watuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PostGE2025 Watuhumiwa wengine 34 wa uhaini wafutiwa kesi Tunduma

    Mahakama ya Wilaya ya Momba, iliyopo katika Halmashauri ya Mji Tunduma, Jana imewaachia huru Watuhumiwa 34 wa uhaini, kutokana vurugu za Oktoba 29, 2025. Kwa mujibu wa Mwendesha mashitaka wa Mahakama ya Wilaya ya Momba Ndg. Simon Pelesi alisema kuwa, zoezi hili la watuhumiwa hawa kupata...
  2. M

    PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake. Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
  3. R

    PostGE2025 Watuhumiwa 20 wa uhaini waachiwa huru, Niffer kuendelea kusota rumande

    Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru leo Novemba 25, 2025. Shauri lililokuwa linawakabili watuhumiwa hao leo lilikuwa linaendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Aaron Lyamuya, ambapo wakili...
  4. Genius Man

    PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  6. Lord Denning

    PostGE2025 TCRA kiko wapi? Ngebe zote za kuzima Mitandao leo Dunia yote imejua kilichotokea na nyie mnatajwa kama sehemu ya Watuhumiwa

    Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu. Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi. Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi...
  7. S

    Utabiri: Kinachofuata ni watuhumiwa wa mauji kugeukana, kutoana kafara, kutoelewana na hata baadhi yao kuvujisha siri katika kuepuka lawama

    Kutokana na pressure inayooendelea ikiwemo ya kutaka uwajibikaji, matamko kama lile TEC, lawama kutoka kila kona ya nchi na nje ya nchi, wafadhili kuanza kukata misaada, video za mauji na sasa documentary ya CNN, sioni uwezekano wa watuhumiwa wa haya mauji kuhimili hali hii hata kidogo Kwahiyo...
  8. B

    GE2025 Kimeumana kesi ya wahaini: Mahakama yaiamuru Serikali kutaja uraia wa watuhumiwa

    Tokea hotuba za uapisho, tumeambiwa waandamanaji na wahamasishaji hawakuwa Watanzania. Na baadae maafande wa polisi na wasemaji wa serikali na makada wa chama wamekuwa wakiiga na wakurudia maneno hayo. Sasa kimeumania mahakamani. Charge sheet ya Niffer na wapanga uhaini wenzie 147...
  9. Keynez

    GE2025 Ili kuiaibisha Serikali, Polisi na Mahakama, watuhumiwa wote wa Uhaini wakiri makosa yao

    Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka. Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao yote. Naamini Serikali imejipanga kuwaozesha jela kwa kesi ndeeefu halafu mambo yakipoa utasikia...
  10. F

    Watuhumiwa watano (5) kati ya (7) wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kosa la kumvamia na kumpora mzungu raia wa kigeni

    Watuhumiwa watano (5) kati ya saba (7) wakamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumvamia na kumpora raia wa kigeni ambaye mpaka sasa haijajulikana ni raia wa nchi gani. Tukio lilitokea wiki iliyopita eneo la Banda la ngozi barabara ya Nyerere road karibu na Lifemate Funiture, raia huyo wa kigeni...
  11. chiembe

    Mahakama iangalie jinsi watuhumiwa wanavyo-behave kabla, wakati na baada ya mashauri yao. Leo Mahakama imevuna aibu kesi ya Lissu

    Mahakamani ni mahala pa heshima sana na nidhamu ya hali ya juu. Kuna mabango ya kuzuia kelele na watuhumiwa pia hukaa kwa nidhamu. Nimeshangaa leo mtuhumiwa anapiga kelele yeye na wenzake kama yuko gulioni. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mahakama kuona mwenendo wa shauri unakuwa influenced...
  12. D

    Serikali dumisheni nidhamu kwenye mahakama zetu; Kuna watuhumiwa wanaichezea sana serikali.

    Sipendezwi abadan na vitendo vinavyoashiria dharau kwa mahakama, serikali na nchi kwa ujumla vinavyoonyeshwa na baadhi ya watuhumiwa wawapo au waendapo mahakamani. Nitatoa mifano michache: 1. Nilishuhudia mmoja ya wale watuhumiwa waliotumwa kumbaka kwa kumrawiti na kumrekodi yule dada wa...
  13. JanguKamaJangu

    RUKWA: Mwalimu Mkuu na Wawili wawili watuhumiwa kumpiga Mwanafunzi kwa Waya na kusababisha kifo chake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Kagwa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga aitwaye Novatus Adelhard Mgeni, miaka 15. Waliokamatwa ni pamoja na Mkuu wa Shule ya Sekondari ST. Kagwa ambaye ni Zacharia...
  14. Roving Journalist

    Arusha: Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa Maisha Jela, 280 vifungo mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  15. Wakusoma 12

    Hivi ile kauli ya " Watuhumiwa walitakiwa kutokujibu chochote maana mahakama hii Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo" imekaa kichuro sana

    Ni kauli ya kushangaza kidogo kama mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo Watuhumiwa mmewapeleka hapo kufanya Nini kwanini wasiende moja kwa moja mahakama yenye nguvu kisheria ya kusikiliza kesi za namna hiyo? Mambo ya zamani Bado tunayashadadia sana Tanzania.
  16. Faana

    KENYA: Polisi aachia watuhumiwa kwenda kusherehekea mwaka mpya

    Wapendeni adui zenu kama nafsi zenu A police officer in Zambia has been arrested for allegedly releasing over a dozen prisoners so they could celebrate New Year's Eve. Detective Inspector Titus Phiri "forcibly seized cell keys" on Tuesday morning whilst "in a state of intoxication," Zambia's...
  17. Waufukweni

    Zambia: Ofisa wa polisi mbaroni kwa kuwafungulia watuhumiwa washerehekee mwaka mpya

    Ofisa mmoja wa polisi nchini Zambia, Titus Phiri amekamatwa kwa kosa la kulewa akiwa kazini na kuwaachia huru watuhumiwa 13 na yeye mwenyewe kukimbia. Watu hao walikuwa wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo wizi, ujambazi na mashambulizi. Msemaji wa Polisi, Rae Hamoonga amesema Desemba...
  18. JanguKamaJangu

    Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri. Pia soma: Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa...
  19. Mindyou

    LGE2024 Geita: Wagombea walioenguliwa watuhumiwa kutoa vitisho kwa wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi, akieleza kuwa baadhi ya wagombea ambao majina yao yalikatwa...
  20. Yoda

    Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
Back
Top Bottom