watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Kitete Hospital(TABORA) bado hatujalipwa stahiki zetu

    Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi. Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na call allowance za mwezi wa 03/2025. Hivyo hadi sasa tunadai extra na call allowance za miezi...
  2. JamiiForums Tanzania Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

    Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri zetu kugawa namba za Watumishi kwa Micro-finances sio sawa

    Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo. Maswali ya kujiuliza ni: Je, taarifa za watumishi hawa haswa mawasiliano yao zipo salama? Lakini kama hawa watu wanaweza kujua hadi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbulu DC lipeni watumishi hela za kujikimu

    Kuna watumishi tumemaliza mwaka hatujalipwa fedha za kujikimu. Kuna baadhi wamekuja na hawana mda mrefu wameshalipwa kwani wanalipana kwa kujuana. Kuna wanaotakiwa kulipwa Tsh 150,000/= na Tsh 130,000/= per day lakini wanakatwa na kulipwa Tsh 80,000/= hiyo nyingine inaenda wapi? Kama sio kuiba...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Homera aagiza watumishi wenye utendaji mbovu Jimbo la Namtumbo kuhamishwa

    Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuwahamisha watumishi wawili wa kata ya Lusewa ambayo ipo katika wilaya ya Namtumbo kufuatia hali ya utendaji kazi mbovu. Maagizo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Bunda Mji: Watumishi Wapya Bado Hawajalipwa Fedha za Kujikimu na Mshahara wa Kwanza tangu Julai 2025

    Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji. Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
  7. JamiiForums Tanzania Baraza la usuluhishi wa migogoro ya watumishi wilaya ya Nyamagana - Mwanza

    Habari zenu wana JF...!! Nahitaji msaada wa kupata Mawasiliano ya mtu anae husika na Baraza hilo tajwa hapo juu, kama nitampata Muhusika moja kwa Moja kutokea hapa nitashukuru pia. Mawasiliano yangu: 0653717447 Ahsante
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tuwe tunajiandaa kustaafu mapema kabla ya miaka 55 au 60. Ujumbe huu muhimu kwa walimu

    Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu. Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru. Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu ujumbe.
  10. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu mnaoendekeza siasa madhabahuni mnajishushia heshima mnapuuzwa

    Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣 Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu: Watendaji na Watumishi wa umma acheni tabia ya kuzoea matatizo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi. Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
  12. JamiiForums Tanzania Mikopo isiyo na Riba kwa watumishi wa umma

    Habari ndugu watumishi wa sasa na wale watarajiwa Serikali huwa inatenga kiasi cha pesa kwa ajili ya kuwakopesha watumishi wake. Mikopo hii haina riba kabisa (ukiacha gharama kidogo sana za kuprocess). Lengo la mikopo hii ni kuwasaidia watumishi kupata fedha za kujenga nyumba, kununua usafiri...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ngorongoro wajengewa uwezo, wakumbushwa kujiimarisha katika masuala ya mawasiliano na itifaki za kijeshi

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo Watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi hiyo. Kaimu Meneja Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo, Hamis Dambaya amesema kuwa kufanyika kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kile kikao cha mali za watumishi naona kimeishia pale pale

    😄 Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali. Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki. Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu kupikia mchemsho.
  15. JamiiForums Tanzania Wakristo mmejipangaje kusimama na watumishi wenu?

    Mpaka sasa dini ya haki imeshajulikana ni ipi neno HAKI ni neno hatari sana kwa watawala wanyonyaji, wauaji, wanyanganyi, wezi wa kura...nk Hawataki kusikia msamiati haki ukitamkwa mbele za watu, mbele za watanganyika wapenda haki. Kwa Tanganyika yetu ya leo ukijaribu kutetea haki wewe ni adui...
  16. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yawataka watumishi kuripoti kazini saa 1:30 asubuhi

    Watumishi wa TAMISEMI mmefikiwa huku Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amewataka watumishi wote waliopo chini ya Tamisemi nchi nzima kuzingatia muda wa kuripoti na kudumu kazini kulingana na kanuni za kudumu za utumishi wa umma. Amesema watumishi wanapaswa kufika...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa watumishi wa umma mbalimbali waliothibitishwa wana elimu za hapa na pale au elimu mbalimbali

    Habarini Naomba huu uzi uwe ni daraja la kuwatumbua wote wenye elimu za kuunga unga ili iwe kama tahadhari kwa wanaowateua na kuwapa nafasi. Hapa zitawekwa CV zao na itakua kama database ya wenye elimu za hapa na pale wote Tanzania nzima Karibu
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Watumishi wote wa Umma endeleeni kufanyia kazi nyumbani Oktoba 31

  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yawataka watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani Oktoba 30

    Msigwa amewatangazia Watumishi wote wa Umma kutotoka nyumbani kesho
  20. JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuwalipa watumishi wa Dar mishahara mikubwa kuliko wa mikoani?

    Mara tu baada ya uhuru, serikali ya Tanganyika ikafanya mapitio juu ya mishahara ya watumishi. Ikaja na uamuzi kuwa kima cha chini cha mshahara kitakuwa Tsh 150 kwa wakazi wa Dar na Tanga. 125 kwa wakazi wa miji kama Mwanza, Moro, Arusha, Dodoma, Iringa, Mtwara, Mbeya nk. Kwa miji midogo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…