Waziri Kombo akutana na Meya wa Mji wa Dallas
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo ya heshima na Meya wa jiji la Dallas Marekani, Mhe. Eric Johnson, katika Ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar Es Salaam...