waumini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aise ; zawadi kwa ajili ya waumini na mashahidi peponi.

    Mabinti au maswahaba safi waliolindwa ndani ya mahema au mboga wenye umri sawa na walioumbwa upya na bikra zao. Patamu hapo kila shahidi atajinyakulia mabinti vigori bila kujali idadi Vinywaji vya peponi mvinyo isiyolewesha na kukufanya upoteze fahamu. Hakika waisalamu mtainjoi sana huko akhera😁
  2. C

    JamiiForums Tanzania SDA kanisa langu kubalini kuwa wanafunzi wa Yesu na sio waumini wafuasi wa Ellen White

    Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..." Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji. Kuna hatari ya kujitengenezea theolojia na kuifuata kama ilivyo hata kama ina mapungufu. Kanisa linapaswa kujua...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini masikini wasitibiwe au kusoma bure kwenye hospitali na shule za dini

    Habarini, Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%. Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi? Wajinga ndiyo waliwao!!
  4. JamiiForums Tanzania Siri za Miujiza Feki: Jinsi Manabii na wachungaji Wanavyowatapeli waumini wao.

    Hivi unajua kuwa unapoona mtu anatapika "nyoka" kanisani au kiwete anatembea ghafla, mara nyingi hushuhudii nguvu za Mungu, bali unatazama mchezo wa kuigiza uliosukwa kwa ustadi na nguvu za giza (Occultism)? Je, unajua kuwa sekta hii imekuwa biashara kubwa inayovuna mabilioni kwa kutumia maagano...
  5. JamiiForums Tanzania Sera ya ujamaa ndio sera za wale ana waumini na kuwaamurisha.

    Tuna shukuru ijaweza kufanikiwa hapa ila imebakisha chembe chembe mambo mengine ya utawala kwa nchi za africa. Ukifatilia sera za ujamaa ni kama kikundi cha watu wanaofaidika wao na sio wananchi. Ukifatilia sera za ujamaa unaona kiongozi hata kama kawa kichaa,mkatili,mwenye afya ya akili...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutua kwa Kishindo Mkoani Songwe hapo kesho. Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini Na Maelfu ya Waumini. Asubiriwa kama Masia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho . Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Sangalo Hill Yageuka “Mlima wa Miujiza” Kadri Waumini Wanavyomiminika

    Kuna taarifa zinazosambaa kuwa mlima wa Sangalo, ulioko magharibi mwa Kenya, umeanza kuvutia idadi kubwa ya waumini wanaodai wanapata msaada wa kiroho, uponyaji, na majibu ya maombi. Kwa mujibu wa simulizi zinazoendelea kusambaa, watu kutoka maeneo mbalimbali wanadaiwa kusafiri hadi mlima huo...
  8. JamiiForums Tanzania Mwamposa anawaaminisha Waumini wake wamtazame yeye kama Mkombozi, huku akiwatenga mbali na Yesu

    Moja ya kitu alichofanyikiwa Jamaa ni kuwaamnisha Waumini wake wajinga wajinga kua Uponyaji Wokovu Utajiri Kufanikiwa Ni Matokeo ya kutumia Mafuta, Udongo, Keki, na blah blaaah Jamaa hafundishi kua "YESU Alikuja DUNIANI, akafa msalabani, na Kwamba KIFO chake kilitangaza uhuru dhidi ya Dhambi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini waumini wa dini huwa wanafanya dua, sala au maombi?

    Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu? Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
  10. JamiiForums Tanzania Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana

    Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Mapadre, Hawatayumbishwa na Waumini Kama Ludovivk, Walioamua Kumtumikia Shetani

    Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
  12. JamiiForums Tanzania Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  13. JamiiForums Tanzania Kama waumini kupeleka malalamiko yao Vatican ni ulofa, njaa na upumbavu, kwanini Kanisa Katoliki linahangaika kujisafisha?

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waumini waliojitambulisha kama wakatoliki wamemshukia Askofu Ruwai'ch baada ya kauli yake ya 'lofa'

    Wakuu kunazidi kuchangamka Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima. Mmoja wa watu hao...
  16. JamiiForums Tanzania Masheikh wanaokataza waumini wao Waislamu kusherehekea Christmas katika nchi kama Tanzania hawafikiri vyema na wana matatizo.

    Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Makanisa yabadilishwa matumizi baada ya kukosa waumini

    Nchini Ujerumani, idadi ya Wakristo inaendelea kupungua kwa kiwango kikubwa, hali inayosababisha makanisa mengi kubaki bila kutumiwa. Hivi karibuni, Kanisa la Mtakatifu Anna (St. Anna) lilijaa waumini kwa mara ya mwisho kabisa. Kwaya iliimba huku kinanda kidogo kikitoa hamasa wakati wa uimbaji...
  18. JamiiForums Tanzania Waumini wa Mwamposa wakichota udongo uliokombolewa

    Waumini maelfu wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.
  19. JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) mnawambia nini waumini wenu kuhusu maandamano yaliyopangwa siku ya Christmas?

    Wanaukumbi. Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu zikipostiwa na Mange na Maria Sarungi, cha kufurahisha haya maandamano yote TEC wameyapa baraka...
  20. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jumanne ya tarehe 10, imetangaza Misa Takatifu ya kuwaombea wafu wao ambao wamefariki katika fujo, vurugu, na uvunjifu wa amani uliotokea siku ya uchaguzi tarehe 29.10.2025. Well, how you do anything is how you do everything...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…