Mimi nimemaliza chuo kazi yangu ya kwanza ni Ubunge, lakini wewe na Hayati Dkt. Magufuli mliniamini kuwa Naibu Waziri leo ni Waziri wa Maji sio jambo jepesi, mimi Mama yangu ni Mama ntilie kabisa lakini umeniamini na kunipa dhamana hii kubwa
Mh. Rais uliniita na kuniambia Aweso naomba...
Aweso wewe ni kijana, Unao uwezo kabisa wa kufanya mambo makubwa na kuwa mtu mhimu sana katika hii nchi.
Nimeona Mama amekupamba na ukapambika, kiufupi tunaelewa kazi yako hasa ukiwa na msimamizi mzuri yaani waziri mkuu, rais na makamu wa rais.
Maji ni kero kubwa sana kwa wana nchi. Kwa...
Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza.
Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara.
Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha...
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa...
Dawasa Kimara huu ni mwezi sasa watu wamefanyiwa survey na kufanya malipo na risiti zipo ila hawaji kuunga maji.
Kila siku wanasema vifaa hawajanunua. Wanashindwaje kununua vifaa wakati tumelipia hela?
Serikali sijui iko wapi. Mkuu wa Dawasa kimara hatumtaki. Kama Waziri anasoma humu tunaomba...
Jana nilikwenda ofisi ya MORUWASA - Morogoro kufuatilia maombi yangu ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu, niliandikiwa invoice kuwa natakiwa kulipa zaidi ya Tsh 300,000 kwa umbali usiozidi mita 8 toka lilipo bomba (wao wanaita tawi) la mamlaka hiyo ambapo wengi wamechukulia hapo.
Nikawauliza...
Kama mtakumbuka mwezi mmoja au miwili iliyopita nilileta taarifa ya kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 mtaa Kariakoo kata ya Kitete.
Baada ya viongozi wa mkoa, wilaya, afisa mipango miji manispaa, mtendaji kata, mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji wa...
Kama Kuna zoezi gumu na linaweza kuitia hasara serikali nikushindwa kusimamia suala la taasisi zinazosimamia maji nchini. Taasisi hizi zihujumu huduma ya maji kwa njia zifuatazo;
1. Ukiomba kuunganishiwa maji upati msaada huo au utaambiwa subiri mradi utakuja ufike kwako, lakini ukizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.