waziri wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

    Mimi ni Mtumishi katika Kituo cha Afya Kigamboni (Ferry karibu na Kituo cha Polisi Mzizima), uongozi kutumia vibaya madaraka yao kwa kujilipa stahiki zisizo sahihi mfano; wanajilipa hela za doctors OnCall allowance wakati hawaingii hizo call (viongozi hao ni mganga mfawidhi, Katibu wa Afya...
  2. Driz de Mafwele

    Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

    Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia. Anasema asingeenda India angepooza milele. Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India. Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video. Soma...
  3. Roving Journalist

    Kikao Kazi cha Waziri wa Afya na Wahariri wa Vyombo vya Habari Kuhusu Bima ya Afya kwa Wote

    https://www.youtube.com/live/FWBr6vt6MjY
  4. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  5. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacque

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akijadiliana jambo na Mkunga Mkuu wa Shirikisho la Wakunga la Kimataifa (ICM), Prof. Jacqueline Dunkley-Bent, wakati wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini...
  6. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  7. DuaZaMama

    Ummy Mwalimu: Taarifa za kuzuiliwa kwangu kwenda Nje ni uzushi na zipuuzwe nipo “OK”

    Baada ya kueenea kwa taarifa juu ya kuzuiwa kwa Aliyewahi kuwa waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutoka nje ya Nchi amevunja ukimya nakusema kuwa "Nawashukuru wote walionifikia kutaka kujua ukweli kuhusu hii. Ni uzushi. Ipuuzwe. Nipo OK. Alhamdulillah".
  8. Fbn

    Tetesi: Aliyekuwa Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu adaiwa kuzuiliwa Horohoro kuvuka kwenda Kenya

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kujiridhisha kuwa si ya kweli Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo. Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA. Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa mimi. Haya kazi kwenu mtachagua...
  9. M

    Jenista Mhagama alikuwa Waziri wa Afya wakati wa maandamano, kaondoka na siri gani?

    1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao? Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi? Je, hizi taarifa...
  10. PAYE

    Mchengerwa atoa siku 21 uwekezaji viwanda vya dawa

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameagiza Idara ya Huduma za Dawa, Ofisi ya Mfamasia Mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuandaa wito wa kuonesha nia kwa wawekezaji wa viwanda vya dawa na vifaa tiba ndani ya siku 21.
  11. funaku

    Waziri Wa Afya Mchengerwa kamilisha bima ya afya kwa wote tujitegemee

    Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu. ameipambania hadi tumepata sheria . Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania...
  12. R

    PostGE2025 Mchengerwa: Mimi ni mtu wa kazi si majungu, fanyeni kazi kwa weledi na uadilifu

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara ya Afya kufanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu na kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuleta tija na ufanisi kwa wananchi. Hii ni mara baada ya kuapisha jana Novemba 18, 2025 Mchengerwa ametoa wito huo alipokutana na...
  13. DuaZaMama

    PostGE2025 Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya

    Wizara ya Afya Waziri ni Mheshimiwa Muhammad Omar Nchengerwa na Naibu Waziri wake ni Mheshimiwa Dkt. Florence George Samizi.
  14. Yoda

    Waziri wa Afya Marekani aibua madai mapya ya kutahiri kuchochea usonji(autism)

    RFK Jr adai vijana wanaotahiriwa hasa wakiwa wadogo wengi wanakuwa katika hatari ya kupata usonji.
  15. McLaren

    Video: Waziri wa Afya wa Sweden aanguka live akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari

    Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
  16. Carlos The Jackal

    Tujikumbushe aliyekuwa Waziri wa Afya, Dr Gwajima akiwabana watumishi wazembe

    Dr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!. Inawezekana kabisa, Kazi yake Inakua nyepesi kwakua anapata Ushirikiano Mkubwa na Wananchi. Kinachonimaliza zaidi...
  17. DodomaTZ

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel achukua fomu ya kutetea Ubunge wa Jimbo la Siha, Mkoani Kilimanjaro

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
  18. robbyr

    Waziri wa afya afanye ziara Hospitali ya KCMC

    Viongozi wamekuwa wakitoa kauli zisizo na vitendo au uhalisia unaowakba wagonjwa. Nimeshuhudia hospitality ya KCMC hata mgonjwa wa ambulance anasubirishwa mapokezi mpaka kujaza taarifa na malipo ya awali Hili jambo si utani, unaweza kuona mtu wako anafia mapokezi basi wakati mwingine Mungu...
  19. Roving Journalist

    Naibu Waziri wa Afya: Busara inatumika, Mgonjwa mwenye uwezo analipa Hospitali za Serikali

    Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati busara inatumika licha ya uwepo wa Sheria...
  20. JanguKamaJangu

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel: CHADEMA wanajua Lissu hataweza kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akizungumzia kuhusu ushiriki wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu katika siasa ya sasa pamoja na kudai kuwa hana uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Back
Top Bottom