wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Morning_star

    Wazazi wenye mabinti wanaosoma Vyuo Vikuu funguka

    Kama wewe ni mzazi au mlezi una binti yako! yuko au anategemea kusoma taasisi za elimu ya juu kwa udhamini wa bodi ya mikopo kaa chonjo! Mabinti ni jinsia ya kike! Ni wanawake hata kama hawajazaa au kuolewa! Ni dhaifu wamejaa tamaa! Sasa wewe mzazi unajiridhisha eti kwasababu kapata mkopo...
  2. Melki Wamatukio

    Binti akifikisha umri upi, sisi kama wazazi na jamii kwa ujumla tunapaswa kumwekea mipaka?

    Ambao mna uzoefu na watoto wa kike tunaomba mtupatie mwongozo. Ninashuhudia familia nyingi sana huku majengo mapya ushuwani, ukaribu uliopo kati ya baba na mtoto wa kike unakuwa wa kushtusha kidogo, yaani ni kawaida sana kumkuta baba akimpakata bintiye wa 10 years old tena bila wasiwasi kabisaa...
  3. Nobunaga

    Walimu wanaojitolea kufundisha kipindi cha likizo wapongezwe, wazazi msisite kuchangia chochote

    Nimefungua huu uzi baada ya kuona "dokezo" hili lililopostiwa hapa JF... https://www.jamiiforums.com/threads/walimu-shule-ya-mpanda-day-wanalazimisha-wazazi-tulipe-hela-ya-twisheni-wakati-wa-likizo.2163945/unread Nipo hapa kupinga hili dokezo kwa nguvu zote kwa sababu haliendani na uhalisia wa...
  4. blogger

    Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

    Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography. Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English. Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher... Walimu Wao...
  5. sky soldier

    Kuwe na adhabuya kifungo kwa wazazi / walezi wanaoficha ndani watoto walemavu, ni ukiukaji wa haki za mtoto

    Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana. Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
  6. Melki Wamatukio

    Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

    Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
  7. Ghost MVP

    Tabia ya Watoto wadogo kuimba na kucheza nyimbo za kijinga na wazazi wanafurahia na kuwaona wajanja

    Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana. Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya...
  8. K

    DOKEZO Responded Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Zamani watoto walitafuta wazazi wao waliowatelekeza, zama hizi wazazi ndiyo wanatafuta watoto wao

    Kwema Wakuu! Sikuwepo zamani sana. Lakini miaka ya tisini mpaka elfu mbili hivi ilikuwa kawaida Baba kumtelekeza mtoto au watoto huku akiacha maneno ya shombo, jeuri na kiburi. Kuwa akikua atanitafuta mwenyewe. Na kweli zamani hizo niliona watoto wengi wakifanya hivyo, wakitafuta wazazi wao...
  10. machiaveli

    Sisi ambao tumebarikiwa kuwa na wazazi wetu tuwaheshimu

    Habari zenu wote? Leo Kuna jambo nimekaa nikatafakari sana! Tulivyokua wadogo tuliwaona wazazi wetu ni kama watumwa wakutulisha,kutuvisha,kutusomesha na mambo kama hayo!! Kwa Sasa mi ni mwanaume(mzazi) wa around 35-40 nimekuja kugundua jambo! Kuna muda mzazi unakata tamaa kabisa na watoto...
  11. B

    Hii imekaaje ndugu zangu wazazi

    Mimi ni kijana mwenye mtoto wa miaka 5. Nina ukaribu sana na watoto yaani kwa kifupi mimi hupenda sana michezo na kuhakikisha watoto wanapata furaha na kucheka. Uzuri wangu mtoto akikosea huwa sipendi masihara nae, anakula mboko za kutosha. Najiepusha nisimpige kwa hasira sana kwa mikono au...
  12. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Gekul Awahimiza Wazazi Kufuatilia Mienendo ya Watoto

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini mkoani Manyara Pauline Gekul amewataka wazazi na walezi kufuatilia mienendo ya watoto wao pindi wakiwa mashuleni pamoja na kushirikiana na walimu ili kuboresha mazingira ya Shule pindi inapohitajika mchango wao...
  13. B

    Mwenyekiti wa Wazazi Taifa atembelea eneo litakalojengwa Mradi wa Kiwanda cha Wazazi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi- Taifa Ndugu Fadhili Maganya (mwenye suti nyeusi) wiki hii Jumanne Novemba 14, 2023 akiongozana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Tanga Ndugu Mbezi pamoja na baadhi ya viongozi wa Chama na Jumuiya wamekagua eneo panapotarajiwa kujengwa kiwanda cha...
  14. Mjukuu wa mama

    Niko njia panda katika maamuzi yangu na wazazi wangu, wanataka nijiendeleze kielimu

    Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia. Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
  15. DMmasi

    Muda wa watoto kurudi nyumbani umewadia

    Salaam wanajamii forums Ninawaona watoto wetu wameanza kukunja nguo wanarudi kijijini kwa wazazi kutusalimu Hawaji kwa sababu wanatupenda wanakuja tuwatemee mate na kuwapa baraka za kimila warudi mjini wakatanue maisha yao Kama kawaida hawaji kwasababu wametukumbuka sana hapana uko mjini muda...
  16. DR Mambo Jambo

    TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

    Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu. Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani.. Je...
  17. JanguKamaJangu

    Wafanyakazi 12 Shule ya Umoja wa Wazazi CCM walia mishahara, waandika barua kwenda kwa Rais Samia

    Waliokuwa watumishi (wastaafu) na ambao bado ni watumishi wakiwemo Walimu katika Shule ya Sekondari Bulima, iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, inayomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho (UWT) wamelalamikia kutolipwa mishahara yao kwa...
  18. BARD AI

    Walimu wasotea mshahara miaka 11 Shule ya Wazazi CCM

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa. Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
  19. Mr George Francis

    Wazazi na ndugu zako bado wanaishi

    Mwanaume unayetarajia kuoa au ambaye umeshaoa, pamoja na majukumu mengi uliyonayo, lakini unapaswa kukumbuka kuwa wazazi na ndugu zako bado wanaishi. Neno la Mungu linasema, MWANZO 2:24 "Kwa hiyo mwanamume ATAMWACHA baba yake na mama yake naye ATAAMBATANA na mkewe, nao watakuwa MWILI MMOJA."...
  20. Stephano Mgendanyi

    Hakikisheni Watoto Wachanga Hawapati Shida Watumiapo Kadi za Wazazi Wao

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wa mfuko wa bima ya afya na vituo vyote vya huduma za afya nchini kuhakikisha watoto na wazazi hawapati shida iwapo mama atakuwa na kadi yake inayoonyesha ushahidi wote kuhusu mtoto husika na ni mtoto wangapi kwenye familia. Dkt...
Back
Top Bottom