waziri wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mookiesbad98

    DOKEZO Bili za Dawasa mwezi huu ni kufuru. Waziri intervene please

    Kila nayemuuliza anakumbia bili ya maji ya mwezi January inayotumwa mwezi huu imekuwa kubwa kupita maelezo. Binafsi nyumba nayolipa bili unit 12 bili mwezi huu imekuja unit 125. Nadhani kuna matatizo ya mfumo au watu hawamuogopi Rais huko Dawasa. Enzi ya Magufuli hakuna ambaye anaweza kuchezea...
  2. PAYE

    Waziri wa Maji: Bili za maji ziendane na upatikanaji wa maji, Wananchi hawakupata Maji ile kawaida

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwalipisha wananchi bili za maji kwa kuzingatia uhalisia wa upatikanaji wa huduma, hususan katika maeneo yanayokabiliwa na changamoto ya maji. Waziri Aweso ametoa maelekezo hayo leo...
  3. Richard

    Ushauri wa bure kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso, acha kulialia! Chukua mawili matatu kutoka katika nondo hizi

    Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo nimeweka ile muziki ya Bongo Classics nakula muziki taratibu kushusha msosi. Lakini hapohapo nafikiria...
  4. Waufukweni

    Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu kumaliza tatizo la maji nchini na kubaki historia

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema iko siku tatizo la Maji litakuwa historia nchini kutokana na ongezeko la bajeti. Akizungumza jana Desemba 17, kuhusu hali ya upatikanaji wa maji, Aweso amesema miradi ya maji imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya uhaba wa fedha, hali iliyosababisha Serikali...
  5. Fbn

    Mtu Aliyenusurika Mabomu Mawili ya Atomiki japani

    Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini. Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
  6. Fbn

    Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  7. R

    PostGE2025 Jumaa Aweso asalia kuwa waziri wa idara ya Maji, Naibu waziri Kundo Andrew Mathew

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 17, 2025 ametaja Majina ya Baraza la Mawaziri ambapo katika Idara ya maji JWaziri ni Jumaa aAweso na Naibu waziri ni Kundo Andrew Mathew
  8. R

    GE2025 Waziri wa Maji Jumaa Aweso: Zaidi ya Trillioni 1 imewekezwa kwenye mradi wa miji 28

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amekuwa Wilayani Urambo katika ziara ya kikazi ya kimkakati ya kutembelea, kukagua na kujionea maendeleo ya Kazi ya Utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 kwa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge Akiwa maeneo ya matukio Waziri Aweso ameshuhudia ulazaji wa bomba la...
  9. R

    GE2025 Waziri wa Maji, Jumaa Aweso awaonya wakandarasi Mradi Miji 28 muda wa utekelezaji kutoongezwa

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso , Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Awesowote wanaoshiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Maji kwa Miji 28, akisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi ya kuongezewa muda kwa wakandarasi watakaoshindwa kukamilisha kazi kwa wakati Ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati wa...
  10. R

    PreGE2025 Waziri wa Maji Jumaa Aweso akagua Ujenzi wa Ofisi za RUWASA na kugawa Magari 19 kwa Ofisi za Makao Makuu na Wilaya

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi ya Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) na kukabidhi magari 19 kwa ajili ya ofisi za makao makuu na wilaya mbalimbali nchini. Akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Waziri Aweso alisema RUWASA...
  11. Pdidy

    Waziri wa maji, Maji ya kawe, Mbezi beach yanakuja na udongo, watu wana fungus wanaharisha pharmacy zimetuchoka msaada

    MHESHIMIWA WAZIRI WA MAJI, HABARINI ZA UZIMA. Pole sana na kazi zenu nyingi za kuhudumia wananchi. Napenda kukuletea kilio cha wakazi wa maeneo ya Kawe, Mbezi Beach na Makazi Mapya, ambao kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tatizo kubwa la maji ya bomba yanayokuja na udongo mzito...
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri wa Maji: Miradi ya maji 2331 imekamilika nchini

    “Jumla ya miradi ya maji 2,331 imekamilika ambapo 1,965 ni ya vijijini na 366 ni ya mijini na hivyo kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji vijijini kutoka wastani wa asilimia 70.1 mwaka 2020 hadi asilimia 83 mwezi Desemba, 2024 na maeneo ya mijini kutoka wastani wa asilimia 84 hadi asilimia...
  13. K

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa maji msilikubali hili.

    Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal. 1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada utadhani wapo jangwani. 2.Campsite nyingi kule ziwani zinatumia maji bila kufungiwa meter na hii ndo...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Aweso: Aitaka DAWASA kuwaunganishia maji wananchi watakaonufaika na Mradi wa Maji wa Bangulo kwa ufanisi na uaminifu

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwaunganishia maji wananchi watakaonufaika na Mradi wa Maji wa Bangulo kwa ufanisi na uaminifu, na kuhakikisha hakuna mianya yoyote ya rushwa itakayojitokeza kwani kuunganishiwa maji ni haki...
  15. Kisesetusese

    Hivi waziri wa maji yupo kweli? Hii changamoto ya maji kwa wananchi haisikii? Wananchi wanteseka tena ndani ya jij anania gani. Watendaji wapo kweli?

    Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama na Familia. Kwa Unyenyekevu wa Moyo wangu' na Shukrani Kwa Mungu Nawatakia Siha Njema mliojaliwa...
  16. MR.NOMA

    DOKEZO Mita/Dira za Maji zang'olewa usiku wa manane jana-Kiluvya -Kibaha. Waziri wa Maji tupia jicho hapa

    Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na shule ya Msingi Maximilian. Ambapo , Leo asubuhi wakazi wengi wa maeneo haya wenye mita mpya za maji...
  17. Mama Edina

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso

    Waziri wa maji Aweso. Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi. Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
  18. mirindimo

    Waziri wa Maji kusafiri kidogo tu DAWASA mnakata maji Jumapili

    Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend. Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    Mkuu wa Wilaya ya Muheza ampigia magoti Waziri wa Maji kuomba Maji wilayani kwake

    Siasa za Tanzania. DC wa Muheza, Bi Zainab akiwa amempigia magoti waziri wa maji Jumaa Aweso kuomba maji wilayani Muheza. Accountability imefikia huku
  20. Waufukweni

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso alivyomzawadia Diamond Platnumz kwenye birthday yake

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alimzawadia Diamond Platnumz KEKI kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake hapo jana Oktoba 2 na kula pamoja diko la birthday nyumbani kwa Staa huyo wa Bongo Fleva. Diamond alishukuru Waziri kwa heshima hiyo na kutoboa siri kuwa Waziri alihusika kupendekeza wimbo...
Back
Top Bottom