waziri kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Waziri Kombo apokea taarifa ya Kamati Maalum ya mapitio ya kituo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

    WAZIRI KOMBO APOKEA TAARIFA YA KAMATI MAALUM YA MAPITIO YA KITUO CHA DKT. SALIM AHMED SALIM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, (Mb), amepokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Wizara kuhusu mapitio ya kituo cha uhusiano wa kimataifa cha...
  2. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC-Organ)

    WAZIRI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC (SADC-Organ) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi...
  3. Ojuolegbha

    Waziri Kombo: Wizara ya Mambo ya Nje kuendelea kuongeza fursa za Kiswahili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia Balozi zake nje. Msisitizo huo umetolewa wakati akitoa salamu kwenye hafla ya ufunguzi wa...
  4. Ojuolegbha

    Waziri Kombo atembelea maonesho ya kimataifa ya biashara ya Cuba

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo tarehe 05 Novemba, 2024 ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Havana. Maonesho hayo yamewakutanisha wafanyabiashara wa ndani na Kimataifa ambao wanatangaza huduma na bidhaa zao ili...
  5. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aongoza kikao cha maandalizi ya ziara ya Rais Samia nchini Cuba

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameongoza kikao cha Ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliowasili Havana, Cuba kwa ajili ya maandalizi ya ziara ya kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini humo...
  6. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Samia

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  7. Ojuolegbha

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 27 wa Wakuu wa...
  8. Ojuolegbha

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola Apia, Samoa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 49 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaoendelea Apia, Samoa kuanzia Oktoba 21 hadi...
  9. Ojuolegbha

    Waziri Kombo akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Finland

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Finland, Mhe. Alexander Stubb yaliyofanyika kwenye makazi ya Rais jijini Helsinki Oktoba 10, 2024. Wakati wa mazungumzo hayo, viongozi hao walijadiliana masuala...
  10. Ojuolegbha

    Waziri Kombo: Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kuleta amani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama zinazoendelea kufanywa sehemu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Ukanda wa Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika na...
  11. Ojuolegbha

    Waziri Kombo asisitiza amani na usalama katika Kanda ya SADC

    WAZIRI KOMBO ASISITIZA AMANI NA USALAMA KATIKA KANDA YA SADC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha amani na usalama katika kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Balozi Kombo ametoa...
  12. Ojuolegbha

    Waziri Kombo apokea nakala za Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wateule wa Zimbabwe, Italia na Rwanda nchini

    Waziri Kombo apokea nakala za Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wateule wa Zimbabwe, Italia na Rwanda nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Zimbabwe nchini...
Back
Top Bottom