waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso unajiharibia CV yako nzuri

    Hakuna waziri nilikuwa namkubali kama aweso Ila kwa sasa amenishangaza Sana hivi unawezaje kumnyima mtu maji zaidi ya week mbili,tatu au nne Waziri kweli unapokea mshahara Ofsini mnaenda kabisa nyie dawasa Jamani kama kwako kuna maji naomba location nihamie Kwa muda .this is too much Hakuna...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  3. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU), kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hakuna ulazima Tanzania kuwa na Waziri Mkuu

    Inatosha tuwe tu na Rais, Makamu wa Rais, Spika na Jaji Mkuu. Kimuundo Tanzania haina ulazima wa kuwa na waziri Mkuu.
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waziri wa 'Vijana' atazunguka nchi nzima kusikiliza kero za Vijana?

    Waziri Nanauka anaonekana na msafara wake anazunguka vijiweni, Stendi kusikiliza kero za Vijana. Je huu utaratibu utachukua muda gani ili kupata maoni ya vijana kwa nchi nzima?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  7. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu na namna ya kujiengua hapa tulipo kama Vijana

    Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana) Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani siku ya 29 october ni kutokana na kuona hawana cha kupoteza, vijana hawa walikuwa na chuki, na hii...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

    Umoja wa Mataifa, UN, imetoa tamko linaloweka sawa msimamo wa Umoja huo kwa yale mauaji yaliyotokea Oktoba 29. Kwanza wanasema uchaguzi ulikuwa na walakin. UN imetamka wazi kuwa mauaji yaliyotokea ni haramu kwa haki za kibinadamu. Na kwamba Tume iliyoundwa kuchunguza mauaji haina sifa ya kuwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu Aliyenusurika Mabomu Mawili ya Atomiki japani

    Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini. Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Joheri waziri wa vijana nijibu mikopo ya asilimia 10% kwa vijana na Akina mama kwa Nini inapitia NMB kwa Nini hisianzishwe Benk ya Ushirika ya vijana?

    Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili. Au ukiamua kutumia nafasi hii for your own future paspective hakika utatiboa ilimradi utende haki...
  12. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Naibu Waziri wa Michezo, Paul Makonda?

    Habari wakuu.. Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa. Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu ni Waziri Mkuu au chawa mkuu?

    Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama ovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la nzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama alikuwa Waziri wa Afya wakati wa maandamano, kaondoka na siri gani?

    1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao? Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi? Je, hizi taarifa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Video: Laiti Bi Samia angesikiliza busara za aliyekuwa Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa, yasingempata mabaya!

    https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema...
  16. MKWANO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Manispaa ya Ilemela mnamhadaa waziri mkuu kwa faida ya nani ?

    1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024. Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa Kama hawakulipwa kihalali na Serikali inajua ( maana Waziri Mkuu ndiye alikuwa Waziri wa Fedha),Kwa nini mlimhadaa kwamba Halmashauri...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

    Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu. Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwa Mwigulu watanzania tuna Waziri Mkuu Kivuli

    Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa. Ni kauli ambazo zinapaswa kutia moyo, kujenga matumaini na kuzungumzwa kwa umakini mkubwa na sio kuropoka...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
Back
Top Bottom