Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United
Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 27, 2026
———————————————————-...
Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
#WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema chama hicho kimepoteza kiongozi muhimu kufuatia kifo cha muasisi wake, Mzee Edwin Mtei.
Akizungumza wakati wa salamu za chama katika ibada ya mazishi iliyofanyika nyumbani kwa marehemu.
Heche amesema CHADEMA kinatoa salamu za pole kutoka kwa...
WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Mji wa Serikali, Mtumba–Dodoma, siku ya Alhamisi, Januari 22, 2026, kuanzia saa 3 asubuhi, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya serikali.
🚨 WAZIRI MKUU NETANYAHU: aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran.
Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika:
• Wanajeshi wa Uturuki au Qatar hawatakanyaga Gaza
• Katika awamu ya pili, Hamas itanyang'anywa silaha na...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 18, 2026, ameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Anglikana la Roho Mtakatifu jijini Dodoma katika ibada ya Jumapili, ambapo amesisitiza dhamira ya Serikali ya kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini katika kulijenga Taifa lenye hofu ya...
Rais wa Côte d'Ivoire, Alassane Ouattara, amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Robert Beugre Mambe pamoja na serikali yake siku ya Jumatano, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais.
Hatua hiyo inafungua njia ya kuundwa kwa serikali mpya kufuatia uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27...
Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana...
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema.
Dr. Slaa amesema...
Kila nikimsikiliza akiwa jukwaani nakuja kufahamu kwamba Waziri Mkuu anahutubia kwa mipasho mikali sana huku akiwajibu CHADEMA, ni kama vile haelewi madai ya CHADEMA au anafanya makusudi. Kama ilivyo kawaida yake tangu huko alipotoka. Huyu ni MUHAFIDHINA.
Wakati nchi imevimba kwa yaliyotokea ya...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
dkt. mwigulu
jamhuri
jamhuri ya muungano
mkuu
mpya
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mpya
mwigulu
mwigulu lameck nchemba
tanzania
watanzania
waziriwazirimkuu
wenzangu
wote
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo.
Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo...
mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
Assalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru
Njoo mpe majibu huyu Mzee
Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...