waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana kwa mazungumzo na Rais wa Kosovo

    Rais wa Jamhuri ya Kosovo, Mhe. Dkt. Vjosa Osmani Sadriu amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ikulu jijini Prishtina, Kosovo tarehe 1 Juni 2025. Mazungumzo ya viongozi hao yalijikita katika...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso awataka Wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili Kosovo kwa ziara rasmi

    WAZIRI KOMBO AWASILI KOSOVO KWA ZIARA RASMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ajili ya kuanza ziara rasmi pamoja na kushiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima D unazungumziaje suala la Utekaji?

    Mheshimiwa Dkt. Gwajima D amekuwa active member wa jukwaa na ni waziri pekee anayesoma na kureply nyuzi zinazo mtag. Natamani kujua kauli yake kuhusuana na suala la utekaji na maoni ya kuvuka hapa tulipo.
  5. JamiiForums Tanzania DR. DOROTHY GWAJIMA.IRON LADY!KWANGU MIMI NDIE WAZIRI MCHAPA KAZI KULIKO MAWAZIRI WOTE SERIKALINI.

    Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri. Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasisitiza machifu kushirikiana na serikali

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Machifu wa Kanda ya Vita ya Majimaji Kusini mwa Tanzania kuendelea kushirikiana na Serikali wakati wakitekeleza majukumu yao ya kimila katika jamii. Hayo yamejiri wakati Waziri Kombo...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  8. JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega: Hatutaongeza muda kwa mkandarasi atakaechelewesha mradi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza msimamo wa Serikali wa kutomwongezea muda mkandarasi atakaechelewesha kukamilisha mradi. Waziri Ulega ameyasema hayo leo tarehe 26 Mei 2025 alipokuwa akikagua ujenzi wa barabara ya Mitesa-Masasi (km 60) yenye thamani ya Shilingi Bilioni 92 na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Adolf Mkenda must go! Kwa ajili ya HSLB!

    Waziri Mkenda ameshindwa kusimamia kwenye wizara yake bodi ya mikopo HSLB imekuwa bodi ya wizi wa mishahara ya watumishi tu na wanaoibiwa siyo watoto wa vigogo ni watoto wa wakulima! Inakuwaje mtumishi anakuta makato ya bodi ya mikopo kwenye mshahara wake wakati mtumishi huyo hajawahi kusoma...
  11. JamiiForums Tanzania Basila Mwanukuzi anafaa kuwa Waziri Mambo ya Nje

    1. Mwanasiasa Mkongwe nchini. Anafaa kuteketeza Sera mpya ya Mambo ya Nje iliyozinduliwa hivi karibuni. 2. Haya yatawezekana tu akimng'oa Archbishop Dr Rashid Josephat Gwajima (PhD) Jimbo la Kawe.
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa nchi kuvaa magwanda ya red army ya wakomunisti wa China inamaanisha nini katika nchi inayojinasibu ya demokrasia?

  13. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua

    24 May 2025 Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua.. https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa mifugo Dkt. Ashatu anasema Watanzania mnakula Mayai 119 kwa mwaka unakubaliana naye?

    Waziri ashatu anasema watanzania mnakula mayai 119 kila mwaka unakubaliana naye au muongo huyu ? au kuna mtu anawasaidieni kula mayaiyenu hayo kati ya 119 kwa mwaka mpaka takwimu ziwe hivi ? Alikuja akawauliza mitaani au yeye mtaani haonekani wala kwenye mifugo haonekani alafu anaongea tu na...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi: Waliotaka kufanya vurugu nchini, Mataifa yao hayajawasapoti

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema uwepo wa ushirikiano wa kidiplomasia wa kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi zingine umesaidia hata watu aliowataja kutaka kufanya vurugu nchini kutoungwa mkono na nchi zao...
  17. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Waandishi wa Habari - Dodoma, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Taasisi nyingine zilizopo chini ya Wizara kutekeleza majukumu yake ipasavyo ambayo ni: ulinzi wa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena Tax: Walitaka kujipenyeza nchini kuleta vurugu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine. Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati...
  19. JamiiForums Tanzania DRC: waziri wa shelia kikaangoni

    Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasilisha rasmi malalamiko katika Bunge la Kitaifa likitaka kuondolewa kinga kwa Constant Mutamba, Waziri wa Sheria ili apandishwe kizimbani. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, ombi hili linalenga kuruhusu kufunguliwa kwa mashauri ya kisheria...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aongoza Kikoa cha Kimkakati wa Kiuchumi wa Nchi Kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)

    WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) ▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO ▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati na adimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…