Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu hapewi stahiki zake kwa wakati akiondolewa kazini.
Pia kuna kauli mbovu kwa wafanyakazi, watumishi wa...
Anonymous
Thread
kampuni
madini
musoma
musoma vijijini
timu
utendaji
vijijini
wafanyakazi
waziriwaziriwamadini
Mimi ni Mwekezaji mdogo kwenye sekta ya uchimbaji (mchimbaji mdogo) kuna mazingira ya unyonyaji na uonevu unaoendelea kwenye Mgodi wa Msasa Gold Mine kwenye Mji wa Runzewe ambao umefumuka au kuibuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2025, ukiwa unaendeshwa kama rush.
Awali, baada ya uvumbuzi wa...
Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia.
Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
1. Ongezeko la Bajeti – Bajeti ya Wizara ya Madini imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka. Kutoka shilingi bilioni 89 mwaka wa fedha 2023/2024 hadi shilingi bilioni 231 kwa mwaka 2024/2025. Kwa mwaka ujao wa fedha 2025/2026, tumeidhinishiwa bajeti ya shilingi bilioni 224. Asilimia kubwa ya bajeti...
Ndugu Waziri Mavunde,
Salaam..
Nimefuatilia mkutano wako na wanahabari, najaribu kuweka yatokanayo..
1. Itafaa sana wakati mwingine kwa mikutano km hii iandaliwe kwa staili ya hybrid kuongeza ushiriki na pengine uwezekano wa kupata michango bora zaidi, km kweli mna lengo la kuongeza...
Salaam!
Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga.
Haya ameyasemea Simiyu kanda ya Ziwa, Ndugu Deo Mahilinya, Amedai Tanga kuna mawaziri watano, iweje kanda ya Ziwa...
Waziri wa Madini, tunapozungumzia suala la leseni za utafiti wa madini (PL) katika Mkoa wa Mbeya, hususan Wilaya ya Chunya, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia.
Kwanza, ni muhimu kufahamu kwamba kuna leseni zaidi ya 20 ambazo zimeisha muda wake, hazijalipiwa, na zina wachimbaji wadogo waliotengewa...
Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, amesema ni marufuku kwa mtu yeyote mwenye leseni ndogo ya uchimbaji wa madini kumwingiza mgeni au mchimbaji mwingine asiyehusika moja kwa moja na leseni hiyo.
Akizungumza Aprili 24, 2025 jijini Dodoma katika hafla ya "Kurasa 365", Mhe. Mavunde amesisitiza...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta manufaa kwa taifa kwa ujumla na kutimiza azma ya Serikali kutoa leseni hizo.
Mavunde ametoa maagizo...
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji wa misaada ya kiufundi kati ya wamiliki wa leseni ndogo za uchimbaji madini na raia wa...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, 2024 kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita.
Akizungumza katika Banda la Tume ya Madini Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine...
ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA
Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA).
Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024.
Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini.
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa Wizara ya Madini inaahidi kuchukua hatua mbalimbali ili...
Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani Shinyanga katika Kijiji cha Mandu, machimbo ya Ntambalale Wilayani Kahama alipotembelea kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo.
Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuhakikisha kero zote zinazowakabili...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011.
Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu.
Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini.
Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo.
Gari Hilo linafanya ukusanyaji wa rushwa usiku na mchana, siku za kazi na siku za sikukuu.
Bosi wa Tume ya madini Chunya...
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya.
Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.