Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mjumbe maalum, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Kampala Uganda na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Meja Jenerali Paul Simuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe...
WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa.
Mhe. Waziri Kombo...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), akisaini kitabu cha Maombolezo alipowasili nyumbani kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA WAHARIRI KUELEZA MWELEKEO MPYA WA SERA YA NJE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mkutano maalum na wamiliki pamoja na wahariri wa vyombo vya habari kwa lengo la kueleza mwelekeo mpya wa Wizara pamoja na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam kama mgeni maalumu kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo, Bui Thanh Son...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel, ambayo ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Mawasiliano ya Haotel Tanzania Kanali Dao Xuan Vu, katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Hanoi, Vietnam...
WAZIRI KOMBO AWASILI NCHINI VIETNAM KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Hanoi, Vietnam kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili 27 hadi 30, 2025.
Akiwasili nchini humo Aprili 27, 2025...
WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango jijini Roma, Italia ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
Waziri Kombo asaini Kitabu cha Maombelezo Ubalozi wa Vatican Nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesaini kitabu cha maombelezo katika Ofisi za Ubalozi wa Vatican nchini zilizopo Oysterbay jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Kiongozi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameendelea na juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU), katika ziara yake ya kikazi inayoendelea mjini Brussels, Ubelgiji.
Akifanya mazungumzo kwa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, alifanya mazungumzo ya kina na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO), Dkt. Kunio Mikuriya, katika makao makuu ya WCO yaliyopo Brussels, Ubelgiji. Mazungumzo hayo yalijikita katika...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Uturuki.
Katika ziara hiyo ameshiriki Mkutano wa 4 wa Diplomasia wa Antalya (Antalya Diplomacy Forum - ADF2025) na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu Serikalini...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameeleza kuwa hatma ya maendeleo ya kiuchumi Barani Afrika inategemea umoja ulio imara wa bara hilo.
Waziri Kombo ameeleza hayo alipochangia mjadala kuhusu “Kukua kwa Nafasi ya Afrika katika Siasa za...
WAZIRI KOMBO AWASILI ANTALYA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasili jijini Antalya, Uturiki kwa ziara ya kikazi anayotarajia kuifanya nchini humo kuanzia Aprili 11 hadi 13, 2025.
Akiwa katika ziara hiyo...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
WAZIRI KOMBO AWASILISHA TAARIFA YA WIZARA KATIKA KAMATI YA NUU
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Menejimenti ya Wizara katika kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), kilichofanyika...
WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UTURUKI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. H.E...
Waziri Kombo alipowasilisha Ujumbe Maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. Dkt. Emerson Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe
Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya kiislamu ya Tanzania.
Ama iwe makosa ya kiuandishi (typo), kupitiwa, kudhania, kuitambua Tanzania kama...
Waziri Kombo akiwa pamoja na WanaDiaspora WaTanzania wanaoishi Luanda, Angola leo Jumapili 16 Machi 2025 alipokutana na WanaDiaspora wanaoishi nchini Angola baada ya kumaliza dhamana za kazi mchana wa leo Jumapili.
Kwenye picha anaonekana Ndg. Alamin na Mkewe Ramla na Mtoto wao Mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.