Kufuatia vita vinavyo endelea, nimemsikia waziri wa Nishati Deo Ndejembi akiwahakikishia watanzania kuwa hakutokuwa na uhaba wa mafuta.
Hilo ni jambo jema kusikia hivyo, ila viongozi wetu mmekuwa wasemqji wazuri lakini ufuatiliaji umekuwa butu.
Tunamuomba Waziri na timu yake wafuatilie kwa...
[Jina lako kamili]
[Anuani yako kamili – mtaa, kijiji/kata, wilaya]
Simu: [Namba yako ya simu]
Barua Pepe: [Ikiwa unayo]
Tarehe: [Andika tarehe ya leo, mfano: 28 Julai 2025]
Kwa:
Meneja wa TANESCO Mkoa wa Pwani
Nakala: Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kibaha
S.L.P [Weka anwani yao kama unayo]...
Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo tena umekatika kuanzia mida ya saa 5 asubuhi mpaka sahizi haujarudi.
Kuna tatizo gani tuelezwe maana...
Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine.
Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi.
Sasa ni kawa na waza hivi yale mafuriko ya dar,mabomba ya maji yana pasuka ovyo.
Kwa mvua hizi DAR mngechezea shoti za...
Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika:
https://www.tanesco.co.tz/customer-services/property-tax
Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24.
Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126
Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
Hi Great Thinkers.
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA.
MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126
Niliipia kupitia control Number ya...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera.
“ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
Mbona kama tunaendelea kupangwa sana tofauti na uhalisia. Ukiangalia umeme bado katika baadhi ya maeneo mengi sana umeme umekuwa wakukatika sana.
Mfano mimi ninapokaa umeme siku mbili mfululizo unakatika asubhi unarudi jioni kama jana umekatika zaidi ya mara 4
======================
Naibu...
"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒
Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini?
Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco?
Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili kuboresha miundo mbinu.
Lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya bil 80 plus kuliwa na Makamba...
Na Mwandishi Wetu, Tanga.
NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa Gas.
Kutolewa kwa mitungi hiyo kwa wakazi hayo inalenga kuunga mkono kampeni ya Rais wa Jamhuri ya...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Naibu...
Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
Hii nchi miaka mingi wizara ya Nishati imekuwa ikihujumiwa pale anapoteuliwa Waziri mwenye malengo ya madaraka ya juu zaidi ya uwaziri.
January hakupenda kuondolewa kwenye nafasi ile kwa sababu aliondoka akiwa amefeli . Doto amepewa hii nafasi na imemfanya aonekane kama Waziri asiye na mikakati...
Katika jitihada za kuhakikisha maeneo yote nchini yanapata umeme wa uhakika, Serikali imeshaanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa Gridi katika Mkoa wa Rukwa kupitia mradi wa TAZA ulioanza kutekelezwa mwezi Novemba, 2023 na unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti, 2026.
Hayo yameelezwa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.