waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

    Waziri Mkuu naomba nikumbushe suala la stendi mpya. Mara ya mwisho unafika Songea ulikuta mgogoro wa stendi mpya iliyojengwa kilo mita 20 mbali na mji. Ulipokuwa Songea uliagiza mkuu wa mkoa na watendaji wa serikali wakae na wadau wa usafirishaji wajadili changamoto na waweze kuzitatua...
  2. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu imebeba ujumbe mzito si ya kubeza. Jaribu kufikiri kwa upana

    Waziri Mkuu ametilia shaka barakoa kutoka nje kuwa tujishonee wenyewe. Kuna watu wanabeza hii kauli, Kuna wanaodhihaki hata kutoa kauli chafu, kuna wanaotetea hii kauli kwasababu tu imetolewa na mwenzetu ktk serikali au chama. Kuna wanaoongea kwa hofu kwanini PM atoe kauli hii. Kuna wanaofikiri...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu kutilia shaka barakoa za kisasa na kutaka watu wajishonee matambara na kuyavaa usoni haiwezi kuachwa bila kujadiliwa

    Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia Watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo. Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka Wananchi kujilinda na Magonjwa kwa kunawa mikono na kuvaa Barakoa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana jukumu kubwa la kumuenzi Balozi John Kijazi kwa kutenda yale yote mema aliyokuwa akitenda. Aidha, amesema jukumu jingine ni kuendelea kuiombea familia yake, hasa katika kipindi hiki kigumu. Akitoa salamu za serikali kwenye mazishi ya Balozi...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aongoza msafara wa kupokea mwili wa Balozi Kijazi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2021 ameongoza mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali wailoshiriki katika...
  6. JamiiForums Tanzania Georgia: Waziri Mkuu ajiuzulu akipinga kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Upinzani

    Waziri Mkuu wa Georgia amejiuzulu leo kufuatia mpango wa kumkamata kiongozi mmoja mkuu wa upinzani. Giorgi Gakharia amesema kukamatwa kwa kiongozi huyo Nika Melia, huenda kukauzidisha mzozo wa kisiasa katika nchi hiyo ya zamani ya Sovieti. Hapo jana mahakama moja ya Georgia ilitoa uamuzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yana mambo mengi ya kujiuliza

    Vijana kama vijana tunasakamwa kila kona.Ukianzia nyumbani hapasomeki, wazazi wakati mwingine wanakuona kama mzigo, ukija kwa watengeneza sera wa nchi ndo balaaa! Viongozi wetu balaaa kubwa.Mara hatuwezi kuweka hata mbolea! Kazi kushinda mitandaoni ohh!? Mara kazi kuvuta shisha.wakati tunakua...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, kweli tangu awamu ya tano iingie madarakani gharama za maisha hazijapanda? Kuwa na huruma kwa Watumishi wa Umma

    Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa watumishi wa umma. Hivi PM Majaliwa tokea umekuwa waziri mkuu wa Tanzania unataka kusema kuwa gharama...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahadi uliyoahidi kwa Young Scientists wa Tanzania wanakuomba uitekeleze

    Nimemsikiliza huyu mwanasayansi kijana anayelipwa Shilingi laki mbili kwa siku akikumbushia WAZIRI MKUU ahadi aliyoahidi young scientists wa Tanzania kuwa aitekeleze.
  11. JamiiForums Tanzania Baraza la kwanza la Mawaziri, Mwalimu Nyerere akiwa Waziri Mkuu

    HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961. Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11. Siku hiyo ya uhuru ilipigwa picha ya Baraza hilo la Mawaziri. Katika picha hiyo, anakosekana Sir...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa DRC, Sylvestre Ilunga ajiuzulu

    Sylvestre Ilunga Ilunkamba amejiuzulu rasmi kama waziri mkuu wa Jamuhuri ya kisemokrasi ya Congo, na kuwasilisha barua yake kwa Rais Félix Tshisekedi. Bw Ilunga, ambaye ni mshirika mkuu wa mtangulizi wa Rais Tshisekedi, Joseph Kabila, ameongoza baraza la mawaziri la serikali ya Muungano kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mongolia: Waziri Mkuu na Waziri wa Afya wajiuzulu baada ya Maandamano makubwa kufanyika

    Waziri Mkuu wa Mongolia Khurelsukh Ukhnaa amewasilisha barua ya kujiuzulu mbele ya Bunge leo kufuatia maandamano ya umma kulaani jinsi serikali yake inavyoshughulika janga la virusi vya Corona. Shirika la Habari la Taifa limeripoti kuwa Ukhnaa amesema anachukua uamuzi huo kama sehemu ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amezindua safari ya meli ya MV Mbeya II itakayotoa huduma katika Ziwa Nyasa nchini na nchi jirani za Msumbuji na Malawi

    Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021.i 20.1 ambazo zimetumika katika kujenga meli tatu ambazo kati yake mbili ni za mizigo MV Ruvuma na MV Njombe kwa thamani ya shilingi bilioni 11 na meli ya abiria na mizigo ya MV Mbeya ii kwa shilingi...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amtaka Mkurugenzi kuleta gari kwa ajili ya Sekondari ya Tunduru

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amempa siku mbili Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoni Ruvuma, Gaspar Balyomi, awe amepeleka gari katika shule ya Sekondari Tunduru kwa ajili ya kuwahudumia walimu na wanafunzi shuleni hapo. Ametoa agizo hilo Januari 2, 2021, wakati akikagua...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu simamia viongozi, wananchi wamechoka kuchangishwa pesa za madarasa kila mwaka

    Tundu Lissu alilaaniwa kwa kuzuia michango ya lazima kwa wananchi. Sasa kila mwaka kuna michango kwa ajili ya madarasa, ni ukweli kwamba michango hii ni ya lazima kwa wananchi. Sioni taabu sana, tatizo langu ni wasimamizi wa michango hiyo na matokeo duni. Kundi la viongozi katika wilaya...
  17. JamiiForums Tanzania UFISADI: Waziri Mkuu amsimamisha Mhazini wa TPA na wengine. CAG aagizwa kufanya ukaguzi haraka

    Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam More to follow ===== WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuvunja Katiba kuwateua Prof. Kabudi na Mpango kuwa Mawaziri kabla ya kumuapisha Waziri Mkuu. Zitto ndiye alifaulu kupotosha umma

    _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ TITLE: KATIBA HAIMLAZIMISHI RAIS KUSHAURIWA ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 DATE: December 16, 2020 NEWSPAPER: RAIA MWEMA, pg. 19 _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ Tarehe 12/11/2020 Rais John Magufuli...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akagua na kuridhishwa na Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi, Mwanza

    Ujenzi wa mradi huo mkubwa wa kimkakati unagharamiwa fedha za ndani tshs Bilioni 700. Daraja hilo lina urefu wa kilometa 3.2 na ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Walionunua magari ya kifahari kwa fedha za walipakodi nawapa siku 7 za kujieleza

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…