watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Manyanyaso ya kingono kwa watoto

    Kimataifa Kulingana na data ya kujieleza binafsi, uchambuzi wa meta wa mwaka 2011 wa tafiti 217 kati ya mwaka 1980 hadi 2008 ulikadiria kiwango cha kimataifa cha manyanyaso ya kingono kwa watoto kuwa kati ya asilimia 12.7% hadi 18% kwa wasichana na asilimia 7.6% kwa wavulana. Viwango vya...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

    Inatia huruma sana
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi wetu walikataa kujihusisha na siasa. Tusilalamike wazazi wa wengine waliowanasiasa wakiwateua watoto wao.

    Sina Deni! Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli. Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi. Mtoto wa Mkulima ni Mkulima. Mtoto wa Nyoka ni Nyoka! Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli? Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
  4. JamiiForums Tanzania Vita vya Nuclear vinakuja toeni watoto wenu EMS muwarudishe Kayumba

    Vita vya nuclear vyaja. .. mfumo wa maisha unaenda kubadilika. Yanini kulipa hela EMS wakati vita ya dunia yanukia? .. Kama elimu unayo lipia haina uwezo wa kutengeneza maarifa yatakayo saidia kuzuia athari za Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita vya nuclear au at least kuzuia Vita, una...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi ...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna familia ya kiongozi au watoto zao ambao ni machawa

    Huu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri Lakini wewe Chawa huna chochote kile cha kuja kukipata katika inchi hii na unapozidi kushabikia na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12. Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto wanatumikishwa mjini, je wazazi wao wako wapi?

    Watoto wanatumikishwa kama watumwa mijini – Je, wazazi wao wako wapi? Nimeumia sana moyoni baada ya kuona hali ya mtoto mmoja jirani hapa. Familia moja imeleta binti mdogo sana kutoka kijijini – ukimuona tu, ni wa darasa la tano au sita hivi. Huyu dogo ndio “mfanyakazi wa ndani” wao, ambaye...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

    Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inaruhusu watoto waendelee kwenda shule wakati wa likizo kumbe ina ajenda yake

    Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao. Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Prof Ndakidemi badala ushauri itungwe Sheria wazee wahudumiwe na serikali kwani walilipa Kodi serikalini. Watoto waliwatuma muwazae?

    PROF NDAKIDEMI BADALA USHAURI ITUNGWE SHERIA WAZEE WAHUDUMIWE NA SERIKALI KWANI WALILIPA KODI. WATOTO WALIWATUMA MUWAZAE? Anaandika, Robert Heriel. Kila mtu ni Mzee wa baadae kama akipata nafasi hiyo. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Mtoto Hana jukumu wala wajibu wa kumtunza mzazi wake. Hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Hii Dunia Haipo Fair Hata Kidogo

    Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini. ...........................
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Serikali imejenga Wodi 165 kwa ajili ya Watoto Njiti, matarajio ni Vituo 280 ifikapo Desemba 2025

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga jumla ya wodi 165 za kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) katika hospitali mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha huduma za afya kwa watoto wachanga. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa taarifa hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume una mke na watoto lakini unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio eti umepanga!?

    Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana. Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi...
  16. JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Shule zimefungwa lakini watoto wa darasa la pili wameambiwa waendelee kwenda shule kununua visheti na sambusa kwa walimu

    Wizara ya elimu ni kwamba hamjui faida za likizo? Waziri wa elimu mbona hatukuoni umekaa wapi ebu simama tukuone! Viongozi inamaana hamuoni watoto wanavyofanywa huko mashuleni? Ratiba ya masomo mlipanga wenyewe, kwamba mtoto atasoma wiki kadha na likizo kadhaa! Inamaana likizo iko ndani ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je kwa nini mavazi ya mtoto wa kiume ni gharama sana?

    Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao. Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi msiwachukulie poa watoto wenu kaeni nao chini, hawa ni wanafunzi wa form 2 wameachiwa nyumba,

  20. H

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kupangia watoto waliomaliza kidato cha nne kujiunga na vyuo

    Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma. Hili ni jambo jema swali langu ikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…