waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    PostGE2025 Uteuzi wa Dkt Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu Wawafurahisha na Kuwakosha Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia Amewakosha na kuwafurahisha kwelikweli Watanzania. Amewapa Zawadi Ya kufungia Mwaka. Amewapa kile walichohitaji watanzania. Amekata kiu ya watanzania. Amewapa matumaini ,tabasamu na nyuso za furaha watanzania. Uteuzi na Hatua ya Kumteua Uwaziri...
  2. Kwa nini polisi inapost kauli za Mwigulu? Wanaingiaje kwenye maswala ya bunge na waziri mkuu?

    Kwenye IG ya Polisi Tanzania wanaposti hotuba za waziri mkuu mteule Mwingulu Nchemba kwa misingi ipi? Mbona wanaleta mambo ya Polisiccm na siasa za uchawa. Yani tumeshindwa kuelewa Basi kama walitaka kumpost wangetengeneza post ya kumpongeza kuliko kufanya uupuzi wao kama huu. Na hii si mara...
  3. Bunge Liache Kuwa Rubber Stamp—Confirmation ya Mteule wa Nafasi ya Waziri Mkuu Inahitaji Confirmation Hearing!

    Bunge la Tanzania linapaswa kufuata best practice katika mchakato wake wa kuthibitisha uteuzi wa mtu fulani kuwa Waziri Mkuu. Kwenye nchi za wenzetu wenye mifumo thabiti ya kidemokrasia, mteule anayehitaji kuthibitishwa na Bunge huwekwa kitimoto wakati wa kile kinachoitwa “confirmation hearing”...
  4. KAZI YA KWANZA Waziri Mkuu Mwigulu aanzie vituo vya polisi aombe Rais kwa simu awatoe wooote walioandamana

    Kama kweli kuna nia ya kuliponya hili taifa basi kesho hiyo hiyo wangetolewa wooooteeeee bila kujali walivunja nini! Maana kama kukosea wooote tumekosea sio Rais, sio vyombo vya dola, sio wabunge, sio wapigakura, sio viongozi wa dini wala nani! Nchi nzima kila.mtu anamnyooshe mwenzie so...
  5. M

    PostGE2025 Baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bashiri Baraza la Mawaziri litakavyokuwa

    Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais. Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  6. Majukumu ya Waziri Mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu hayo na mengine ndiyo yanayotarajiwa kutekelezwa na Dkt. Mwigulu Nchemba aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  7. H

    PostGE2025 Hongera kwa Uteuzi wa Dkt. Mwigulu Nchemba – Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tunampongeza kwa dhati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Dkt. Mwigulu Nchemba kushika wadhifa wa juu kabisa wa kiutendaji – Waziri Mkuu wa Tanzania. Uteuzi huu unaonesha kuaminiwa kwa mtu mwenye rekodi ya kiutendaji serikalini, mwenye elimu ya hali ya juu, uzoefu wa kisiasa, na...
  8. S

    PostGE2025 Uteuzi wa Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu unatuma ujumbe kwa watanzania kuwa KAMA MBWAI NA IWE MBWAI

    Serikali nzima haitakiwi, Samia na Mwigulu ndiyo kabisaaa, hawatakiwi na watanzania. Maandamano ya 29.10 yalichochewa na mambo mawili: kuzuia uchaguzi na kuukataa uteuzi wa Samia kama mgombea urais wa Tanzania Katika maandamano hayo mabasi ya Ester yanayodhaniwa kuwa ni mali ya Mwigulu Nchemba...
  9. PostGE2025 Nini maana ya kuwa na waziri mkuu pamoja na makamu wa Rais?

    Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais. It's useless to have the PM as the head of the government, being appointed by an individual (President). It's even foolish to have...
  10. PostGE2025 Paul Makonda na Dotto Biteko msizuge, ukweli ni kwamba mmeumia vilivyo kusikia Rais kapeleka jina la Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu ajaye

    Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa. Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye...
  11. PostGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa kwa Bunge la Tanzania ili kupigiwa kura na wabunge. Baada ya pendekezo hilo, wabunge watapiga kura...
  12. Tulia Ackson ndio Waziri mkuu ajae

    Nimekaa pale Tulia ackson ndo waziri mkuu ajae , wengine wanaolinganishwa nae watapewa vyeo vingine vya uwaziri ,ila Makonda lazima awe waziri
  13. Waziri Mkuu mpya akiwa ni Kati ya Hawa wafuatao basi Samia ajipange kuanguka Serikali yake

    hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande 1. Mwigulu Mchemba Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye 2. Kabudi Huyu ni...
  14. Yupi waziri mkuu ajaye?

  15. Samia akimteua Tulia Waziri Mkuu tutafanyaje?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa unyama alioonyesha Samia ambaye wengi walihadaika kuwa ni mwamamke angekuwa gentle, akimteua Tulia asiyetulia mwanamke mwenzake itakuwaje? Je, watanzania watamkubali au kumfurusha?
  16. LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  17. R

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi aonya Wakenya kuvuka mipaka kushiriki siasa za nchi jirani

    Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
  18. L

    Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani. Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba...
  19. K

    Prof. Joyce Ndalichako, mwanamke wa shoka anayefaa kuwa waziri Mkuu

    Natamani sana waziri Mkuu awe mwanamke tena mwanamke chuma kweli ,mwanamke wa shoka mwenye uwezo mkubwa wa kiutendaji na hapa ndio naliona jina la Prof. Joyce Ndalichako anafaa kwenye nafasi hiyo. Mhe. Rais ,tafadhali mteue Prof. Ndalichako kama waziri Mkuu kwenye Serikali yako ili akusaidie...
  20. Tetesi: Je, Rais Ruto kumsogeza karibu Gideon Moi mtoto wa hayati Danile Arap Moi na kumteua kuwa naibu waziri mkuu?

    Nipo mitaa ya jijini Nairobi nikibarizi habari za hapa na pale na leo nimepata kusikia tetesi za Raisi Ruto kufikiria kumteua bwana Gideon Moi kuwa makamu wa waziri mkuu wa Kenya. Bwana Gideon ni kiongozi wa chama cha KANU na ni mtoto wa aliekuwa raisi wa Kenya Mzee Daniel Arap Moi ambae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…