopinga rushwa hawajakaa jikoni”

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja. Watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Aweso awasimamisha kazi Viongozi wa MWAUWASA, asema mafundi wamejaa rushwa

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Nelly Msuya ambaye anatarajiwa kukamilisha majukumu yake wiki mbili zijazo. Aweso...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

    Niaje waungwana Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea. Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Magari yaliyotumika yanayoingizwa Nchini kutozwa Ushuru wa 50%

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini, huku kigezo cha umri wa gari kikichukua nafasi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33 kwa mwaka 2026/2027

    kwa mwaka2026/27 Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26. Mchanganuo wa Matumizi ya Shilingi Trilioni 54.5 Waziri wa Fedha amefafanua kuwa kiasi hicho cha fedha kimetengwa kwa ajili ya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha-Khamis: NIDA kuanza kutoza Tsh. 1,000 kwa Wananchi wanaohitaji Nakala ya Taarifa zao

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ametangaza mabadiliko makubwa katika utoaji wa huduma za Mamlaka ya Usajili na Utambuzi wa Watu (NIDA), ikiwemo kuanza kutoza ada kwa wananchi na taasisi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoza ushuru wa forodha wa kiwango cha 10% kwenye mafuta ya kula

    Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2026/27 leo Juni 11, 2026, Bungeni, Dodoma, amesema kuwa erikali imependekeza kufanya marekebisho makubwa kwenye kodi na ushuru wa mafuta ya kula, ikiwa ni pamoja na kuanza kutoza ushuru wa forodha wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa afya Zanzibar: Sikusema watu wa bara wasitibiwe

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara. Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia...
  20. JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…