waziri mkuu mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Waziri Mkuu Mstaafu, Pinda: Maandamano gani ya kuchoma Nyumba za Watu?

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na...
  2. Ojuolegbha

    PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
  3. Just Pray

    GE2025 Huyu kijana amefanya kazi ya kitume kumpiga spana waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda kukalia kimya matukio ya utekaji

    Huu ujasiri wa huyu kijana ni wa kuigwa, anamchana waziri mkuu mstaafu kuhusu tabia ya kukaa kimya na kutokukemea matukio ya utekaji na watu kupotezwa na sasa wanaenda kutafuta kura kwa wananchi, wakitekwa wote wakaisha nani atawapigia kura?
  4. and 998 others

    Pensheni na stahiki nyinginezo Makamu wa Rais Mstaafu na mwenza wake

    Zifahamu pensheni na stahiki nyinginezo kwa Makamu wa Rais (na mwenza) kwa mujibu wa Sheria ya Stahiki za Viongozi wa Kisiasa Wastaafu (na wenza wao) ya Mwaka 1999 kama ilivyofanyiwa MAREKEBISHO hivi karibuni (2020) 1. Pensheni ya Mwaka (utalipwa kila mwezi) sawa na asilimia 80 ya Mshahara wa...
  5. Valencia_UPV

    Stahiki za Waziri Mkuu mstaafu

    Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo, **Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi. Mengineyo 1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani), 2. Ulinzi (mpaka kifo), 3. Gari na dereva...
  6. 4

    Mzee wangu Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu endelea kupiga spana

    Leo nipo na furaha sana wakuu jf , amani ya Bwana ikawe juu yenu. Rejea mada tajwa hapo juu Mzee wangu Jaji na Waziri mkuu mstaafu mzee Warioba amani ya Bwana ikawe juu yako. Mzee wangu kama Taifa umetupa baraka sana Mungu akutunze mzee wangu. Kuna vilio huko ,ila kujibu hoja zako hawezi ...
  7. L

    PreGE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    Mizengo Pinda Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
  8. N

    Frederick Sumaye Waziri mkuu mstaafu yupo wapi?

    Habari wakuu? Naomba kujua tofauti waziri wakuu wasitaafu wengine kuonekana kwenye shughuli mbalimbali za serikali na hupewa heshima kubwa! Sijawahi kumuona mh sumaye akiwepo kwenye shughuli hizo kama waziri mkuu msitaafu! Tofauti na wengine! Hii imekaaje? Na yupo wapi?
  9. Mjanja M1

    Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho, Ijumaa Aprili 12.2024 anatarajia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Aprili 11.2024 Monduli...
  10. M

    Waziri Mkuu mstaafu wa Israel aelezea jinsi Israel inavyoitegemea Marekani katika vita yake huko Gaza

    Haya yamesemwa na Waziri mkuu mstaafu Ehud Barak: 1. Kumbe mabomu ya vifaru Waisrael wanapewa na Mmarekani. 2. Mabomu ya ndege, Jamaa wanapewa na Mmarekani 3. Mabomu ya iron dome jamaa wanapewa na mmarekani. 4. Kulindwa kwenye maamuzi ya kimataifa ya UN 5. Na pia kumbe wanategemea walindwe...
  11. Roving Journalist

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  12. GENTAMYCINE

    Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  13. Roving Journalist

    Paul Makonda: Tuishi katika kweli, tusitengenezeane ajali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amewasihi Watanzania kuwa na desturi ya kuzungumza mazuri ya mtu akiwa bado yupo hai badala ya kusubiri afariki. Makonda ameyasema hayo kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kueleza kuwa baadhi ya watu hawakuwahi kwenda kumuona...
  14. GENTAMYCINE

    Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
Back
Top Bottom