watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

    Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake. Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu tusitumie madhaifu ya wazazi kutukana watoto pale wanapokosea

    Picha: Pinterest Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake. Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na matendo ya mzazi au wazazi wake hasa yale ambayo si chanya kwenye jamii kwani kwa picha yake na jinsi...
  4. JamiiForums Tanzania Kofi moja tu akasema watoto sio wangu

    Ugomvi ugomvi piga ngumi piga mateke nikamuotea kofi moja tu Akapiga kelele hatari na kuropoka ,naondoka na wanangu,nikamwambia haondoki mtoto hapa akajibu,thubutu......naondoka nao, kwanza sio watoto wako,una jeuri ya kuzaa watoto wazuri hivyo,hujioni hilo komwe. Akaondoka kweli ila wazazi...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

    Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuwashirikisha Watoto Wizi, CCM mnaharibu Taifa lijalo

    Mnawachukua watoto wanafunzi na kuwaandikisha kupiga kura wenye miaka 14-17 kisha mtu mzima kama Makalla anatoka hadharani kujisifu kuvuka malengo ni picha kuwa taifa linapotea njia. Watoto wetu wanahusishwa na tabia za wizi huo mnadhani wakikua tabia hiyo wataacha? Jee hii CCM inayofanya mambo...
  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

    1.Jb jerusalem 2.jux 3.piere liquid 4.omy dimpoz 5. Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
  8. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum: Wazazi tujuzane games na cartoons zisizofaa kwa Watoto wetu ili tuwalinde na kuwasaidia

    Leo nimekaa nimewaza sana kuna games watoto wetu wanacheza siku hizi ila nyingi zina hatari sana. Games nyingi siku hizi wanacheza online na zinawakutanisha na watu wasio wajua kabisa. Hii ni hatari sana Lakini pia siku hizi haya hizi games na cartoons zimekuwa na maudhuni ya ajabu mengi...
  9. JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa kati ya wazazi au watoto ikiwa nyumbani kwa wazazi kuna hali duni?

    Huwa kunakuwa na maneno mengi sana kwa watu wanaoishi mjini wakiwa na mafanikio hata kidogo huku nyumbani kwao kukiwa bado duni mfano bila nyumba nzuri ya wazazi. Hiii hutokea rafiki zao wanapofika nyumbani kwao kwa sababu mbalimbali lakini hasa wakati wa msiba, hapo utasikia "Huyu jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi huondoka na Watoto wakidhani Wanaume watawafuata. Sijui nani aliwadanganya kuwa Mwanaume mtego wake ni Mtoto.

    WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo. Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume! Ukiona unazaa watoto wasiofanana na wewe ujue mkeo ni kicheche ama alikuwa kicheche.

    Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
  12. JamiiForums Tanzania Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini nyinyi single mothers mmeamua kuwapa mateso watoto wenu?

    Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya katika mahusiano yenu ukawa umepata ujauzito, baadhi ya wanaume ni kweli wanakuwa hatawaki kutoa...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

    Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki. Tofautisha kati ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wanapenda sana kuchezea maji ila kuyaoga ni shida?

    Kuna chalii hapa, yeye maji atayatafuta popotee, iwe ni bomba la nje, bafuni, kwenye ndoo popote, Akiyapata cha maana hamna, ni kuingiza mkono na kuuzungusha. Yaani huyu imefika hatua akiwa analia ukitaka anyamaze mletee maji kwenye jagi, baasi.. Hili ni tumeona kwa watoto wengi sana Mda wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mjomba anawachukia watoto wangu?

    Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima, Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo...
  17. JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa Kitanzania hawana mali za kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba na Yanga

    Habari zenu! Mada inajieleza. Wazazi wengi bongo hawana cha kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba au Yanga. Jitahidi ufanye chini juu uache urithi wa kueleweka.
  18. JamiiForums Tanzania Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

    Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000. Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa vitu vya watoto

    Salamu wakuu Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila...
  20. JamiiForums Tanzania Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

    Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba 1.6-0 2.5-0 3.4-1 4.3-1 5.2-0 6.1-0 Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…