wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

    Kuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati. Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne, Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius...
  2. F

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha Watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza. Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10. Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu. Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
  3. M

    Hivi kumbe mahari zinafika milioni 7? Wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kutoolewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda

    kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7 wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
  4. ChoiceVariable

    Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

    Sasa usipowapenda ndugu zako na kujifanya unawapenda ndugu wa wengine ni unafiki na sala isiyokuwa na baraka. Upendo huanza nyumbani.
  5. M

    Ni sawa kusajili mali zako kwa jina la wazazi na/au ndugu zako wakati una mke/wake na watoto ?

    Kuna hii tabia inazidi kutrendi, mtu ana familia yake yenye mke na watoto lakini anasajili mali kwa majina ya wazazi na ndugu zake. Ni sawa ?
  6. Waufukweni

    TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  7. Bushmamy

    Rombo: vibinti vidogo kurubuniwa kutoka Kwa wazazi na kwenda kuuza Bar mpakani

    Vibinti vidogo umri chini ya miaka 17, wamekuwa wakirubuniwa na baadhi ya wafanyabiashara waliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania na kwenda kuuza Bar. Maeneo haswa yanayotajwa kushamiri kuwa na wimbi la mabinti wadogo wanaouza Bar ni Tarakea na Mashati Watoto hao wamesena kuwa wafanyabiashara...
  8. Pdidy

    Wazazi msiweke wazi shida zenu kwa watoto wimbi la kupotea na kujinyonga linaongezeka

    Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho Kwa...
  9. L

    Rais Samia Awakomba Maelfu ya Vijana Mitaani Na kuwapa Ajira Nono serikalini. Ni Tabasamu na Furaha tu kwa vijana na Wazazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika vijana wa Taifa hili wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia ,wana kila sababu ya kuendelea Kumuunga mkono ,wana kila sababu ya kumuombea Maisha marefu ,wana kila sababu ya kusema asante Mama kwa moyo wako wa upendo na huruma kwa vijana . Mama na Rais wetu...
  10. Bawabu wa pili

    Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?

    Wakuu, naombeni experience zenu hapa chini! Mdahalo huu unalenga tafakari ya kina kuhusu nafasi ya familia katika maisha ya mtu. Swali ni “Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?” Kuanzia malezi, upendo, changamoto, maadili, na...
  11. Waufukweni

    Je, ni sahihi kuwaeleza wazazi wako kiasi cha mshahara unachopokea?

    Wakuu, nimepata kazi! 🎉 Lakini baada ya furaha yote, dada yangu ameniambia kuwa ni lazima niwaambie wazazi wetu kiasi cha mshahara wangu ninachopokea. Akaniambia, “La sivyo, itaonekana unawadharau.” Hapo ndipo swali moja lilipoanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia: je, ni sahihi...
  12. Moto wa volcano

    Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  13. Kimbesa11

    Kwenye huu msimu wa sikuku Wazazi tutunze Hela za Ada za watoto wetu hapo January si vizuri mzazi kuwa na maelezo mengi shuleni ya kukosa ada

    Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu. Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla. Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
  14. Kimbesa11

    Watanzania tufanye kazi miaka 20-40 si miaka ya kuishi kwa wazazi au kulelewa na mtu Fulani

    Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku mikoani. Miaka 20 - 40 si miaka ya kuishi kwa kumtegemea mtu, au kuishi kwa kubet au kuishi kwa kulelewa...
  15. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  16. Ojuolegbha

    PostGE2025 Agnes Marwa awaasa wazazi kusema na vijana wao

    AGNES MARWA AWAHASA WAZAZI KUSEMA NA VIJANA WAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Mathew Marwa, ametoa wito kwa wazazi nchini kuchukua jukumu la moja kwa moja katika kuwaelekeza na kuzungumza na watoto wao, hususan vijana, kuhusu umuhimu wa uzalendo, nidhamu, na kujiepusha na...
  17. Bawabu wa pili

    Wazazi waomba kambi ya wanafunzi wenye ufaulu wa chini iendelezwe

    Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi hilo limetolewa mara baada ya matokeo ya mtihani wa MOCK wa kidato cha nne ngazi ya Mkoa kuonyesha...
  18. R

    PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunawaasa vijana wetu Disemba 9 kukaa nyumbani na wazazi wasishiriki mikusanyiko yoyote ya uhalifu

    Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na wazazi wao kuliombea taifaletu na kufanya ibadakama sehemu ya kudumusha amani na utulivu pia kupeuka...
  19. Troll JF

    Kuelekea Dec 09 vijana msiwaache wazazi wenu na ukiwa hebu mjitambue

    Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani. Lakini pia wazazi wako unawaacha na nani? Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa, hata ukikinukisha, wewe kuna direct benefit gani utayoipata. Yaani fanya ile wanaita...
Back
Top Bottom