watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

    Wakuu Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama. === Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA'' na kuambatisha ujumbe...
  2. PreGE2025 Familia yathibitisha kutekwa kwa Sheikh Nkokoo, suala la kupaza sauti juu ya utekaji sio hoja ya udini ndugu Waislamu

    Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee. Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu wale wanaopaza sauti wanaambiwa wanahubiri udini kwa kuwa Rais wetu ni muislamu na hakwepi lawama...
  3. Askofu Kabigumila: Mungu amenionyesha mwisho wa 'Wasiojulikana' ni mwezi wa Nane 2025

    Askofu Dickson Kabigumila, akihubiri kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini, amesema kuwa ameonyeshwa na Mungu kuwa kundi linalojulikana kama 'wasiojulikana' litafikia mwisho wake ifikapo mwezi wa nane mwaka 2025.
  4. PreGE2025 Majonzi! Baba wa Watoto Wanne Atekwa, Kupotezwa na Watu Waliotumia Landcruiser Nyeupe

    Majonzi! Baba wa Watoto Wanne Atekwa, Kupotezwa na Watu Waliokuja na Landcruiser Nyeupe Manase Daniel Batwenga (39) ni mfanyabiashara wa vipuri huko mjini Kigoma, alitekwa na kupotezwa mnamo Februari 10, 2025. Watu wenye silaha, ambao hawakujitambulisha walifika ofisini kwake wakiwa na...
  5. Mkitaka kujua kuhusu Death Squard[ Watu wasiojulikana ] someni kisa cha jasusi wa Zimbabwe aliyechoka kuua

    Death Squad A death squad is an armed group whose primary activity is carrying out extrajudicial killings, massacres, or enforced disappearances as part of political repression, genocide, ethnic cleansing, or revolutionary terror. Except in rare cases in which they are formed by an insurgency...
  6. P

    PreGE2025 Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Ukweli ni upi?

    Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla. Lakini shuhuda ametoa maelezo tofauti, anasema kuna watu walifika nyumbani, wakajitambulisha kama polisi, wakamfunga pingu na...
  7. PreGE2025 Ubalozi wa Marekani wasikitishwa tukio la kuwateka na kuwatesa Agather na Mwangi, watoa wito wa uwajibikaji kwa wote waliohusika

    Muda si mrefu na ban za safari zitakuja, mama yupo zake kimya, kama vile haya mambo hayamhusu, ndio kwanza anafurahia kutegenezewa program za uchawa! Mambo yanaenda kuwa magumu kwetu Trump effect huenda ikaongezeka na kwa wengine na ikawa kali zaidi. ==== Marekani imesikitishwa sana na...
  8. PreGE2025 Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania. katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
  9. PreGE2025 Maagizo aliyotoa Rais Samia kwa vyombo vya dola kuhusu wanaharakati ni 'Call to Action', je, tutegemee wasiojulikana kuongezeka?

    Wakuu, Majuzi Rais Samia alivyochamba 'wanaharakati' waliokuja kwaajili ya uangalizi wa kesi ya Lissu, aliviambia vyombo vya dola vichangamke katika kutoa majibu pale madai yanapozuka lakini pia aliwaambia vyombo hivyo viwadhibiti hawa watovu wa nidhamu, waishia kutovuka huko walipotokea na si...
  10. PreGE2025 Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana

    Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye...
  11. Matumizi ya GPS Cheap iliyopachikwa ndani ya mwili kusaidia kupatikana unapotekwa na watu wasiojulikana kufuatia kuongezeka matukio ya kutekana

    Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k. ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
  12. PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  13. Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa

    Nilimsikia tulia anasema "huwezi kusema mtu ametekwa wakati hujamuona" kwanza kutekwa ni kupi ? Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa. Tuache kukwepa hoja siziso za msingi mtu aliyetekwa sio...
  14. PreGE2025 Askofu Bagonza: Nimepokea taarifa kuwa 'Wasiojulikana' watakuja kunimaliza

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe KAMA NI KWELI; WAMEKOSEA: KAMA SI KWELI; WAMEKOSEA Leo 8/5/2025, siku Papa wa 267 (Papa Leo Xiv) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana Catholic Theological Union (CTU) mwenzangu, na Mwana Augustino...
  15. PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa

    Wakuu! Spika Dkt. Tulia Ackson amesema 'kutokumuona mtu haimaanishi ametekwa' wakati akijibu swali kuhusu utekaji ambao umekuwa ukiripotiwa hapa nchini Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameeleza kuwa Bunge haliwezi kujadili kuhusu madai na tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa...
  16. PreGE2025 RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa...
  17. Kama kamanda Muliro leo hataongelea njia Watekaji wanazotumia kuteka watu, bora akae kimya

    Salaam, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari. Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu. Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania. Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi...
  18. Uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu 'Kurejea kwa watu wasiojulikana'

    https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024. Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
  19. Jeshi la polisi linachunguza tuhuma za kuhusika askari katika kupotea kwa Mdude Nyagali

    Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha. Kufuatia taarifa hiyo, Jeshi la...
  20. LHRC yalaani tukio la Mdude Nyangali kuvamiwa, kuchukuliwa na Watu wasiojulikana

    KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI Dar es Salaam, 02 Mei 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…