Waziri Adolf Mkenda must go! Kwa ajili ya HSLB!

Sir luta

Senior Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
175
Reaction score
245
Waziri Mkenda ameshindwa kusimamia kwenye wizara yake bodi ya mikopo HSLB imekuwa bodi ya wizi wa mishahara ya watumishi tu na wanaoibiwa siyo watoto wa vigogo ni watoto wa wakulima!

Inakuwaje mtumishi anakuta makato ya bodi ya mikopo kwenye mshahara wake wakati mtumishi huyo hajawahi kusoma chuo kikuu ama hajawahi kupata mkopo wowote? Akienda ofisi za HSLB za mikoani anajibiwa makosa yamefanyika makao makuu kwakuwa wanajua hawezi kufika huko na anaambiwa kaandike barua ya kusitisha na kuhusu pesa iliyokatwa haiwezi kurudishwa!!!!!

Hii ndiyo serikali inayojali watumishi? Kuibia watumishi mshahara? Mkenda must go.
 
Fanya registration kwenye account iliyo katika link yao hii ili uone wao wanavyokuona kwenye system yao na wanavyokuchukulia kama mnufaika wa mkopo gani.
 
Back
Top Bottom