waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Madiwani Meatu wamuangukia Waziri TAMISEMI, wataka ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Halmashauri, wahofia uwepo ufujaji wa fedha za wananchi

    HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Anaandika Tito Magoti. Mheshimiwa Waziri Mkuu, Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana! Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Navy, Waziri wa maafa, waziri wa mawasiliano uchukuzi na wengineo Tunaomba mjiuzuru

    Ndugu viongozi, kwa matatizo tuliyoyaona Bukoba kutokana na ajali ya precison, imeonyesha bila shaka viongozi wet na wasimamizi wa serikali wamekuwa hawajali kuwekeza katika kupamabna na majanga wakati pesa nyingi zinatumika kwenye safari na posho na wizi mkubwa. Marubani walikuwa hai kwa masaa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla amshukia Profesa Mkenda Bungeni, amtuhumu kwa kulidanganya Bunge. Amtaka ajiuzulu

    Bunge ni moto Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia waziri wake wa kilimo imesema acha soko liamue ,sawa. lakini isiwe kilimo tu acha soko liamue kwenye huduma zote

    Waziri wa kilimo amesema kuwa acha solo liamue kuhusu Bei ya mazao.Ni sawa kwa maana ya kutaka wakulima wajikwamue.ndiyo maana Leo hii hata vijijini debe moja ya mahindi imefikia 25000 shilling ya kitanzania. Lakini mh waziri unasahau madhara tamko lako.unasahau kuwa Kuna sehemu nyengine...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Nape aagiza wamiliki wa “Abroad Tv” wakamatwe kwa upotoshaji

    UPOTOSHAJI WA KIWANGO HICHI HAUKUBALIKI KWANI LENGO NI KUPOTOSHA NA KUCHOCHEA CHUKI DHIDI YA SERIKALI NA KUIPAKA MATOPE NCHI YETU. Nimewaagiza TCRA na vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili kwa chombo hichi. Vizuri hawa wawe mfano kwa wengine wa aina hii.
  8. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama wala ukabila au udini. Prof. Lipumba angetuvusha kama angeteuliwa kuwa Waziri wa Mipango, aliivusha Rwanda

    Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na mchango wa nguli huyu waliyemkodi kwa mwaka mmoja nchini kwao. Hata Uganda walimtumia. Watu kama...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa maliasili na utalii Njoo hapa

    Waziri wa maliasili na utalii kuna ujumbe wako hapa
  10. JamiiForums Tanzania Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  11. JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu Mstaafu Imran Khan anusurika kuuawa wakati akihutubia

    Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap. Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
  12. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) kumgomea Waziri. Je, huyu Waziri anatosha?

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wamemgomea waziri wa elimu, kwa kuipiga stop kamati yake chunguzuzi kukanyaga HESLB. Kutokana na uzito wa wajumbe wa bodi hiyo, waziri alishindwa kuwafanya kitu na badala yake aliibukia kwenye media na vitisho uchwara kwamba atawala vichwa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ndaki aelezea zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki Nchini

    Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeridhia ombi la kuongeza muda wa ukomo wa uwekaji wa hereni za utambuzi kwa mifugo kwa hiari kuwa tarehe 31/12/2022 na baada ya hapo hatua za kisheria zitaanza kuchukuliwa dhidi ya waliokaidi. Tangu mwezi Oktoba, 2021, Wizara ilianza kufanya utambuzi...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

  15. JamiiForums Tanzania Tuna Waziri wa Nishati asiyefaa hata kidogo. Huwezi kulazimisha Watanzania kupikia gas wakati purchasing power yao ni duni

    Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas? Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas? Huku ni kuwatukana raia masikini.
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa

    Waziri mkuu kwa niaba ya wanakijiji wa Mtera staff mpwapwa DODOMA nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kukupa afya njema na kuendelea na majukumu yako ya kitaifa. Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa naomba nifikishe malalamiko yetu kwako juu ya mradi wa maji ambao umehujumiwa kwa muda...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Aweso: Ruksa wenye visima Binafsi vilivyo hakikiwa kuhudumia wananchi

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka watoa huduma binafsi ya visima kutoa huduma hiyo kwa kuzingatia taratibu za uuzaji zilizowekwa kisheria ikiwemo maji bei elekezi na kuhakikisha maji hayo yana ubora. Amewataka wamiliki wa visima binafsi na vya umma kuendelea kutoa huduma hiyo kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jina la Mirembe lamkera Waziri Ummy, atamani kulibadilisha

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameeleza matamanio ya kuibadilisha jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe ili kuondoa fikra mbaya kwa jamii kuhusu wagonjwa wananotibiwa katika hoaspitali hiyo "Natamani libadilishwe hata jina la Mirembe kwakweli sababu ukienda pale unaonekana ni chizi...
  19. JamiiForums Tanzania Bei za vifurushi kupanda huku waziri mwenye dhamana akikenua meno kwa furaha ni matusi mazito kwa waTanzania

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk. Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Rishi Sunak: Waziri Mkuu tajiri kuliko Mfalme Charles III

    Waziri Mkuu mpya wa 79 wa Uingereza, Rishi Sunak ametajwa kuwa na utajiri kuliko wa Mfalme Charles III. Sunak na mkewe, Akshata Murty wanaelezwa kuwa na utajiri wa Pauni 730 milioni, ambao ni mara mbili ya utajiri wa Mfalme Charles III wa Pauni 370 milioni. Utajiri wa Sunak umeelezwa umetokana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…