watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DRC: Watoto 5000 wafariki kwa ugonjwa wa Surua ndani ya mwaka 2019

    Wataalam wameonya hakuna chanjo za kutosha nchini humo. Ugonjwa wa ukambi ama Surua umewaua takriban watoto 5000 katika taifa la Jamhuri ya KidemokrasIa ya Congo mwaka 2019, kulingana na mamlaka baada ya ugonjwa huo kusambaa hadi mikoa yote. Takriban watoto 250,000 wameambukizwa mwaka huu...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Mwinyi ahimiza ushirikiano katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto

    Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi ametoa wito kwa Serikali kushirikiana na Taasisi zisizo za Kiserikali, katika kukabiliana na matukio ya ukatili dhidi ya Watoto. Alhaji Mwinyi ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya Siku ya Kimataifa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaobusu watoto wa wenzao midomoni wananikera sana

    Unakuta mtu kaja kutembelea mtoto wako au kamkuta umemshika anamchukua na kuanza kumpiga mabusu ya mdomoni. Kwakweli ni uchafu sana mimi sipendi kabisa tabia hiyo. Wenzangu wenye watoto wadogo mnaniambiaje?
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanajeshi aua mke na watoto wawili na kisha kuwazika

    Na NICHOLAS KOMU na CHARLES WASONGA MIILI mitatu inayoaminika kuwa ya mke wa mwanajeshi mmoja na wanawe wawili, waliotoweka majuma matatu yaliyopita, imepatikana imezikwa katika kaburi lenye kimo kifupi katika mtaa wa Thingithu, mjini Nanyuki ambapo imefukuliwa Jumamosi jioni. Maafisa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi wengi leo wanachukiwa na watoto wao kwa sababu hii

    Wazazi wetu wamekuwa wakijitahidi sana kuwajibika kutulea na kutujengea msingi walikuwa wakidhani utatusaidia lakini kosa kubwa sio malezi ila ni mkabala waliotumia. Mkabala unaoweka umbali badala ya ukaribu wa mzazi na mtoto, yaani mtoto anaishi na mzazi wake kama mfanyakazi na meneja na...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira za utotoni: Sheria inawalindaje watoto katika hili?

    Habari za muda wakuu. Katika pita pita zangu nimekutana na hii Sheria, kuna baadhi ya vitu najiuliza. Naomba muongozo kutoka kwa ndugu zetu wataalamu wa sheria. “Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya Kazi, 2004, mtoto chini ya miaka 14 hapaswi kuajiriwa. Mtoto mwenye umri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Natoa onyo kwa wale wote wanaotoa pesa kwa hawa watoto wanaoomba pesa kwa gia ya shikamoo

    Ni siku ya ijumaa alasiri naelekea kituo cha mabasi ya usafiri kwa raia ndani ya jiji la dar es salaam, hii ni ijumaa tulivu jua lishaanza mapumziko yake, rangi yake maridadi ya kahawia iliyochanganyikana na yangi ya machungwa imetanda angani, hakika ni siku tulivu ndege wanaruka na kuimba kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tuchangiane uzoefu katika malezi: Malezi yako yalikuwaje, unahisi yamekuathiri, ungependa kulea watoto wako kama ulivyolelewa?

    Habarini Wadau wa MMU, suala la malezi ni changamoto sikuzote,kulea watoto halijawahi kuwa rahisi hata mara moja tena wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,kwamba utu au tabia za mtoto wako ni matunda ya malezi yako,kama ni ukatili,upendo,huruma,uchapa kazi au uvivu vyote ni matokeo ya malezi...
  9. JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani. Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa: 1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi 2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan 3...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuoa mwanamke aliyezaa na wanaume wawili tofauti na mimi niwe wa tatu

    Kuna faida na hasara gani kuoa mwanamke aliyezaa na wanaume wawili tofauti mimi nikimuoa nitakuwa mwanaume wa tatu na nikizaa nae atakuwa amezaa watoto wa Tatu kwa baba watatu. Je hii inakuwaje? Ni kawaida au, msaada please
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

    Habari zenu wadau, Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maoni yenu. Eti ni kwanini wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe mwanamke aliyekwisha kuwa na mtoto (single mother)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…