watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Kibanda: Kuna 'Watu wasiojulikana' wanatisha Waandishi wa Habari

    "Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
  2. Mkalukungone Mwamba

    Watu wasiojulikana wamchukua Agent wa gari ya makuti, lakini Wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni

    Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti. Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni. Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo...
  3. McLaren

    Zimbabwe nako kama Malawi? Kiongozi wa Upinzani Zimbabwe Tendai Biti "atembelewa" na wasiojulikana. Haieleweki yuko wapi hadi sasa

    Wakuu, Naona huko Zimbabwe napo wameanza kujifunza mbinu za Malawi. Yaani kuna huyu kiongozi wa upinzani hajulikani hadi sahivi. Kiongozi wa Jukwaa la Watetezi wa Katiba (CDF), Tendai Biti huko Zimbabwe nae inaonekana amekutana na wale watu wasiojulikana Kwa mujibu wa taarifa ya CDF, mapema...
  4. Cute Wife

    Jeshi la Polisi fungueni "comment section" tumsifie Mafwele

    Wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚 Sote tunajua kuwa mtu huyu...
  5. Chachu Ombara

    Kigoma: Polisi kuchunguza tukio la kutoweka kwa mfanyabiashara Mahamoud Abdalla aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetangaza kuanza uchunguzi wa kina kufuatia taarifa za kutoweka kwa mfanyabiashara wa Soko la Buzebazeba, Mahamoud Juma Abdallah (25), anayedaiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo lake la kazi. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Kamanda wa...
  6. Carlos The Jackal

    Serikali ipambane na utekaji na uuaji nchini, Vijana wengi wazalendo wanajiunga na Vikundi vya Ukombozi

    Vijana hawana Kazi licha ya kua wana Elimu. Vijana wameshuhudia wenzao Walotekwa, kuuliwa . Vijana wanashuhudia Viongozi, WATOTO wao na familia zao kwa ujumla wakiendesha magari ya mabilion, wakifanya Anasa . Vijana wanashuhudia Utendaji wa JESHI LA POLISI . VIJANA WANA HASIRA . Nimekuja...
  7. Cute Wife

    Kumbukizi: Rais Idi Amin alipoanzisha Tume kuchunguza watu kupotea na kutekwa, ripoti haikuwahi kuwekwa hadharani!

    Wakuu, Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya watu kutoweka yaliyoripotiwa tangu alipochukua madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka 1971. Tume...
  8. Cute Wife

    Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi

    Wakuu, Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?! ==== Ameandika Liberatus mtandaoni; "Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi...
  9. B

    Nini kimempata Nicodemus Julius Loyore baada ya kukamatwa na watu waliojitambulisha kuwa Polisi? Yupo wapi?

    Salam Wakuu, Taarifa zilizombaa ni kuwa toka Nicodemus Julius Loyore akamatwe Disemba 19 akiwa ofisini na watu waliojitambulisha kuwa Polisi, mpaka leo hajulikani yupo kituo gani! Toka siku hiyo ndugu zake wanamtafuta katika vituo vya polisi bila mafanikio yoyote! Kama alikuwa na kosa...
  10. Cute Wife

    Polisi kuendelea na ukamataji usiozingatia taratibu: Hawajasikia maagizo ya Simbachawene? Wanafuata maagizo ya nani?

    Majuzi Waziri Simbachawene alitoa maagizo akiwataka Jeshi la Polisi kukamata raia kwa kufuata taratibu na sheria, kwa kutokamata raia kihuni. Wawe wanavaa sare, na waache kuvaa kininja. Itakuwa Simbachawene si lolote si chochote, maana toka atoe maagizo hayo bado watu wanakamatwa kihuni, mara...
  11. Malisa Godlisten

    PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

    Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili. Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia...
  12. Mafyangula

    PostGE2025 Malisa: Jana usiku wa saa nane watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Tumeripoti polisi

    Ameandika Malisa kupitia ukarasa wake mtandaoni; "Nasikitika kuwajulisha kuwa jana majira ya saa 8 usiku (kwa saa za huko nyumbani) watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Kabla ya uvamizi huo watu hao walionekana wakiwa na gari mbili (Landcruizer)...
  13. McLaren

    PostGE2025 Kijana Aloys avamiwa kwake na kuchukuliwa na watu wasiojulikana. Hadi sasa hajulikani alipo

    Wakuu, Huyu kijna anayejulikana kwa majina Aloys/Patrick, ambaye ana biashara ya duka, amepotea Mabibo Sahara juzi usiku tarehe 19 ambapo watu waliovaa kiraiya walivamia nyumba yake, kuvunja mlango na kumchukua. Hadi sasa, familia na polisi bado hawawezi kupata taarifa za mahali alipo...
  14. Its Tesha

    Heche amjibu Msigwa 'SGR unamjengea nani kama mnaua watu'

    Yaani unataka tujadili SGR badala ya maisha ya watu?Shame on you!!! Hiyo SGR hata wakaloni walijenga, wewe Msigwa hujui reli ya kati iliyojengwa na wakoloni ilikua SGR wakati huo?Je unajenga SGR ili itumike kufanya nini kama mnaua binadamu wanaotakiwa kuitumia?Mnajengea wanyama au miti?Hivi...
  15. Waufukweni

    Tetesi: Inadaiwa Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake

    Wakuu Twaha Mwaipaya amedai kuwa amepokea taarifa za aliyekuwa mwanachama wa CCM, Dkt. Godfrey Malisa ametekwa jana usiku akiwa nyumbani kwake maeneo ya msamaria majengo au malenga, siku chache baada ya kutoa maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani katika Nchi Yetu (Tanzania).
  16. Mafyangula

    PostGE2025 Kada wa CHADEMA, Joseph Mwasote anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana tangu Oktoba

    Huyu ni Kada wa Chadema anaitwa Joseph Mwasote maarufu kama China, mkazi wa Tunduma mkoani Songwe. Anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwezi uliopita. Familia yake imehangaika kumtafuta maeneo mbalimbali bila mafanikio. Oktoba 29, 2025 mwanae aitwae Stephano akaamua kuandamana kama sehemu ya...
  17. McLaren

    Twaha Mwaipaya: Kijana Ramso alitekwa Dar na kupelekwa Dodoma na kushikiliwa kwa zaidi ya wiki 3

    Wakuu, Huyu kijana Ramsi alipotea siku chache kabla ya maandamano naona kwa sasa amerudi tena. Twaha Mwaipaya wa CHADEMA anasema Ramso alitekwa Dar na kupelekwa Dodoma na kuishilikiwa huko kwa zaidi ya wiki 3 na alichiliwa siku ya maandamano. Najiuliza tu hivi unawezaje kumuweka mtu ndani...
  18. Pascal Mayalla

    The Voices From Within: Nimeelezwa Kufuatia Damu Nyingi Kumwagika, Hakutakuwepo Tena na Matukio ya Wasiojulikana!

    Wanabodi Hii ni the voices from within, unaisikia tuu sauti, inakuambia jambo fulani, sauti hiyo haikuambii sababu yoyote, wala huwezi kuiuliza chochote, ila hicho sauti hiyo inacho shauri, kisipo fuatwa, then, usually the consequences follows and sometimes is devastating!!. Hii The Voices...
  19. Black Opal

    GE2025 V8 ya ‘watu wasiojulikana’ yachomwa moto Kimara na waandamanaji

    Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana. IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
  20. Cute Wife

    GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
Back
Top Bottom