Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake
Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi
Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu
Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi.
Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
Hamjambo!
1. Moja ya mambo yaliyonifanya niandamane na kunusurika kuuawa ni pamoja na kupinga Utekaji, mauaji, wasiojulikana na siasa zisizo za haki kwa wapinzani. Ingawaje sina chama lakini mimi ni mdau na mpenda haki.
2. Nakereketwa na kukerwa nikisikia mtu Fulani kapotea katika mazingira ya...
Huwezi kuua watu, miili ya watu umetupa porini, mingine umefukia makaburi ya halaiki, unaendelea kuteka na kuwabambikia watu kesi, halafu ukasema unataka maridhiano!! Ni upuuzi wa hali ya juu.
Mauaji ya kiharamia yaliyofanywa na kmkm wa Zanzibar, polisi na UvCCM, hayahitaji maridhiano...
Kwa mtazamo wangu.
Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata.
Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
Askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya, wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jana Desemba 16, 2025, katika eneo la Karasha, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, kwenye Barabara Kuu ya Mbeya—Tunduma.
Ajali hiyo ilihusisha gari la Mitsubishi Canter Boxbody la SGA...
Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo
Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote.
Alionae tangazo hili amtaarifu na...
Utekaji na mauaji ya wanaomkosoa Rais, Utengenezaji wa mifumo bandia ya Uchaguzi, tume huru bandia ya uchaguzi, utangazaji wa Rais na wabunge ambao hawakuchaguliwa na wananchi, na kisha mauaji ya kiharamia ya Maelfu ya Watanganyika, vyote vimefanyika chini ya Serikali ya CCM.
Ushetani huu wote...
Shikh Hasna, yule mama muuaji wa Bangladesh tayari kishapewa hukumu ya kifo!
Lakini sisi hapa ndio kwanza tunawatukuza na kushangilia wanao waua waTanzania?
Mtu utapata wapi nguvu za kushangilia uteuzi wa kutumika kwenye kundi la waovu?
Kukubali nafasi yoyote ya uteuzi katika haramu hii ni...
Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia.
Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi.
Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
====
Majibu kutoka kwa wadau
Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika.
1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia waliokuwa majumbani mwao na wengi kujeruhiwa
Askofu Msonganzila ameongeza kuwa nchi inanuka imepakwa mavi...
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000
Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu
Tundu Lissu ataachiwa J5. DPP atafuta kesi
Leo wamewaachia viongozi wa Chadema bila masharti ili kuonyesha...
Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police kuja haikufahamika.
Nadharia ambayo ilienea kwa kasi ni kuwa polisi walipopokea simu hiyo, wale...
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili ya jana.Short version for Gen ZiiInasemekana GenZii hawana time kusoma makitu marefu, hivyo Nawawekea short version kwa numbers
Dini zote zinafundisha utii kwa mamlaka halali za nchi, kwa sisi Wakrsto tunafundishwa kumpa Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.