waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nasikitishwa kuona Waziri Mkuu anazurura mtaani ati anatatua changamoto

    Hivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi? Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara ya kutatua changamoto za wananchi Hivi huyu Waziri mkuu atamfikia kila Mtanganyika ili atatue...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Baraza lote la Mawaziri

    Rais wa Madagascar, Michael Randrianirina, ambaye alichukua madaraka kufuatia maandamano ya Oktoba 2025, amemfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja baraza lote la mawaziri siku ya Jumatatu Machi 9, 2026, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wake. Aidha taarifa hiyo iliyotolewa na Harry...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mawaziri wekeni kwenye sheria watu anapolipwa mkandarasi, pesa zisizo zake ziende moja kwa moja kwa wale wanaofanya kazi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 9, 2026 akizungumza na wananchi wa Namanyere, mkoani Rukwa ametoa maelekezo kwa Mawaziri kuweka kwenye sheria kwamba mkandarasi anapolipwa fedha zake, zile ambazo si zake ziende moja kwa moja kwa watu waliofanya kazi. Ametoa agizo hilo baada ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hata haya mashimo Barabara ya Singida - Arusha tusubiri Waziri Mkuu apite ndiyo tumwambie ili atoe maelekezo?

    Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara maeneo ya Kirima Night Club. Maeneo hayo kuna mashimo ya kutisha sehemu za watembea kwa miguu ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Sijaelewa kinachoendekea. Waziri mkuu anajinasibu kuwa ana kinga na hamuwezi kumfanya kitu? Au mimi nimeelewa vibaya?

    Nimeoona Clip ikisambaa mitandaoni kuwa yeye . Mwigulu Nchemba hawezi kufanywa kitu na mtu yoyote. Alishapambana na wenye dawa hasa wamasai tangia anachunga ng'ombe maporini. Hii imekaaje na ina maana gani?
  6. JamiiForums Tanzania Kalamu ya Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD: Waziri Mkuu Mwigulu yuko sahihi ila tatizo liko hapa….

    Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu. Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono. Tatizo linaweza kuwa maeneo haya: 1. Je waliopigiwa makofi mengi...
  7. JamiiForums Tanzania Hajawahi kutokea waziri mkuu wa chawa kama Mwigulu

    Huyu, kwa wanaomjua, alianza uchawa akiwa shule. Kama akichunguzwa wizi uliotokea chini yake akiwa wizara ya fedha, hawa wanaompamba hata kama wamenunuliwa au kujipendekeza, watakosa pa kuficha nyuso zao. Kimsingi, hakuna chawa yeyote anayefaa kuwa rais hata wa kundi la nyumbu. Kimsingi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza tangu tumepata uhuru Rais na Waziri mkuu wake wanaongoza nchi huku wanalia majukwaani wanachukiwa

    Rais analalama kuwa anachukiwa sababu yeye ni mzanzibari Huyu anasema haitaji kupigiwa makofi pwa pwa pwa na kushangiliwa. Kwa nini wasitafute jibu kuwa watu hawawapend?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu: Vita na Iran haitadumu kwa miaka, inaweza kufanyiwa maamuzi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon, na Iran nayo ikishambulia nchi za Ghuba zinazohifadhi kambi za...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Manyara ni Magoti aliyechangamka, kelele zote zile ila ndio mkoa ambao Waziri Mkuu amekuta madudu hatari

    Kuongoza mkoa Hasa UKIWA umetoka vyama vya upinzania usipotuliza komwe utapigwa sana za uso mwishowe utadodonkea pia pwaa! Kwini wa Manyara inawezekana akawa the valueless mkuu wa mikoa katika ya wakuu WA mikoa nchini Tanzania. Ni mkuu wa mkoa ambae alikuwa kila siku yupo mitandaoni na maneno...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa uingereza: Marekani itatumia kambi zetu za kijeshi kujilinda na mashambulizi ya Iran

    Marekani imeiomba UK kutumia airbase zake kwenye vita dhidi ya iran mara baada ya bases zote za USA kuharibiwa vibaya middle east. Waziri mkuu starmmer amethibitisha kukibali ombi hilo. Na vipi hali ya USS lincolin? Kwanini aombe kutumia air base za Uk ============ UK PM Starmer says US can...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tusichukue bidhaa za watu, tusitupe bidhaa za watu hiyo ni mitaji yao - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Tusichukue bidhaa za watu, tusitupe bidhaa za watu hiyo ni mitaji yao - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Katesh-Manyara 🗓️Machi Mosi, 2026
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali kuangalia upya migogoro ya ardhi nchini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia upya suala la changamoto ya ardhi nchini. Amesema kuwa haiwezekani kuwepo na migogoro ya ardhi ya muda mrefu ambayo haiishi hadi kufikia hatua ya kutishia undugu...
  14. H

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU: SERIKALI KUANGALIA UPYA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia upya suala la changamoto ya ardhi nchini. Amesema kuwa haiwezekani kuwepo na migogoro ya ardhi ya muda mrefu ambayo haiishi hadi kufikia hatua ya kutishia undugu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba azindua stendi ya mabasi ya Dkt. Samia wilayani Hanang

    Ataka fedha zitafutwe kujenga barabara ya Katesh - Babati. Akataza watendaji kuchukua bidhaa za wajasiriamali wadogo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara ambayo imejengwa kwa gharama ya sh...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki mazishi ya Kardinali Pengo, Dar es Salaam

    WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA KARDINALI PENGO, DAR ES SALAAM Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 28, 2026 ameshiriki mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, yaliyofanyika katika Kanisa la Hija ya Bikira...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Wananchi wa Kipunguni wanalipwa lini pesa zao? Wezi wanavamia nyumba, kumebaki mapori tu

    Mh Waziri Mkuu, Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako. Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ukimaliza ziara, usiisahau Dar na anzia Kinondoni. Ruhusu watu watoe ya moyoni

    Waziri Mkuu goodmorning Nimeona nianze kukupongeza kwa kazi nzuri ya kusikiliza malalamiko ya wananchi mkoani Waziri Mkuu nimeona niseme haya Pamoja na kazi nzuri unayofanya yale maagizo huwa mengi hayatekelezwi. Mimi nilikuwa mshabiki sana wa ziara za Majaliwa, kwa kweli kuna mambo alikutana...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akifungua mkutano wa bodi za wakurugenzi za mamlaka za maji safi na usafi wa mazingira

    ▪️Mkutano huo unafanyika katika hoteli ya Ngurudoto-Arusha, Februari 24, 2026 📌 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekwamua miradi iliyoshindwa kutekeleza kwa muda mrefu na ameibua miradi mipya katika maeneo ambayo yalikosa maji kwa muda mrefu. 📌 Tunatakiwa tushinde ‘Site’, pale ambapo fedha ipo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini inanuka rushwa, ichunguzwe!

    Napoandika hii post leo, na siku za karibuni Waziri Mkuu amekuwa ziarani Mkoa wa Kilimanjaro, naomba na kumsihi Waziri Mkuu aifanyie uchunguzi Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini, mipango miji na TARURA kwa kula rushwa na kuuza maneno ya wazi au kuwezesha maneno ya wazi kuuzwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…