watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

    Watoto waliolelewa na single maz ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo. Kijana usioe singo maza
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na ndugu wa karibu wanawaharibu sana watoto

    ( Nilikua na miaka kati ya 4-6) Ila kabla sijaanza SHULE ya msingi. Tumelelewa na singo Maza kwahiyo alikua bize sana kupambania ugali wanae tusilale njaa. Alikua mjasiriamali kwahiyo muda mwingi yupo minadani Leo WILAYA hii kesho nyingine . Kuna wakati dada wa kazi alikua haeleweki...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Bill Gates inavyo beba kampeni ya Likud kutoa watoto Ems. Kuwarudisha Kayumba

    Bill Gates anasema miaka michache inayo kuja, Akili Mnemba ita wa replace binadamu kwenye kazi nyingi Sana ikiwemo udaktari na ualimu.. Duh kumbe ndio maana LIKUD anasema tusipoteze hela EMS? LIKUD atakuwa mchawi au nabii
  6. JamiiForums Tanzania Tukague watoto wetu mara kwa mara kila watokapo shule, kuna probability kubwa shule inaweza isi expose ujinga aliofanyiwa ili kulinda hadhi yao

    Haijalishi mtoto wako ni wa elementary school au shule za kawaida za serikali. Kaa na mtoto wako karibu, kuwa rafiki yake, ubize wa maisha usikunyime muda na mtoto, Muahidi na mpatie vitamu akiwa anakuambia jambo lolote linalomsibu huko shuleni. Mkague viungo vyake pande zote. Dunia imekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

    Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel Awapatanisha Viongozi wa Kimasai kwa Ajili ya Umoja na Mshikamano

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewapatanisha viongozi wa Kijamii wa Kimasai, Ole Paserian na Ole Kisongo, na kuimarisha mshikamano ndani ya jamii hiyo. Hafla hiyo imefanyika wakati wa ibada ya kubariki "Malaiyoni"...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid El Fitri Mbeya kwa watoto wenye uhitaji maalum

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo, Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuwatoa watoto wangu private primary school sababu walimu wao wanalipwa mishahara midogo isiyoendana na ada tunayolipishwa

    Watoto wangu nimewaamishia Mlimani primary school iliyopo udsm ambayo ni english medium primary school inayomilikiwa na serikali Siamini kabisa kwenywe primary schools zinazomilikiwa na watu binafsi private school Nilikuwa nalipishwa Ada milioni 2 kwa mwaka , halafu walimu wanaomfundisha...
  11. JamiiForums Tanzania Je tunafahamu watoto wetu wanakula vyakula gani mashuleni?

    Disclaimer: Uzi huu ni mawazo ya mwandishi pekee na wala hauna nia ya kuharibu biashara yoyote ya mtu bali kuelezea jamii kuhusu hatari ya kemikali katika vyakula Katika pitapita zangu nilikwenda kumpa hai rafiki yangu maeneo fulani hapa mjini, nilipata mwaliko wa sikukuu ya Idd hivyo niliona...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya Upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima

    Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima Diamond Platnumz alitoa msaada wa nguo kwa watoto yatima jambo lililowapa faraja watoto yatima pamoja na walezi wao lakini jambo la kushangaza ni...
  13. JamiiForums Tanzania Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

  14. JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka tuwaokoe hawa watoto kabla ya kutokea maafa

    Hii ni hatari sana kwa watoto wetu, hasa kipindi hiki cha mvua. Hapa ni maeneo ya Banana - Ukonga. Chukueni hatua mapema.
  15. JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  16. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ukuaji wa watoto wa Kiafrika na watoto wa Kizungu

    Wakuu habari zenu niende kwenye mada moja kwa moja Nimekuwa nikiangalia ukuaji wa watoto wa kwetu na watoto wa kizungu Kupitia movie ata documentary mbali mbali ata series Nilichokuja Tambua ni kwamba wazungu huwai sana ku detect kipaji au kitu fulani special kwa watoto wao So inakuwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi masikini punguzeni matamko yenye viashiria vya laana kwa watoto zenu

    Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao. Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba huku kijijini kwetu,wake zake wawili vicheche, kila mama anamtoto amezaliwa nyumbani, watoto wakiume wanachuja "nafaka", aisee.

    Marafiki zake wanamchapia wake zake, Mabinti zake ni sukari ya mji, vijana zake akiwatafutia vibarua wiki moja wanarudi maskani kuchuja nafaka, hakika huyu msukuma ana balaa, sasa sijui ni usimamizi mbovu wa familia yake au wanawake zake ndio wanamharibia watoto All in all usiombee hii ikikute.
  19. JamiiForums Tanzania Wamama kuweni na huruma na watoto wenu.

    Nakatiza pande za mtaa wa Kongo. Nyomi la hapa si la mchezo. Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni. Daah unaishiwa pozi.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ushetu: Wazazi na walezi wekezeni kwenye elimu ya watoto ili kuandaa watumishi wa baadaye watakaolisaidia taifa

    Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…