wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hongera timu Wazalendo kwa ushindi wa awali. Tukutane Mahakama ya Rufaa🙏🙏

    Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi. Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo: 1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika...
  2. JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania ndio wachumia tumbo na Wazalendo ndiyo vilaza hawaelewi kitu

    Hii ndio Tanzania yetu ukishapata kitengo, uongozi au nafasi ni muda sahihi wa kupokea rushwa, kufanya biashara magendo, ubadhirifu na uhujumu uchumi Viongozi na Watumishi hawana uchungu na hii nchi. Wazalendo ndio maskini wa kutupwa na wengi ni wajinga hawana uelewa wa kuhoji zaidi ya kujiita...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

    Tanzania imejaa na viongozi wafuatao.... 1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine. 2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani. 3. Viongozi ambao wana...
  4. JamiiForums Tanzania Kuihusisha ACT na udini kisa imechagua siasa safi ni mwendelezo wa matusi kwetu

    Friends and Our Enemies, This is the last kick of the dying horse, Chadema, wanaharakati uchwara, wafia dini na wapinga maendeleo ya nchi wamefikia hatua ya mwisho sasa. Wameona kuwa hila zao, uongo wao na lugha zao chafu baada ya kukataliwa na wananchi wameona sasa waanze choko choko na...
  5. JamiiForums Tanzania Tuwatambue wazalendo wa Tanganyika

    Ingawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena. Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao...
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya Kampuni Bora za Ujenzi nchini zinazomilikiwa na Watanzania

    Hebu tuzitaje Kampuni kubwa za ujenzi Tanzania ambazo ni za Watanzania, zile ambazo tunaona zina uwezo sawa na za nje. Tuweke list hapa please.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wazalendo waliodhulumiwa na serikali!!

    MZALENDO ALIYEDHULUMIWA KIWANDA AMEKUFA HAJAONA HAKI NAKUMBUKA mwaka 1999. Mara ya kwanza naingia chumba cha habari. Business Times Ltd (BTL). Newsroom yenye hadhi. Nilivutiwa na chumba kikubwa cha wachoraji. Kizuri sana, kiliundwa kwa vioo. Kila kijana mwenye kipaji cha kuchora, alipaona...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Bado kuna mambo yanahitajika ili kumuenzi kwa dhati hayati Magufuli na wazalendo wengine

    Habari zenu wana JF wenzangu Kwanza kabla ya yote ningependa niwe mkweli kwamba katika nchi yetu Tanzania toka tupate uhuru hadi leo, moyo wangu unaamini au kumchukulia hayati Magufuli kama mzalendo namba mbili baada ya hayati mwl Nyerere. Ninapozungumzia wazalendo namaanisha mtu au wale watu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

    Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine. Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa nchi yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge wengi wa CCM sio wazalendo kwa yetu

    Nimekuwa nafuatilia mijadala na vikao mbalimbali vya bunge letu hata wawapo majimboni hawatetei nchi wala wananchi ambao kimsingi wanawawakilisha. Muda wote wanamsifia mama Samia. Wote ni chawa ukiwatoa wawili tu Mhe. Luhaga Mpina na Sanga wa Makete angalau unawasikia wanaongea nini na...
  13. JamiiForums Tanzania Nashangaa Serikali na Bunge kununa kisa Wananchi wazalendo wamepinga mkataba wa Bandari

    Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache. Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue...
  14. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wakosoa Machinga kuondolewa mjini

    CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (machinga) katikati ya mji badala yake serikali inatakiwa kutenga maeneo ambayo yana watu wengi kwa ajili ya kundi hilo kufanya biashara. Katika mkutano uliofanyika jijini Mwanza jana, Kiongozi wa chama...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa JKT inazalisha mafisadi na watu wanaochukia nchi yao badala ya wazalendo

    Hii habari ya JKT Tanzania Nyerere aliiga China kwa Mao. Mao alivuruga kila kitu, watu wakatolewa mashuleni, kwamba haina maana na kupelekwa "JKT." Kigezo cha kuingia chuo kikuu kikawa si ufaulu shuleni bali bidii ya mtu na utii huko JKT. Watu walioenda kule JKT walikutana na mambo ya ajabu...
  16. JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuweni wazalendo, chunguzeni zawadi walizopewa viongozi na watumishi waliokwenda Dubai.

    Moja ya mbinu ambazo hutumika na 'wawekezaji' wenye nia ovu ni kuandaa safari za nje ya nchi za 'kuwaelimisha' wafanya maamuzi wa nchi husika. Safari hizi huambatana na ukarimu wa hali ya juu kwenye mahoteli ya kisasa na utalii wa maeneo mbalimbali ya kuvutia kwenye hizo nchi. Pamoja na hayo...
  17. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo walia na umasikini mikoa inayoongoza kwa kilimo

    CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kushawishi sera mbadala za kuondoa watu kwenye umasikini ikiwemo ya Hifadhi ya Jamii kwa wote itakayohakikisha kunakuwa na Bima ya Afya kwa wote. Chama hicho kimesema haikubaliki kuwa asilimia 61 ya watu masikini nchini Tanzania wapo mikoa ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waafrika wazalendo wachukizwa na kitendo cha Victor Oshmen kuoa mzungu, wanasema ni usaliti

    Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria, ambaye amekuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Italia, Victor Osimhen aliingia na mtoto wake mwenye mchanganyiko wa Kiafrika na kizungu uwanjani Mashabiki wengi mtandaoni kutoka Afrika walionyesha kutofurahishwa na mchezaji huyo kuzaa na mzungu na kuwaacha...
  19. JamiiForums Tanzania Geita: CHADEMA yapata pigo, mmoja wa Makada na Makamanda wakuu ahamia ACT Wazalendo

    Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
  20. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Bunge lapitisha Muswada wa kuwaadhibu wasio Wazalendo kwa Nchi

    Hatua hiyo imefanywa na Bunge la #Zimbabwe lenye idadi kubwa ya Wabunge wa Chama Tawala (Zanu PF) baada ya kukwama takriban miaka 5, ingawa Watetezi wa Haki za Binadamu wameipinga vikali. Muswada huo uliojadiliwa na kupitishwa kwa siku moja ulianza kutumika kama Sheria tangu mwaka 2018...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…