Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa mwaka 2025/2026 na mpango wa bajeti wa mwaka wa Fedha 2026/2027 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama (NUU) jijini Dodoma.
Akiwasilisha...
MKUTANO WA MAALUM (KIKAO CHA 3) WA BUNGE LA TANO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EALA) TAREHE 16 MACHI 2026
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limemuapisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) kuwa Mbunge katika Bunge hilo tarehe...
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea rasmi nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania, Mhe. Catherine Karemu, Machi 3, 2026.
Mhe. Kombo amempongeza Balozi Karemu kwa uteuzi...
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA SINGAPORE NCHINI WAJADILI UMUHIMU WA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. Douglas Foo...
WAZIRI KOMBO ASISITIZA UFANISI NA UADILIFU KWA WATUMISHI WA WIZARA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasisitiza watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi, uadilifu...
Travelling all over the world kumkingia Kifua mteuzi wake, ametumià mabilioni mangapi?
Kipi amekifanikisha cha kuwasaidia watanganyika? ( Maana wa zenji hawana shida , hela si zao).
Anajua kuwa anachota maji kwenye mtungi uliotoboka, lakini kwa vile kuna anazoa mahela, basi bora liende, mkono...
Waziri wa mambo ya Nje, Thabiti Kombo akizungumzia suala lililoibuka mtandaoni kuwa Rais Samia hakutambuliwa wala kuongea kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika Adis Abeba, amesema kwamba walioruhusiwa kuongea kuongea ni wale walioingia kwenye mkutano huo kwa mara ya kwanza baada ya...
Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema "Viongozi wa Afrika wamempa moyo Rais Samia kwa yaliyotokea oktoba 29, na wamempongeza kwa ushindi Mnono alioupata kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29"
Aidha, amesema Vurugu za Oktoba 29 wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimejadiliwa kwenye...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akizungumza katika Mkutano na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya kikazi ya Rais Dkt.Samia, Addis Ababa Nchini Ethiopia.
Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ashiriki zoezi la upandaji miti kama ishara ya kumuunga mkono Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa uamuzi wake wa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa vitendo vya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema uzinduzi wa Ofisi ya Uwakilishi ya Benk ya CRDB Dubai ni kielelezo cha uhusiano mzuri wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia...
Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961.
Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameeleza kuwa diplomasia ya Tanzania imepita katika mtihani mzito zaidi tangu uhuru kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, lakini sasa nchi imerejea katika mstari baada ya kueleweka kimataifa...
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗡𝗘𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝟭𝟮 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗬𝗔 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗭𝗔𝗡𝗭𝗜𝗕𝗔𝗥 (𝗭𝗜𝗧𝗙 𝟮𝟬𝟮𝟲)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar (ZITF) 2026 yanayoendelea katika Kituo cha Maonesho...
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa Jengo la mafunzo kwa watumishi wa Umma katika Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) Zanzibar ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Akizungumza...
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia.
============
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akiambatana...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, akihutubia Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Urusi uliofanyika tarehe 19 na 20 Disemba, 2025, jijini Cairo, Misri.
Mkutano huo ulihudhuriwa na Mawaziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.