wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Zanzibar yabinafsishwa kwa kampuni ya kigeni, wazalendo wahoji

    Chama cha ACT Wazalendo kimehoji juu ya mchakato uliotumika kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuipatia Kampuni kuendesha shughuli za bandari ya Malindi Zanzibar Katibu wa habari na uenezi ACT Wazalendo Salum Bimani, amehoji hatua hiyo wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

  3. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni...
  4. JamiiForums Tanzania Biswalo piga kazi wazalendo tupo nyuma yako

    Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki. Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila kuonea mtu. Sasa mafisadi na majizi yanatumia nafasi waliyopewa kulipiza kisasi kwa kumchafua na...
  5. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wapendekeza Bima ya Afya ifungamanishwe na PSSSF na NSSF

    Hatua hiyo inafuatia Ukaguzi uliofanywa na CAG kubaini hasara ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeongezeka kutoka Tsh. Bilioni 104 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Bilioni 205 mwaka 2021/22. ACT imependekeza Mifuko hiyo ya Hifadhi ya Jamii iwe na Fao la Matibabu ambapo 20% ya Michango...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waogopwe watumiao nguvu nyingi kujinadi wazalendo

    Watu wenye kutupia mavazi ma scarf na viwalo kujinadi uzalendo kama hivi: Ni wa kuogopa kuliko ukoma. Nyerere (rip) asinge wastahi majizi yote yajifichayo kwa kutanguliza dhana ya uzalendo mbele. Aliyetupia hivi: Aweza kuwa mzalendo sana kuliko wengi waliitalo jina bwana bwana hao...
  7. JamiiForums Tanzania Tusiwatukane wala kuwakejeli Wazalendo wa TANU Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    kopites said: ''Watu wanacheza bao,kunywa kahawa cku nzima,wanawaza simba na yanga tu kwa nini wasizidiwe ujanja.''🤣🤣 JIBU LANGU KWA KAPITES Mathalan nikikuomba ushahidi kuwa wazee wangu walikuwa wanacheza bao na kunywa kahawa siku nzima na wanawaza Simba na Yanga unaweza kuuweka hapa? Kahawa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Diaspora hawazungumzii katiba mpya, hakuna 'remittance' zao kwenye vitabu vya bajeti ya nchi; who are these diasporas? Ni kweli TZ ina diaspora?

    Ndugu zangu Diaspora tunapopigania uraia Pacha tuwe japo na data zakuonyesha mchango wetu kwenye uchumi WA Tanzania. Tuamue SASA kulazimisha remittance zisomeke kwenye vitabu vya hesabu, tukubali Kwamba huyu ndio wakati wa kuonyesha Tanzania ni Bora kuliko Taifa lolote na kwamba tulipoondoka Tz...
  9. JamiiForums Tanzania Pamoja na Rais Samia kuwabeba kwa mbeleko CHADEMA. ACT Wazalendo yazidi kukubalika kwa wananchi. CHADEMA yaonekana ni CCM B

    Huo ndio ukweli usiopingika. Chadema sasa wamejirasmisha ni CCM B. Maneno haya yalifamkwa na Mzee Mwinyi mwaka 1995 leo yanatimia kwa macho ya watanzania. Act wazalendo wanazidi kupaa na kupaa na sasa wanakubalika japokuwa nao ni tatizo la kisiasa.👇
  10. M

    JamiiForums Tanzania Act wazalendo: Chadema iombe radhi kwa kuwadhalilisha bodabida na watanzania kwa ujumla.

    Wanataka jimbo la Arusha? 👇
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Chadema, Ndugu ACT Wazalendo amesema kuwa Chadema imepokea ruzuku!

    Inaweza kuwa sahihi, Basi Bwana ACT Wazalendo alete ushahidi usio na mashaka kama payment voucher, cheque iliyolipa hizo hela, acceptance by Chadema official, bank statements and the like! Siyo nembo ya Bwana ACT Wazalendo na maandishi! Erythrocyte
  12. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi Chanzo: ITV habari
  13. JamiiForums Tanzania Mnakomaa kwa kelele kibao kwa kiofisi kama hiki, jengeni jengo la maana kama wenzenu ACT Wazalendo

    Kelele kibao kwa kiofisi kama hiki?
  14. JamiiForums Tanzania Wazalendo wa Ukraine wajichukulia mzinga wa Urusi, tena wa gharama sana

    Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana.... R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee... Ukrainian forces recovered one of Russia’s most advanced hypersonic missiles The Armed Forces of Ukraine have recovered the intact...
  15. JamiiForums Tanzania Mpira ni Uchumi, Siasa na Burudani, Rais ameonyesha njia Viongozi wengine, Wadau na Wazalendo tuunge mkono kuhakikisha Simba na Yanga zinashinda

    Kwa sasa mpira ni Biashara kubwa sana Duniani, mpira umekuwa ukichangia kukua kwa Uchumi kwa kutoa ajira, kukuza mitaji na kukuza biashara. Timu za Simba na Yanga ziko kwenye ushiriki wa ligi za CAF, na hivi karibuni walicheza michezo yao ya kwanza ugenini, hata hivyo hawakufanikiwa kuanza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya chama cha ACT Wazalendo kuamua kuwa chawa wa Samia kimepoteza mvuto kwa wananchi

    Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona akikosoa serikali zilizopita(Hasa serikali ya Magufuli). Na kweli ndugu Zitto ameacha kabisa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 ilikuwa ni genge la majambazi lililojiita wazalendo

    Majambazi ndio hutukia bunduki kupora na kuua watu, kuteka watu na kudai fidia Awamu ya 5 ina sifa zote za ujambazi Walikuwa wakivamia maduka ya kubadilishia fedha na bunduki na kuchukua fedha Waliweka watu Rumande na kuwaambia watoe mabilioni ndio itawaachia huru Walipiga watu waliokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuzindua Mikutano ya Hadhara Februari 19

    Siku moja baada ya CHADEMA kuzindua mikutano ya hadhara jijini Mwanza, Chama cha ACT Wazalendo nacho kimetangaza kuanza mikutano yake Februari 19, 2023 jijini Dar es Salaam. Akisoma maamizio ya kamati kuu ya chama hicho iliyoketi jana Dar es Salaam, katibu mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu...
  19. JamiiForums Tanzania Magufuli Tunu inayoheshimika na Mataifa nakuchafuliwa na baadhi ya Watanzania Wasio Wazalendo

    MAGUFULI ni Kwame NKURUMA au ni Fidel Castro wa karne ya 21, KIU yake kubwa ilikuwa kuona mabadiliko ndani ya Bara la Africa na mioyo ya waAfrica. Alidhamiria kuondoa mabaki ya utumwa kichwachi kwa Watanzania na Bara la Africa kwa ujumla, Mara ZOte aliyasema maneno nakutekeleza kwa vitendo koti...
  20. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yashinda kesi dhidi ya CUF kuhusu mgogoro wa majengo

    Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda kesi dhidi ya CUF visiwani Zanzibar. Ni kesi iliyohusu madai ya CUF kuwa baadhi ya majengo yanayotumiwa na ACT Wazalendo ni mali ya CUF. Mahakama Kuu yaweka bayana kuwa CUF haina ushahidi wa nyaraka wa kuonesha wanayamiliki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…