wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa shesrise_1

    vitu vingi namwambia yeye pekeyake lakini leo naomba nimuandikie barua ya wazi mbele ya wote kwako ShesRise_1 “Tabasamu lako linaangaza moyo wangu kama alfajiri inavyoifungua bahari baada ya usiku mrefu.” “Macho yako yana utulivu wa mwezi kamili juu ya maji yaliyotulia, mtu akiangalia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hii ni IP address ya nani: Mbona kuna mashimo mengi yako wazi?

    Kwa wale wadukuzi..... Nmap scan report for 212.7.194.67 Host is up (0.00099s latency). PORT STATE SERVICE 7/tcp open echo 9/tcp open discard 13/tcp open daytime 21/tcp open ftp 22/tcp open ssh 23/tcp open telnet 25/tcp open smtp 26/tcp open rsftp 37/tcp...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zitakazonufaika na fursa hii ya soko wazi la China

    china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa. Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja na mazao ya kilimo, madini na bidhaa nyinginezo; badala ya kuwa mazao yaliyoongezwa thamani, hatua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo: Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi. Kusema Ripoti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa

    Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi, Kusema Ripiti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa Maana ya Tume ni kuweka vitu vyote wazi, kufungua milango yote ya nyumba nzima na kuruhusu mwanga uingie ndani, na kumulika palipokuwa na giza, lakini tume hii haikufanya hivyo kabisa, sana sana kitu...
  5. JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA (CMSA, DSE, WIZARA YA FEDHA)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa jaji mkuu wa Tanzania kuhusu kuharakisha kesi ya Tundu Lissu

    BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia utoaji wa haki nchini. Lengo la barua hii ya wazi ni kuwasilisha ombi la msingi na la haki kuhusu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kukumbukwa kama Muasisi wa SMZ lakini mabaya na mauaji aliyoyafanya Abeid Karume hayawekwi wazi

    Watu walionekana kama wana akili na ushawishi wakati Karume ni rais wa Zanzibara waliuliwa na kuuwawa na utawala wa Karume Mfano ni baba yake na Humud na Kassim Abdula Hanga. Utawala wa Karume ulijaa mauaji na mambo mabaya ya kutisha. Ambayo hayawekwi wazi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mange Kimambi

    BARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB Ndugu Mange Kimambi, Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ninakuandikia barua hii ya wazi kwa heshima na nia njema, nikizingatia kauli zako za mara kwa mara...
  9. JamiiForums Tanzania Uchaguzi huru na wazi

    Uchaguzi huru na wazi ni uti wa mgongo wa uhalali wa mamlaka katika taifa lolote linalojenga misingi ya haki, amani, na maendeleo endelevu. Taifa haliwezi kusema lina demokrasia ya kweli ikiwa wananchi wake hawana uhuru wa kutoa maamuzi yao kupitia kura bila hofu, bila shinikizo, na bila mashaka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu atoa kauli ya kibabe: Mnaweza kukimbia, mnaweza kujificha, lakini mwishowe tutawapata tu

  11. JamiiForums Tanzania Kwa yanayotokea Chato leo, Mwigulu ni wazi HAPENDWI

    Kila akitajwa Majaliwa umati wa wananchi unainuka na kumshangilia kwa nguvu sana. Hii inamjibu Mwigulu aliyesema yeye hajali kupigiwa makofi wala kupendwa kwani keshapendwa na mkewe. Nadhani atakuwa mwanasiasa wa kwanza duniani kuamini kuwa kupendwa na mke kunatosha pekee. Hili la leo ni somo...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa vijana weka utaratibu maalum ulio wazi wa kusajili vijana platform online kila mkoa Ili kuepuka kujaza UVCCM tu ambao ndio wanakupokea

    Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha, Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbagala (Dar): Baadhi ya maeneo ya barabara yaliyokuwa yanazibwa na 'machinga' yaanza kuwa wazi

    Baadhi ya wafanyabiashara wa biashara ndogondogo (machinga) waliokuwa wakifanyia shughuli zao katika maeneo yasiyo rafiki, hususan barabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu, wameanza kupisha na kuondoka katika maeneo hayo. Tukumbuke kuna mdau aliwahi kuleta andiko hapa jukwaani akieleza...
  14. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  15. JamiiForums Tanzania Soma kwa Bidii, Maliza shule maisha yakuchanganye: Ukweli Ambao Wengi Hawakuusema Wazi

    Shule inakupa maelezo. Maisha yanakupa ufahamu. Ukichagua kimoja tu, utaishia kuchanganyikiwa. Kwa Nini Hili Ni Muhimu Wengi wetu tulifundishwa kufanya jambo moja tu: kuwa mtoto mwema kufuata sheria kupata alama nzuri kubaki salama kusubiri “baadaye” Halafu “baadaye” ilipofika, ilionekana...
  16. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu akiwa Kilindi Tanga

    Hongereni kwa majukumu ya kazi za kila siku. Barua hii kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania imfikie mh Mwigulu Nchemba waziri mkuu wa Tanzania akiwa kilindi Tanga Leo tarehe 13.02.2026. Kwakuwa kumuona mh.ana kwa ana ni ngumu tunaomba asome barua ya walimu wa kilindi Tanga inayohusu pesa...
  17. JamiiForums Tanzania Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

    Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused. Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
  18. JamiiForums Tanzania Dada wa Lissu: Lissu hapendi kificho anaongea wazi, tunataka haki, hizo 4R za Rais ziko wapi?

    Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake, kwani kwa namna anavyomfahamu mara zote Tundu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mawakala Selcom Tanzania hatupati Kamisheni ya kuuza Huduma ya Umeme

    Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika. Sisi kama mawakala: Tunaweka mtaji wetu binafsi Tunahudumia wateja na kubeba...
  20. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Jeshi la polisi lichunguzwe kwa uhalifu wa wazi na uvunjaji wa sheria .

    JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA. kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi. Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa Sheria .Sheria inataka unapo mkamata mtu moja ya haki ni kuwasiliana na Ndugu zake au mwanasheria wake au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…