waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso tusaidie Tanga tupate maji, Tanga Uwasa wanatutesa

    Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne! Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mwingulu: Miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi

    Waziri Mwingulu ameyasema hayo leo Jumatano Januari 11, 2023 alipokuwa akifungua Kongamano la Kodi Kitaifa jijini Dar es Salaam, akisema tofauti na zamani, sasa miongoni mwa Watanzania milioni 62, ni Watanzania milioni tatu tu ndio wanalipa kodi.
  3. JamiiForums Tanzania Ukiondoa Waziri Mkuu, anayefuata kwa kazi nzuri ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Sijawahi kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok. Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! Ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiondoa waziri mkuu anayefuata kwa Kazi nzuri ni Waziri!

    Sijawah kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok. Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Vishkwambi walivyoahidiwa walimu vimeenda wapi?

    Vishkwambi walivyoahidiwa walimu kupata vimepotelea wapi. Ingekuwa Enzi za JPM:- (1) Vishkwambi vingekuwa vilishasambazwa muda mrefu. (2) Hakuna Kishkwambi hata kimoja ambacho kingekwapuliwa kama ilifanyika sasa.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ungependa nani ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha Tanzania?

    Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye. Ungempendekeza Nani? Siyo lazima awe mwanasiasa anaweza akawa hata mtumishi wa umma au mfanyakazi wa private sector. Tutajane hakuna ajuaye.
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Marufuku wanafunzi kurudishwa nyumbani kisa ada

    Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi. Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada? Kazi ipo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi nesi mbishi apandishwe cheo. Rais Magufuli alimpandisha cheo trafiki aliyemrekodi mke wa Waziri Mahiga

    Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire. Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo. Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

    Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo. Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
  10. JamiiForums Tanzania Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki. Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Dharau kubwa, waziri wa CCM anawaza simu za mkopo wakata taifa lina shida ya maji na umeme kila kona

    CcM imejaa tabu na matatizo 👇
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Nimeanza kuona uzembe kwa Watumishi wa Afya, Tutawawajibisha

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi. Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

    Ndugu Zangu Watanzania, Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo tupe msimamo wa serikali juu ya lumbesa katika zao la vitunguu

    Ndugu mheshimiwa Waziri wa Kilomo Hussein Bashe,Kumekua na utata mkubwa juu ya ushonaji wa gunia za Lumbesa hasa kwa mazao ya vitunguu. Wakati wa mavuno.Mheshimiwa ulitoa tamko Mkoani Mbeya msimu wa nanenane ukiwa na mheshimiwa number one,juu ya katazo la ushonaji wa magunia makubwa (Lumbesa)...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

    Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise? Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
  16. JamiiForums Tanzania Tusimhukumu Waziri Mkuu Majaliwa kwa Kivuli cha Magufuli

    Habari zenu. Hakuna kitu kibaya kama unafiki, viongozi wengi nchi hii hufanya kazi kwa maelekezo, na kufuata namna ya kumuiga boss wake au kanuni za boss, hata Rais Hassan angekuwa waziri katika Serikali ya Magufuli tungemuona kwa taswira tofauti. Wivu na husda za kijinga na kipumbavu ndio...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwako Ummy Mwalimu - Mbunge wa Jiji la Tanga na Waziri wa Afya

    Heri ya mwaka mpya!! Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu. Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama mjamzito uzuri alijifungua kwa uzur kabisa shida inakuja hio bill, Wanabambikia watu mnoo yani...
  18. JamiiForums Tanzania Singida kufungwa 4 na Yanga yalikuwa maelekezo ya Waziri wa Nchi?

    Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4. Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia kwenye nchi walizopo. Amesema ni vema balozi hizo zikaanzisha majukwaa ya kiuchumi yatakayowakutanisha...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…