waziri kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki katika ufunguzi wa Ofisi ya CRDB Dubai

    Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Vurugu za Oktoba 2025 zimebadili taswira ya Tanzania duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia ikatuelewa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameeleza kuwa diplomasia ya Tanzania imepita katika mtihani mzito zaidi tangu uhuru kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, lakini sasa nchi imerejea katika mstari baada ya kueleweka kimataifa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo atembelea maonesho ya 12 ya kimataifa ya biashara Zanzibar ZITF 2026

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗡𝗘𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝟭𝟮 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗬𝗔 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗭𝗔𝗡𝗭𝗜𝗕𝗔𝗥 (𝗭𝗜𝗧𝗙 𝟮𝟬𝟮𝟲) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar (ZITF) 2026 yanayoendelea katika Kituo cha Maonesho...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la mafunzo kwa watumishi wa umma

    Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa Jengo la mafunzo kwa watumishi wa Umma katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Zanzibar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Akizungumza...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia

    Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia. ============ Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akiambatana...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahutubia mkutano wa pili wa jukwaa la Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Afrika na Urusi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, akihutubia Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Urusi uliofanyika tarehe 19 na 20 Disemba, 2025, jijini Cairo, Misri. Mkutano huo ulihudhuriwa na Mawaziri wa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya ziara katika ubalozi wa Tanzania nchini Misri

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗨𝗕𝗔𝗟𝗢𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiambatana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Prof. Palamagamba Kabudi wamefanya ziara ya kikazi katika...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo na Kabudi wakutana na waziri wa mambo ya nje wa shirikisho la Urusi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Leo tarehe 19 Desemba, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi walikutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo, Kabudi wakutana na Naibu Waziri Mkuu wa Misri, Tanzania yamwagiwa sifa

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢, 𝗞𝗔𝗕𝗨𝗗𝗜 𝗪𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗡𝗔𝗜𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗬𝗔𝗠𝗪𝗔𝗚𝗜𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗙𝗔 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Prof. Palamagamba Kabudi wamekutana na kufanya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo na Prof. Kabudi waitembelea kambi ya taifa stars Misri na kuwakabidhi bendera ya taifa

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗡𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗙. 𝗞𝗔𝗕𝗨𝗗𝗜 𝗪𝗔𝗜𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗦 𝗠𝗜𝗦𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗞𝗔𝗕𝗜𝗗𝗛𝗜 𝗕𝗘𝗡𝗗𝗘𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, wameitembelea...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo aendelea kukutana na Viongozi na wadau mbalimbali kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Marekani

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ameendelea kufanya mikutano na Viongozi na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza na kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Marekani. Miongoni mwa Viongozi hao ni Mhe. Dkt. Ronny L. Jackson, Mwanachama...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha taarifa ya Ufafanuzi kwa Kamati ya CMAG kufuatia maandamano ya tarehe 29 Oktoba 2025

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya ufafanuzi kwa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Madola Wanaosimamia Utekelezaji wa Tunu za Jumuiya hiyo (Commonwealth Ministerial Action Group-CMAG) kufuatia vurugu...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Tanzania Bishwadip Dey

    Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey, katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

    Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki siku ya Taifa ya Finland

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki hafla ya maadhimisho ya Miaka 108 ya Jamhuri ya Finland, iliyofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 05 Desemba, 2025. Akizungumza katika hafla hiyo, Mhe. Kombo ameipongeza Finland kwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oneni Wizara ya Mambo ya Nje inavyoandaa nyaraka zake na kukitangaza Kiswahili duniani

    Document ya kiswahili lakini imejaa maneno ya kiingereza; na ikumbukwe huyu Waziri alihojiwa na BBC kiingereza kibovu kama cha nywinywinywi Document ya Wizara lakini menyewe yanadai ni Ubalozi… sijui yamedesa kutoka wapi Na tamko halitaji limeandaliwa na nani. Humo ndani kuna “serikali”...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo: Tanzania hatutakufa kwa kukosa fedha za EU

    Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Thabit Kombo: Mpaka sasa hakuna matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
Back
Top Bottom