waziri mkuu kassim majaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  2. Just Pray

    SI KWELI PreGE2025 Waziri mkuu Kassim Majaliwa ataongea na wanahabari kueleza hatima yake ya kisiasa na uchaguzi mkuu 2025

  3. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufungua CHAN 2024 Kwa Mkapa. Angalia Msigwa na Mwijaku walivyotoa burudani

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2024, yanayotarajiwa kuanza rasmi Agosti 02, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Amebainisha hayo Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  4. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Chuo Kikuu cha Kilimo Belarus

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Belarus (Belarusian State Agrarian Technical University - BSATU) na kufanya mazungumzo na viongozi wa chuo hicho wakiongozwa na Mkuu wa Chuo, Romaniuk Nikolai. Mazungumzo hayo yamefanyika leo (Jumatano, Julai 23, 2025) kwenye...
  5. R

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Tuilinde amani ya nchi yetu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani huku akiwahakikishia kuwa serikali itatekeleza wajibu wake ipasavyo "nitoe rai kwa kila mmoja wetu kuhakikisha kila mmoja analinda na kuitunza tunu ya amani na utulivu wa nchi kabla wakati na baada ya...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma. "Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa...
  7. Waufukweni

    Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi. "Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
  8. Pascal Mayalla

    Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Paskali https://www.youtube.com/watch?v=rxqoSMPy4Ug
  9. JamiiForums

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mgeni rasmi Siku ya Pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani, Aprili 29, 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) yanaendelea Jijini Arusha ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, leo Aprili 29 kwenye Hoteli ya Gran Melia Matukio ya siku ya kwanza, soma World Press Freedom Day 2025, April 28, 2025...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Tanzania imepata Mafanikio Makubwa Katika Miaka 61 ya Muungano"

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni Taifa lililopata mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali za maendeleo katika kipindi cha miaka 61 ya Muungano. Amesema hayo leo (Ijumaa, Aprili 25, 2025) wakati akizungumza na maelfu ya wakazi wa Wilaya ya...
  11. B

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka mabalozi kuiishi falsafa ya Rais Samia

    Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuza diplomasia ya kiuchumi kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali duniani. Mheshimiwa Majaliwa amesema kufanya hivyo kutaiwezesha Tanzania kuvutia...
Back
Top Bottom