TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI
Ndugu Wanahabari,
Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
Magaidi waliokuwa wanatafutwa na Majeshi ya Israel kwa mauaji ya Oct 07,2023 hatimaye nao jana walipatikana na kuuwawa walipokuwa kwenye Gari lao.
Adiosamigo gallow bird zitto junior na 100 others Tunawasikia wakiongea lugha ya majini wengine lugha hiyo hatuijui kwa faida ya wengi tunaomba...
Kumekuwa na storie niseme propaganda zikiongozwa na mtu mzima Rais wa Marekani huku zikijibiwa kwa vitendo na Iran
Wenye akili walishajua kuna mtu alikuwa anajazwa kwenye mfumo naye kajaa kisawasawa kituo kinachofwata Israeli inaenda kufutwa kwenye Uso wa dunia na Marekani atapoteza kambi zake...
Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu.
Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani wanamkamata ilikuwa shughuli nzito.
Iran alitegemea zaidi kufanya mashambulizi kwa Proxies kama...
Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii?
Rais wa Zanzibari chukua hatua
Hili la wanawake kuwa na wanaume wengi limekuwa kama sheria waliyoipitisha wenyewe.
Yaani asilimia ndogo sana wanawaume zao baasi, hawa 1970 hadi 1990, hawa wa 2000 kuja 2010 asilimia kubwa wana mabwana zaidi ya wawili watatu, nani kawaruhusu?
Kama huamini na kama ni kidume chukua mtoto wa...
Februari 4, 2026
DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
Dikteta na fisadi papa kiongozi wa china xi jinping amewafuta kazi na kuwaweka kizuizini general wa jeshi wawili kuwashutumu wanatumika na Trump, Pentagon (USA) kuihujumu china
Anawasingizia kuwa wanaripot Pentagon kuhusu uwezo wa ki nuclear wa China
Huu uongo wa dikteta xi jinping unakuja...
Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali
Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni
Umaskini na njaa
Kodi kubwa
Kokosekana Kwa haki na usawa
Kuupuuza matatizo ya wananchi
Kwa upande wa kiongozi wa...
Wachezaji wawili wa Equatorial Guinea wamefungiwa kwa kuwatusi waamuzi katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku nahodha wa Burkina Faso, Bertrand Traore, akitozwa faini kutokana na kauli zake baada ya mechi, mashirikisho ya soka ya nchi husika yalisema Jumatano.
Nahodha wa...
Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police kuja haikufahamika.
Nadharia ambayo ilienea kwa kasi ni kuwa polisi walipopokea simu hiyo, wale...
Mmoja nilimwambia kwa kilichotokea ni kikubwa sana bado hapajatulia - akanijibu' YALIYOTOKEA YAMETOKEA NA YAMESHAPITA TANZANIA NI SALAMA NA MAISHA YANAENDELEA MSIKUZE MAMBO. baada ya hapo nikamblock. Mwanamke asie na huruma anaweza hata mimi akaniwekea sumu, halafu huyu ni single mother njaa...
Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS.
kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo
leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
Naandika Kwa uchungu sana, Mtanganyika mwenzetu TUNDU LISU anasoteswa mahakamani bila kosa lolote, Ili asigombee urais chura kiziwi apite, akajitokeza mh. Mpina Mtanganyika mwenzetu naye kawekewa Pingamizi la kihuni Ili kizimkazi aendelee kutapanya mali za Tanganyika Kwa waarabu.
Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.