waziri kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Veronica Nduva wa EAC akiwa Equatorial Guinea katika kikao cha 47 cha baraza la mawaziri AU

    Akiiwakilisha Tanzania katika Kikao wa 47 cha Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika (AU), jijini Malabo nchini Equatorial Guinea, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashirirki kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri AU

    Waziri Kombo ashirirki kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri AU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika (AU) kinachoendelea jijini Malabo, Equatorial Guinea. Baraza...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya

    Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki Kongamano kuhusu Kukuza Huduma za Afya Ulimwenguni kupitia Diplomasia lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Canada. Apongeza Ushirikiano wa Maendeleo kati ya Tanzania na Canada

    Waziri Kombo Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Canada. Apongeza Ushirikiano wa Maendeleo kati ya Tanzania na Canada Katika kuadhimisha Siku ya Canada, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipongeza na kuishukuru Serikali ya Canada na Wananchi wake, kwa kukuza ushirikiano wa...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro kwa Niaba ya Rais Samia

    Waziri Kombo Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro kwa Niaba ya Rais Samia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amepokea ujumbe maalum wa Rais wa Visiwa vya Comoro...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China

    Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini China iliyofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 19 Juni, 2025. Akiwa nchini China, Mheshimiwa Waziri Kombo aliongoza...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Balozi wa Angola

    WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA ANGOLA Balozi wa Angola anayemaliza muda wake, Mhe. Sandro De Oliveira amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) kwa madhumuni ya kuaga. Katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam Juni 21...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri kombo awasisitiza diaspora kuchangamkia fursa

    WAZIRI KOMBO AWASISITIZA DIASPORA KUCHANGAMKIA FURSA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Watanzania waishio nchini China (Dispora) kuchangamkia fursa ikiwa ni pamoja na kuongeza mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki ufunguzi wa maonesho ya kimataifa ya biashara kati ya China na Afrika (caete)

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATI YA CHINA NA AFRIKA (CAETE) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameungana na Mawaziri wa Mambo ya Nje na Waratibu wa utekelezaji wa Mpango Kazi wa Jukwaa la...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa waratibu wa utekelezaji wa maazimio ya FOCAC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika tarehe 11-12 Juni 2025 jijini Changsha...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Ziarani Nchini China

    Waziri Kombo Ziarani Nchini China🇨 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Beijing, China tarehe 9 Juni, 2025 kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kiongozi wa Ngazi ya Juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri wa Watu wa China...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan

    Waziri Kombo apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Sudan Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala za Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan nchini Mheshimiwa Mohamed...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na benchi la ufundi la MKICC

    Waziri Kombo akutana na benchi la ufundi la MKICC Mapema leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na benchi la ufundi (technical team) linalosimamia ujenzi wa kituo kipya cha kimataifa cha mikutano cha ‘Mount Kilimanjaro International...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo anadi fursa za uwekezaji za Tanzania nchini Kosovo

    WAZIRI KOMBO ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI ZA TANZANIA NCHINI KOSOVO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Kosovo kuja kuwekeza nchini katika maeno matano ya kimkakati ambayo ni kilimo, madini...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu la Kosovo

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU LA KOSOVO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kosovo, Bw. Agim Ademi pembezoni mwa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana kwa mazungumzo na Rais wa Kosovo

    Rais wa Jamhuri ya Kosovo, Mhe. Dkt. Vjosa Osmani Sadriu amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ikulu jijini Prishtina, Kosovo tarehe 1 Juni 2025. Mazungumzo ya viongozi hao yalijikita katika...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili Kosovo kwa ziara rasmi

    WAZIRI KOMBO AWASILI KOSOVO KWA ZIARA RASMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ajili ya kuanza ziara rasmi pamoja na kushiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasisitiza machifu kushirikiana na serikali

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Machifu wa Kanda ya Vita ya Majimaji Kusini mwa Tanzania kuendelea kushirikiana na Serikali wakati wakitekeleza majukumu yao ya kimila katika jamii. Hayo yamejiri wakati Waziri Kombo...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili Geneva kusaka kura za Profesa Janabi nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili Geneva katika kampeni ya kusaka kura za mgombea wa Tanzania Prof. Mohammed Janabi katika nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uwepo wake mjini hapo ni...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Museveni

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Gen. Yoweri Kaguta Museveni Entebbe, Uganda. Tarehe 13 Mei...
Back
Top Bottom