waziri wa ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  2. M

    Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  3. M

    Waziri wa ujenzi: Wananchi wengi wamejenga maeneo hatarishi kama :kando ya mito, makorongo na kwenye njia za mito ya msimu chukueni tahadhari

    Nawasalimu wote. Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali. Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri wa Ujenzi, Bashungwa Atoa Ufafanuzi Daraja la Kuunganisha Dar na Pwani: Litaanza Kutumika Kufikia Kesho Jioni

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza kuwa timu ya wataalam imeshafika kufanya tathimini ya daraja hilo. Bashungwa ametoa pole kwa...
  5. LUS0MYA

    Waziri wa Ujenzi epuka ufunguzi wa miradi kabla haijakamilika, mnatengeneza aibu

    Imezuka tabia ambapo miradi ambayo haijakamilika na kukabidhiwa kutoka kwa mkandarasi inazinduliwa kuanza matumizi yake. Kinachotokea sasa miradi inayotumika lakini haijakamilika inaongezeka na hakuna dalili kama inaendelea kujengwa. Mfano barabara kubwa ya Kimara-Kibaha na hii ya Morocco-Mwenge.
  6. Magufuli 05

    Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  7. T

    Hayati Magufuli ndiye mtu pekee toka CCM kuwahi kisifiwa na uongozi wa CHADEMA akiwa Waziri wa Ujenzi

    Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata Mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu. Kwa jinsi hiyo hata CHADEMA wangekuwa na mtu kama Magufuli wasingeacha kumpa bendera agombee Urais kwa chama...
  8. M

    Waziri wa Ujenzi una Wizara kubwa mno, sina hakika kama unaimudu

    Waziri wa Ujenzi una wizara kubwa mno, sina hakika kama unaimudu. Enzi hizo wizara hiyo ndiyo ilimtoa Hayati Magufuli mpaka kufikia kujulikana utendajikazi wake kwa Watanzania. Wizara yako inabeba ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji, usimamizi wa TEMESA, TBA, TAA, TANROADS, magari yote ya...
  9. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

    Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio. Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA. Tunaomba wafike saiti waangalie.
  10. Mudawote

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kusanya mapato kupitia malori yenye Uchanja

    GTs, Serikali kupitia wizara ya uchukuzi iweke amri Malori yote yenye uchanja yawekewe vyuma vya kuzuia makontena kuanguka kutoka kwenye uchanja wake. Tena hii kitu inaweza fanyika kupitia Temesa, fanya kila gari ikawekewa kingo 8@250,000 mara Malori yaliyopo mfano milioni mbili mapato jumla...
  11. J

    Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi (Zanzibar) afanya mazungumzo na uongozi wa Posta Zanzibar

    WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
  12. masopakyindi

    Prof. Mbarawa arudi kuwa Waziri wa Ujenzi, tutegemee nini katika sekta hii?

    Ama kweli dunia tambara bovu. Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji. Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives. Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita...
  13. Mpinzire

    Executive Agencies Act No 30 inaelekeza Mtendaji Mkuu wa Tanroads kuteuliwa na Waziri wa Ujenzi na sio Rais

    Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads . Nimeambatanisha hapa chini sasa sijui Mh Rais Samia Suluhu Hassan imekuwaje mpaka kumteua mtendaji...
  14. D

    Waziri Ujenzi tazama kasi ya ujenzi wa barabara ya bandari Dar, ikiwezekana wajenge usiku na mchana

    Barabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi! Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana! Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi! Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa...
Back
Top Bottom