watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DC Nickson Simon John awataka watumishi Songwe kujenga utamaduni wa kazi unaotoa matokeo

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi. Akizungumza katika kikao...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, Kongwa, Dodoma, wanatembea na dawa kwenye mabegi na kulazimisha wagonjwa kununua

    Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua. Aidha, watumishi hao wanawajibu wagonjwa kwa lugha isiyo ya staha wanapouliza kuhusu upatikanaji wa dawa, wakiwaeleza kuwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tuliohama Hospitali ya Wilaya ya Nzera - Geita hatujalipwa malipo ya 'extra duties'

    Kero yangu ni kutokulipwa malipo ya extra duties kwa watumishi ambao tumehama katika Hospitali ya Wilaya ya Nzera, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita. Viongozi wa hospitali hawajalipa malipo ya extra duties kwa wafanyakazi ambao tulifanya kazi hizo kwa nguvu zetu zote. Badala yake...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba mtupazie sauti, Watumishi wa Umma ngazi ya Kata, tunateswa na Madiwani, Watendaji na Uongozi wa CCM

    Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na kiutendaji. Tunachangishwa michango ya chama, wakati kwa maadili ya utumishi wa umma, wataalamu tunapaswa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna uzembe mkubwa Makao Mkuu ya Utumishi Dodoma, ila hakuna wa kuwawajibisha

    Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo. Si Rais, Waziri...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KERO HALI HALISI TEMDO: Mishahara, Increment na Madeni ya Watumishi

    TEMDO (Tanzania Engineering and Manufacturing Design Organization) ni Shirika la Umma Tanzania linalojikita katika usanifu wa mashine na mitambo, uhandisi wa bidhaa, utengenezaji wa prototypes na teknolojia za uzalishaji viwandani. Pamoja na majukumu hayo, kuna changamoto kadhaa zinazowakabili...
  7. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa tunakumbana na changamoto nyingi, tunaomba msaada wa Serikali na TAKUKURU

    Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums. Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili. Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania siasa za mahusiano ya kimapenzi za maafisa halmashauri na madams walioolewa na watumishi wenzao halmashauri husika,Tunakomaje!!?

    Umetoka nae huko mbali sana kusipojulikana,maafisa wanaanza kumpitia ,unafikiri hicho kiburi,majigambo,majivuno,kelele unaweza ku survive!!? Pale utakapoanza kuonekana wa kawaida na hata mwenza kukutishia afisa husika kama spinning machine ya kiburi chake,je utavumilia!!?kisa watoto na siasa za...
  10. JamiiForums Tanzania Vifo vya watumishi wa serikali Idara kadhaa hivi karibuni: Utawala wa serikali kuu una matatizo.

    Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni. Vifo ninavyokumbuka: 1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7 2. Askari polisi 5 na mahabusu 7 kufariki ajali gari la polisi 3. Gari Mkuu wa wilaya kukaidi amri ya kusubiri Inyala, Mbeya na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa Halmashauri ya Chunya hatujalipwa stahiki tezu

    Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa. Hali hiyo imeanza kuathiri...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa umma wanaringa wakiwa kazini?

    Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukipita ofisi hizi wapatie watumishi chochote

    Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino hatulipwi stahiki zetu inavyostahili

    Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino, Dodoma, hatulipwi stahiki zetu kwa mujibu wa mwongozo wa Serikali. Sambamba na hilo, idadi ya siku za malipo hupunguzwa na baadhi ya stahiki hazilipwi kabisa, ikiwemo On-Call Allowance na Extra Duty Allowance, ambazo mara ya mwisho zililipwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO ESS na PEPMIS ni kitanzi kwa Watumishi, kila muda mfumo huo unapotea hewani

    Serikali ilitambulisha mfumo wa ESS kwa Watumishi wa Umma miaka mitatu iliyopita. Ndani ya mfumo huo kuna jukwaa la E-Utendaji (PEPMIS), ambalo mtumishi anatakiwa kuingiza majukumu yake ya kazi kila siku. Bahati mbaya, kwa sasa mfumo huo hauko imara. Kuna muda unakuta jukwaa la E-Utendaji...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kutokupata annual increment

    Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA. Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi Wapya Ngara tulilipwa Fedha ya Kujikimu pungufu, pia hatujalipwa salary ya Aprili 2025

    Sisi watumishi wapya Wilaya ya Ngara walitulipa pesa nusu, mfano Diploma na Degree tuliovijijini walitulipa Sh 80,000 per day kwa siku saba badala ya Sh 130,000 per day kwa siku saba. Pia, hatujalipwa mishahara ya mwezi wa nne 2025 hadi leo, kila wakati wanasema andika madai lakini hakuna...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi wa Wizara ya Afya anagawa kazi zake kwa upendeleo

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi. Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
  20. W

    JamiiForums Tanzania "Serikali inawajali watumishi sana

    Serikali inaendelea kuhakikisha maeneo ya kazi kwa watumishi wa umma ni salama ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora ya kiwango. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) katika kikao na watumishi wa Wizara ya Maji, Mtumba jijini Dodoma leo Septemba 03, 2026, ambapo amesema Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…