waziri wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Maji eneo la Tungi, Morogoro bado ni changamoto

    Waziri wa Maji Juma Aweso alivyokuja alibadilisha uongozi kwenye idara ya maji hapa Morogoro na akasema maji yawe yanatoka hadi weekends kwa katikati ya wiki waweke utaratibu kama kutoka yatoke mara mbili au moja na kuanza kutoka nikuanzia asubuhi hadi saa sita usiku, lakini yanakuja kutoka...
  2. Ileje

    Wizara ya Maji kuna hoja hapa inahitaji majibu

    Huyu Mzee sijui anaongea kutoka kijiji gani ila lafudhi ni ya Kibena, yaani watu wa Njombe ana hoja asikilizwe! Soma pia: Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja
  3. Mkalukungone Mwamba

    Meneja wa usambazaji maji MORUWASA asimamishwa kazi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
  4. Z

    Aweso siyo Waziri anayefaa Wizara ya Maji. Rais lete rafiki mwingine awe Waziri wa Maji

    Wizara nyingi wamepangwa marafiki ili kujichotea pesa za serikali, lakini nahisi sasa wa-TZ pia tunahitaji Gen-Z yetu ipambane na uchafu ndani ya wizara zetu. Huyu anayejiita ni waziri wa maji hafai! Yeye ni kelele tu na kutaja jina la Samia. Kwani Samia ni maji? Miji yote nchini ina matatizo...
  5. Pfizer

    Dar: Waziri wa Maji Jumaa Aweso akunjua Makucha. DAWASA Waanza kulimia meno. Aendelea na Utumbuaji kwa Mameneja Wazembe

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso akunjua Makucha. DAWASA Waanza kulimia meno. Aendelea na Utumbuaji kwa Mameneja Wazembe. Ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake Mkoani Dar na maeneo yote yanayo hudumiwa na DAWASA, Waziri Aweso ameendelea kuchukizwa na utendaji Mbovu wa DAWASA. "Ukicheka na nyenyere...
  6. Doto12

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso piga marufuku uuzaji maji kwenye magari Dar es Salaam. Hii ni kama biashara haramu

    Nilifika sehem moja kinyerezi kwa casto. Nilishangaa maji yanauzwa wakati maeneo mengine hayatoki. Ni hujuma. Na Nadhani sio pia inahusika. Ili mama asipite 2025. PIA SOMA - Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini
  7. Pfizer

    Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini

    AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban...
  8. Pfizer

    Waziri wa Maji Aweso kuweka Kambi jijini Dar Es Salaam hadi kieleweke

    WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA DAR ES SALAAM Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar Es Salaam akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA). Ziara hii inatarajiwa kufanyika maeneo...
  9. A

    KERO Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji

    Habari za jioni ndugu, Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi mzima. Na DAWASA wamekaa kimya hakuna wanachoeleza cha maana ukiwapigia simu. Ni vyema sasa Waziri...
  10. U

    Mkurugenzi wa MUWSA anaonea wafanyakazi na hana sifa za Cheo chake

    Waziri wa Maji, lazima ujue nafasi ya ukurugenzi ni nafasi nyeti na Ina sifa zake zinazotolewa kiutumishi. Mkurugenzi wa Moshi MUWSA (mamlaka ya maji) Hana sifa Wala weledi wa kushika nafasi Ile, na amekuwa kero hata Kwa wafanyakazi wa ndani ya mamlaka , amekuwa muonevu na mtu namba moja kuvunja...
  11. Pfizer

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and Construction Forum and Expo) linalofanyika tarehe 19-21 Juni, 2024, Macao SAR, China. Waziri Aweso ni moja wa waalikwa kati ya Mawaziri...
  12. Pfizer

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi

    AWESO AHITIMISHA VIKAO VYA IDARA KWA IDARA WIZARA YA MAJI, ASEMA TAASISI ZINAFUATA Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akihitimisha Wiki ya Vikao vya Idara kwa Idara amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi maji ili kuisaidia wizara...
  13. JF Member

    KERO Waziri Aweso, Jiji la Dar Sasa wanakunywa na kuoga maji ya kwenye mifereji. DAWASA pakavu

    Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku. Bila haya maji, Jiji la Dar liko kwenye hatari ya kindupindu. Aweso changamka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi. Waziri wa afya pia...
  14. Cheology

    KERO Saranga wilaya ya Ubungo ina tatizo kubwa la upatikanaji maji

    Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni. Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji. Tusaidie
  15. peno hasegawa

    KERO Waziri wa Maji, Jumaa Aweso fika wilaya ya Chunya, kata ya Makongorosi, kijiji cha Itumbi, wananchi wanakunywa maji yenye sumu ya Mercury

    Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,. Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo. Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo. Watu wanajisaidia...
  16. Pfizer

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla

    WAZIRI AWESO ASISITIZA UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Ahimiza ufungaji wa mita za malipo ya kabla Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha agizo la Mhe...
  17. Annie X6

    KERO Responded Waziri wa Maji jitokeze huko uliko uagize Tabata Kinyerezi wafunguliwe maji

    Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa Mungu. Hawa watu waache kumtesa mwanamke. Imetosha baasi. Haiwezekani nadamka asb kuchota maji...
  18. MGOGOHALISI

    Ulanguzi wa Maji Dodoma: Waziri wa Maji Chukua Hatua

    Hii nimepenyezewa na watani zangu wa kigogo Wananchi wa Dodoma wanataabika kupata maji kutoa mamlaka yao ambayo ni Duwasa, huku Duwasa wenyewe wakiwapelekea wauza maji wenye matenki chini ya ardhi ili wauze Imekua ni kawaida kwa Duwasa kutoa ratiba ya maji ambayo hawaitekelezi. Ikifika Siku ya...
  19. Mpingamkoloni

    Waziri Jumaa Aweso, mulika Mamlaka ya maji safi na maji taka Mbeya, wanabambikiza bili kwa wateja waaminifu

    Ingawa hili ni tatizo la kitaifa, lakini Idara ya maji mbeya ni tatizo kubwa. Wanatesa sana walipaji bili wazuri. Huwa wanapandisha bili taratibu hadi wanafikia sehemu ambayo wanaona wao ndio stable na ajabu wenye malalamimo matumizi ya nyumbani huwa ni yaleyale, lakini bill zinabadirika. Kila...
  20. BigTall

    DOKEZO Waziri wa Maji na Mkuu wa Mkoa tusaidieni Wakazi za Muriet (Arusha) turejeshewe huduma ya maji, mwezi wa pili huu tunateseka

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Agape, Kata ya Muriet Mkoani Arusha tuna changamoto ya kukosa maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Licha ya kufanya jitihada za kuwasiliana na mamlaka ya Maji (AUWSA) hatujapata majibu ya kueleweka, hali hiyo imekuwa ikisababisha kero kubwa kwa wakazi wengi wa Agape...
Back
Top Bottom