waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile na Serikali ya CCM tafadhali kama mmebariki Uhuni huu unaofanywa na Makampuni ya Simu nchini mtuambie

    Haiwezekani naacha Kuungana na Binadamu Wenzangu wote duniani Kusheherekea mwaka huu mpya wa 2021 badala yake naupokea huku nikiwa na Hasira na Uhuni kama siyo Utapeli tunaofanyiwa na Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hapa binafsi nauongelea sana huu wangu wa Morocco Smartphone Network...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani tuokoe na hujuma zinazofanywa na TANESCO Tegeta

    Wanna Jf, Tanesco Tegeta wanafanya hujuma na ukatili wa hali ya juu, lengo kuzikataa mita za Baobab zinazotengenezwa Tanzania. Nimesema hivyo baada ya kufanya tafiti zifuatazo. 1. Tanesco iliondoa mita za digital ambazo zilikuwa zinaingizwa toka nje, baadae zikangolewa site na kuweka Mpya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

    Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo. Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi. Chanzo: Eatv...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Jasusi Mbobezi na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa

    Alizaliwa Disemba 30, 1963 Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike Pompeo anasifika kwa umakini mkubwa kwenye maamuzi yake ambayo huzingatia uchunguzi wa kina! Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu simamia viongozi, wananchi wamechoka kuchangishwa pesa za madarasa kila mwaka

    Tundu Lissu alilaaniwa kwa kuzuia michango ya lazima kwa wananchi. Sasa kila mwaka kuna michango kwa ajili ya madarasa, ni ukweli kwamba michango hii ni ya lazima kwa wananchi. Sioni taabu sana, tatizo langu ni wasimamizi wa michango hiyo na matokeo duni. Kundi la viongozi katika wilaya...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Elimu sasa hasa katika ngazi ya Msingi na Sekondari na hata vyuo vya Kati/Diploma imekuwa kama biashara ya Magendo

    Kwanza niwaombe Moderators kuacha uzi huu hapa kwenye jukwaa la Siasa, japo kwa muda, kwa sababu uzi una Hoja ya Kisiasa ijapokuwa unahusiana na Elimu. Nitangulize shukurani kwenu Moderators. Tukija katika hoja yenyewe, ukweli ni kuwa Elimu sasa hasa katika ngazi ya Msingi na Sekondari na...
  7. JamiiForums Tanzania UFISADI: Waziri Mkuu amsimamisha Mhazini wa TPA na wengine. CAG aagizwa kufanya ukaguzi haraka

    Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam More to follow ===== WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya ni bora ungeanza na mchakato wa Bima ya Afya kwa kila Mtanzania kuliko kutoa agizo kama hili

    Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu. Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania. Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama siyo TANESCO Basi Waziri mwenye dhamana ya umeme acha kupuuza kelele za mitandao ya kijamii

    Nadhani lipo tatizo lakukatika umeme mara kwa mara hasa Dar, hii ni kwa mujibu wa wananchi wanaotumia social media. Mliopo dar mnaweza kusaidia kama Kuna ukweli ndani ya hizi habari. Lakini nichukue fursa hii kuwakumbusha Tanesco au Wizara kuchukua hatua. Kama kelele hizi zina ukweli watafute...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango ulilitangazia taifa na dunia kwa ujumla ya kuwa Tanzania tumeingia uchumi wa kati

    Naomba kukuuliza wewe au wenzako au yeyote anayejua. Haya maisha kuwa magumu, nikwasababu ya kuingia uchumi wa kati? Je, bado unataka tuingie uchumi wa juu tena? Nakuingia wa juu yake, sijui wa awali au wakwanza khari itakuwaje? Kwani haiwezekani kuurudisha uchumi tuliokuwa nao ili tuenderee...
  11. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kibaha badilikeni

    Merry Christmas wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada Tanesco Kibaha ambayo ndo inawakilisha Tenesco mkoa wa pwani, imejaa ubabaishaji na kuendekeza rushwa. Nasema HILI kwa sababu moja. Mkoa wa Pwani ni mojawapo ya mikoa ambayo inakuwa kwa kasi sana, lakini pia ni mojawapo ya mikoa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Gwajima anafurahisha na kuonesha aina ya viongozi nchi yetu inahitaji

    Binafsi nimefurahishwa na jinsi Waziri wa Afya alivyoanza kazi. Anaonekana mtu mwenye kuelewa wizara yake inavyofanya kazi, ina changamoto zipi na ana dira ya maboresho yanayohitajika kuleta tija. Amekuwa tofauti na Mawaziri wengi ambao wanaonekana kufanya kazi sio kwa kuelekeza nini kifanyike...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli alipokuwa Waziri, aliwahi kukusanya sadaka Kanisani kama alivyofanya leo katika Ibada ya Christmas?

    Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo. Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani? Ni matarajio yangu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Molel, si kila ziara lazima usimamishe mfanyakazi kazi ndiyo uonekane umefanya kazi. Kuwa mbunifu

    Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Afya akiwa Longido, Kwanza haeleweki ameenda kukagua nini. Haeleweki anavyozungumzia mapungufu katika ujenzi wa kituo cha afya tatizo ni mganga mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Mkandarasi au ni kiumbe gani anapaswa kulaumiwa na kwa makosa gani. Pamoja ukweli kwamba hata...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo hao Wakurugenzi walikuwa wanasimamia uchaguzi, huo ushuru wangekusanya muda gani? Usiwafute kazi tafadhali!

    Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi. Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais nakuomba umteue Joseph Kasheku Msukuma awe Waziri

    Baada ya kuchoka na blaa blaa nyingi za hawa watu wanaojiita wasomi (wenye degrees, masters,PhD na maprofessa) naleta ombi kwako Mh Rais JPM umfikirie bwana Joseph Kasheku Msukuma kwenye nafasi ya uwaziri licha ya Elimu yake ya darasa la saba. Kama mtu aliyekwenda darasani kabisa anashindwa...
  18. JamiiForums Tanzania PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiJorums. Waziri Kabudi alikosea sana kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory Gwanda. Alipaswa kukubali kwamba ni kweli alikufa ndani ya mawazo, akili pamoja na mioyo ya wanaharakati. Ninajua fika baada ya kuandika thread hii kuna watu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuvunja Katiba kuwateua Prof. Kabudi na Mpango kuwa Mawaziri kabla ya kumuapisha Waziri Mkuu. Zitto ndiye alifaulu kupotosha umma

    _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ TITLE: KATIBA HAIMLAZIMISHI RAIS KUSHAURIWA ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 DATE: December 16, 2020 NEWSPAPER: RAIA MWEMA, pg. 19 _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ Tarehe 12/11/2020 Rais John Magufuli...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akagua na kuridhishwa na Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi, Mwanza

    Ujenzi wa mradi huo mkubwa wa kimkakati unagharamiwa fedha za ndani tshs Bilioni 700. Daraja hilo lina urefu wa kilometa 3.2 na ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…