Nawasalimu wote kwa jina la Upendo. Amani, baraka na neema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja nanyi.
Kwa wakristu, hongereni kwa kuingia nusu ya pili ya mfungo wenu. Pia, nawatakia ndugu zangu waislam mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, mwenyezi Mungu awakirimie Neema na azipokee sala na...
Hebu fikilia m hungaji kama mwamposa anwaambiaga waumini kwamba kunywa pombe ni dhambi na Wala wasiguse kabisa waumini lakini yeye ana hoteli ya kitalii mahala flani (sipataji) na mle ndani anauza pombe, whisk, konyagi, K-Vant, Vodka, Pushkin, nk na wataleja ni wengi sana.
Sasa mbona tunauziana...
Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu.
Kenya. Kiongozi wa kiroho wa Kanisa la New Jerusalem sect lililopo Bungoma nchini Kenya, Eliud Simiyu maarufu ‘Yesu wa Tongaren’amelazimika kwenda kutoa taarifa polisi ili kuokoa uhai wake baada ya...
Nimeangalia clip ya wanaojitahidi waumini wa GeorDavie au wafanyabiashara soko la Samunge Arusha utagundua binadamu wanapenda kumsingizia Mungu.
Kwanza kwao, tishio la mauaji, as long haligusi watoto wao, siyo shida. Wanaona kama Lema anaigiza kisa kugusa milioni mia moja. Hakuna mcha Mungu...
Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam limeweka msimamo kuhusu utoaji huduma za kiroho kwa waumini wake, ambapo kuanzia sasa watakaohudumiwa ni wale wanaoshiriki ibada za jumuiya na kanisani.
Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Februari 11, 2023 wakati wa kikao cha Achidikonary ya Kibaha...
Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu.
Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu.
Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya...
Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho.
Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana...
Jumatano njema!
Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha.
Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini.
Watu...
Wakristo wengi wanamwomba Mungu awape maarifa ya kutafuta Mali.Wengi wanafanikiwa; wakifanikiwa Tu wenzao uacha kumtukuza Mungu Kwa kumpa utajiri mwenzao badala yake umwita freemason.
Wachungaji wote waliofanikiwa nchini wanaitwa freemason. Wafanyabiashara nao freemason.
Je, Mungu wa wakristo...
Nina mambo kadha wa kadha nataka niongee leo. Kwanza samahani mno kwa ndugu zangu walokole wenzangu kwa maneno na maswali makali ninayokwenda kuuliza humu!
Hivi kwa dunia ya sasa mtoto wako kufaulu darasa la saba ni jambo la kumshukuru Mungu mpaka kwenda kanisani KUTOA USHUHUDA?
Ndugu zangu...
Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama Dk Eliona Kimaro kupewa likizo, ibada ya asubuhi (Morning glory) imefanyika huku idadi ya waumini ikiwa ndogo tofauti na ilivyozoeleka.
Licha ya uchache huo wa waumini pia baadhi ya viongozi...
Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Tukiachana na kanisa hili la kilutheri kupasuka kila kukicha kwa migomo na vurugu kama ile vuta nikuvute ya...
Naona mabenchi matatu tu.Sijui waumini wanakuja na mabenchi yao
Mvua ikianza kunyeshq bila shaka na ibada inaishia hapo hapo,otea makanisa ya design hii huwa yanapatikan wapi?
Kuna tetesi kwamba Kuna mtu kafa, na alikuwa Katibu wa kanisa Hilo,habari zinasema alikuwa anakula vya madhabahuni, palepale katika lango la kanisa anapopitia mchungaji.
Habari zinasema ni makafara makubwa yanayotokana na masharti ya waganga wa naijeria na afrika magharibi ili kanisa like na...
Hawa nao sijawahi kuelewa sababu zao za kulipuana huko Afghanistan wakati wote dini moja....
At least one cleric and several civilians have been reported killed in the city of Herat, despite Taliban claims they have improved security.
An explosion rocked the Guzargah mosque in the city of Herat...
Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi.
Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani.
Kanisa nilikuwa...
Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine
Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
Polisi nchini Nigeria wamewaokoa watu 77 wakiwemo watoto kutoka kanisa walimokuwa wamefungwa katika jimbo la Ondo kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Baadhi yao wanaaminika kuwa huko kwa miezi kadhaa.
Msemaji wa polisi alisema wengi wao walikuwa wameambiwa kutarajia Ujio wa Pili wa Yesu Kristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.